Serengeti Boys kibaruani leo dhidi ya Mali
Serengeti Boys leo inatarajia kushuka dimabni dhidi ya Mali kwenye mechi ya kwanza ya michuano ya Mataifa ya Afrika nchini Gabon. Serengeti Boys imepangwa katika Kundi B, ambapo katika kundi…
Serengeti Boys leo inatarajia kushuka dimabni dhidi ya Mali kwenye mechi ya kwanza ya michuano ya Mataifa ya Afrika nchini Gabon. Serengeti Boys imepangwa katika Kundi B, ambapo katika kundi…
Mahakama ya kikatiba nchini Afrika Kusini inatarajiwa kuamua kuhusu iwapo wabunge wanaweza kupiga kura ya siri ya kutokuwa na imani na rais Jacob Zuma au la. Hatua hiyo inajiri kufuatia…
Ndege iliyowabeba wanafunzi watatu majeruhi imewasili salama leo majira ya asubuhi nchini Marekani. Hayo yamebainishwa na mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyarandu ambaye alikuwa mstari wa mbele kuhakikisha safari hiyo…
Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hanspope amefuta uamuzi wake wa kujiuzulu ndani ya klabu hiyo. Hayo yamesemwa na Afisa Habari wa klabu hiyo, Haji Manara kupitia akaunti…
Wabunge nchini Marekani wamemtaka Rais wa nchi hiyo Donald Trump kusalimishe kanda ya mazungumzo yoyote yaliorekodiwa kati yake na aliyekuwa mkurugenzi wa shirika la FBI, James Comey. Kiongozi wa Chama…
Wanafunzi watatu ambao ni majeruhi wa ajali ya wanafunzi iliyotokea wilayani Karatu mkoani Arusha wamesafirishwa jana kuelekea Marekani kwa matibabu zaidi. Wanafunzi hao wamesafirishwa kwa ndege maalumu kutoka jimbo la…
Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema kuwa serikali inatarajia kuajiri watumishi wa idara ya afya ili kujaza nafasi zilizoachwa wazi na watumishi wenye…
Mfanyabiashara maarufu nchini, Mohammed Dewji ‘MO’ ameiandikia barua Simba akiitaka wamlipe fedha zote za mishahara alizokuwa akiwalipa wachezaji tangu mwaka jana kiasi cha shilingi bilioni 1.4. Hayo yamejiri siku moja…
Rais mpya wa Ufaransa, Emmanuel Macron ameapishwa baada ya kupata ushindi mkubwa katika marudio ya uchaguzi mkuu wa Urais nchini humo. Alimshinda mpinzani wake ambaye ni kiongozi wa chama cha…
Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Bungu wilayani Kibiti, Alife Mtulia ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana akiwa nyumbani kwake. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Onesmo…
Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Richard Kayombo, ameendelea kukanusha kwamba, Mamlaka hiyo haijamkadiria msanii wa muziki wa kizazi kipya, Diamond…
Baada ya kuenea habari katika mitandao ya kijamii kuwa muigizaji wa Bongo Movie, Shamsa Ford amemfilisi mumewe Chid Mapenzi, muigizaji huyo amewajia juu na kuwajibu watu hao. Kupitia akaunti yake…
Mjumbe wa kamati kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa amesema amesekitishwa na hatua ya Serikali ya mkoa wa Dar es Salaam kuzuia kongamano la Demokrasia lililotarajiwa…
Mwanamke mmoja ambaye anaugua saratani ya matiti amejioa mwenyewe baada ya kusubiri mchumba kwa muda mrefu. May Chen mwenye umri wa miaka 28 kutoka Taiwan amesema kuwa anaugua ugonjwa huo…
Baba mzazi wa kiungo wa Manchester United na timu ya taifa ya Ufaransa, Paul Pogba, Fassou amefariki dunia Ijumaa usiku akiwa na umri wa miaka 79. Fassou Antoine Pogba alikuwa…
Mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva, Profesa Jay amemshangaa waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt. Mwakyembe kuwataka wasanii kuacha kuimba nyimbo za siasa. Kauli hiyo ya Profesa Jay…
Treni ya abiria iliyokuwa inakwenda mikoa ya Bara imepata ajali usiku wa kumakia leo majira ya katika eneo la Stesheni ya Mazimbu mkoani Morogoro. Katika hajali hiyo ilihusisha mabehewa saba…
Klabu ya Simba ya jijini Dar es Salaam imeingia mkataba wa miaka mitano na kampuni ya michezo ya kubashiri ya SportPesa ambao una thamani ya Sh. bilioni 4.9. Mkataba huo, utaifanya…
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kwamba ugonjwa wa Ebola umezuka katika maeneo ya kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Msemaji wa WHO nchini humo Eugene Kabambie amesema…
Tazama video mpya kutoka kwa mwanamuziki wa WCB, Rayvanny ngoma inaitwa 'Zezeta'
Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma imekanusha taarifa inayosambaa mitandaoni kuwa serikali haitoajiri wananchi wenye miaka zaidi ya 30.
Kijana aliyemuuwa mpenzi wake na kumchoma moto Afrika amekamatwa na jeshi la Polisi nchini humo. Polisi wa nchini Afrika ya kusini wamethibitisha kumshikilia kijana wa miaka 27 na anatarajiwa kufikishwa…
Mmiliki wa shule ya Lucky Vincent ambaye anatambulika kwa majina ya Innocent Mushi leo amefikishwa mahakamani jijini Arusha. Mmiliki wa Shule huyo amesomewa mashtaka manne na kuachiwa kwa dhamana kutokana…
Muigizaji wa filamu za Fast and Furious nchini Marekani, Dwayne Johnson maarufu 'The Rock' amesema kuwa anataka kuwania urais nchini humo. Katika mahojiano na jarida la GQ, nyota huyo wa…
Mwanamuziki wa hip hop nchini Marekani, P. Diddy ameongoza orodha ya wanahip hop walioingiza mkwanja mrefu baada ya kuwa na utajiri wa jumla ya $820m (£633m) kulingana na jarida la…
Mwanamuziki nyota wa Bongo Fleva, Alikiba amesema kuwa anatarajia kuingiza sokoni bidhaa zake kutoka katika brand yake ya 'AK' pamoja na 'King Kiba'. Kiba amesema kuwa hiyo ni mipango mizito…
Mwanamke anayedaiwa kuwa jambazi sugu ameuawa kwa kupigwa risasi na askari polisi jijini Nairobi nchini Kenya. Kijana huyo ambaye ametambuliwa kama Claire Mwaniki aliuawa na polisi alfajiri na mapema jana…
Miss Tanzania 2016, Diana Edward amewashangaa baadhi ya watu kuponda gari alilopewa kuwa lina mapango mengi ya matangazo. Kauli ya miss huyo imekuja baada ya watu kwenye mitandao ya kijamii…
Rais wa Marekani, Donald Trump amesisitiza kwamba hafanyiwi uchunguzi wowote baada ya kumfuta kazi mkurugenzi wa shirika la ujasusi la FBI. Trump amesema kwamba ulikuwa uamuzi wake pekee kumsimamisha kazi…
Ndege itakayowabeba wanafunzi majeruhi waliopata ajali wilayani Karatu mkoani Arusha inatarajia kuwasili leo nchini. Hayo yamesemwa na Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu wakati akiwa katika hospitali ya mkoa wa…