Polepole aagiza chakula kipelekwe wilayani Longido
Katibu wa Itikadi na Uenezi (CCM), Humphrey Polepole ameiagiza Serikali kupeleka chakula Wilayani Longido Mkoani Arusha ili kukabiliana tatizo la upungufu wa chakula Wilayani humo. Polepole amesema hayo alipokuwa Longido…