Video: Alichokifanya John Cena kwenye ulingo
Tazama video jinsi Mwanamihereka mashuhuri, John Cena alivyomchumbia mpenzi wake akiwa ulingoni.
Tazama video jinsi Mwanamihereka mashuhuri, John Cena alivyomchumbia mpenzi wake akiwa ulingoni.
Watu watatu waliodhaniwa kuwa majambazi wameuawa na Polisi wa doria karibu na daraja la Mkapa wilayani Rufiji mkoani Pwani. Kamanda wa Polisi mkoa wa Pwani, Onesmo Lyanga amesema kuwa watu…
Rais wa Misri, Abdel Fattah al-Sisi anatarajia kuwa rais wa kwanza wa Afrika kukutana na rais mpya wa Marekani, Donald Trump angu alipoapishwa mwezi Januari mwaka huu. Rais huyo wa Misri…
Gazeti la Norte de Ciudad Juarez la nchini Mexico limesitisha uchapishaji baada ya mwandishi wa habari kuuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana. Katika tahariri yake gazeti hilo limeeleza kuwa…
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepiga kura ya kupunguza ukubwa wa jeshi lake Monusco, ambalo ndio jeshi kubwa zaidi na ghali zaidi ambalo liko nchini Jamhuri ya Kidemokrasia…
Makamu wa Rais a chama cha wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Godwin Ngwilimi amekamatwa na polisi huko mkoani Shinyanga na anashikiliwa katika kituo kikuu cha polisi mkoani humo. Taarifa iliyotolewa na…
Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo), amegonga mwamba baada ya Kamati ya Kanuni ya Bunge kutoa msimamo wake kuhusu uchaguzi wa wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA). Hatua…
Wanasayansi wamethibitisha kuwa mitandao ya kijamii ndicho chanzo cha magonjwa mbali mbali yakiwamo ya akili na kulemaa kwa mishipa ya shingo. Wasayansi hao wamesema kuwa mitandao ya kijamii kama vile…
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema kuwa ametishiwa kifo na kundi la watu asiowafahamu. Gwajima amesema hayo jana alipokuwa akihubiri katika kanisa lake lililopo Ubungo, Jijini…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego amefunguka mazungumzo aliyozungumza na Waziri wa Habari, Sanaa, Utamduni na Michezo, Harrison Mwakyembe mjini Dodoma wiki iliyopita. Katika mauzngumzo hayo Nay amesema kuwa…
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (Nimr), Dk Mwele Malecela ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Vituo vya Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa Afrika vya Shirika la…
Mtu mmoja amaeuawa kwa kupigwa risasi na wailinzi wa Ikulu ya Kenya baada ya kujaribu kuruka ukuta na kuingia ndani ya Ikulu hiyo. Mtu huyo asiyefahamika na mwenye umri wa…
Serengeti Boys leo itapambana na Black Starlets ya Ghana kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa utakaofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Serengeti Boys itautumia kama ni ishara ya…
Nyota wa mchezo wa tenesi duniani, Roger feder usiku wa kuamkia leo ametwaa taji la michuano ya wazi ya Miami. Roger raia wa Uswisi alimshinda mpinzani wake Muhispani Rafael Nadal…
Rais wa Marekani, Donald Trump amedai kuwa taifa hilo litko tayari ‘kutatua’ tishio la nyuklia kutoka Korea Kaskazini kwa ushirikiano au bila ushirikiano na China. ‘Endapo China itashindwa kutatua suala…
Mwenyekiti wa chadema wilaya ya Muheza, Rwebangira Mathias Karuwasha ametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) leo kutokana na chama hicho kupoteza dira na mwelekeo. Lakini…
Kagera Sugar imefanikiwa kushinda 2-1 dhidi ya Simba kwenye mechi ya ligi kuu Tanzania Bara iliyofanyika katika uwanja wa Kaitaba mkoani Kagera. Simba ilionekana kutawala mchezo huo lakini wameshindwa kupata…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Harmorapa jana ameonekana akimganda mmiliki wa kampuni ya kinywaji cha Swala. Tukio hiyo la Harmorapa kumganda mmiliki huyo ilikuwa katika viwanja vya Escape One Kinondoni Jijini…
Mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2017 zimezinduliwa rasmi leo katika uwanja wa Kumbukumbu Mjini Mpanda mkoani Katavi na unatarajiwa kuzunguka katika mikoa yote 31. Katika sherehe hizo za…
Mwanamuziki, Bob Dylan amekwenda kuichukua zawadi yake ya Nobel kuhusu maswala ya fasihi, zaidi ya miezi sita tangu alipotangazwa mshindi. Wanachama wa shirikisho lililotoa tuzo hiyo ya huko Sweden, wamethibitisha…
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amemwagiza Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Evarist Ndikilo, kupiga kambi katika Kata ya Miono wilayani Bagamoyo ili kuwasaka wafugaji wanaodaiwa kuwapiga wakulima. Kwa mujibu wa taarifa…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Alikiba kupitia akaunti yake ya Instagram amempongeza waziri mpya wa fedha wa Afrika Kusini, Malus Gigaba kwa kuchaguliwa kushika nafasi hiyo. Malus Gigada amechaguliwa na Rais…
Chama cha Wamiliki wa Mabasi Yaendayo Mikoani (Taboa), kimetangaza mgomo usio na kikomo kuanzia kesho, huku kikiwataka mawakala wanaotoa huduma za kukatisha tiketi kutofanya hivyo kuanzia leo. Mgomo huo unalenga…
Watu zaidi 250 wamefariki dunia na 400 wamejeruhiwa baada ya kufukiwa na maporomoko ya ardhi nchini Colombia. Hata hivyo idadi hiyo huenda ikaongezeka kwani bado kuna zaidi ya watu 200…
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF) Maalim Seif Sharif Hamad amedai kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho, Profesa Lipumba anatumiwa kukihujumu chama ili kishindwe kudai haki iliyopata kwenye uchaguzi wa…
Waziri Mkuu wa Ethiopia, Hailemariam Dessalegn ameondoka nchini jana kurejea nchini mwake Ethiopia baada ya kumaliza ziara yake rasmi ya kiserikali. Ziara hiyo ilikuwa maalum kwa mwaliko wa Rais wa…
Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Ally Hassan Mwinyi amemuomba kiongozi wa dini ya Wahindu ya Swaminarayan Duniani, Mahant Swami Maharaji kuiombea Tanzania amani na umoja viweze kudumu na kusiwepo…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo amewaapisha wajumbe wa kamati maalum ya kuchunguza kiwango na aina ya madini yaliyomo kwenye mchanga wenye madini ulio…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai kufuatia kifo cha…
Waziri wa Fedha mpya wa Afrika Kusini, Malusi Gigaba amesema wakati umefika wa kubadilisha sana uchumi. Amesema kwa muda mrefu Afrika Kusini inahodhiwa na wawekezaji wa nchi za nje kwenye…