Kwesi Appiah apewa tena mikoba ya Black Stars
Chama cha soka cha Ghana kimemteua tena Kwesi Appiah kuwa kocha mkuuwa wa timu ya taifa ya Ghana (Black stars). Appiah amepewa mkataba wa miaka miwili wa kuinoa timu ya…
Chama cha soka cha Ghana kimemteua tena Kwesi Appiah kuwa kocha mkuuwa wa timu ya taifa ya Ghana (Black stars). Appiah amepewa mkataba wa miaka miwili wa kuinoa timu ya…
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda ameelezea ambavyo baadhi ya watu walivyotaka kupiga Tsh Bilioni 7 za serikali kwa kutaka kuwalipa watu hewa fidia za kupisha maeneo…
Bunge jana limepiga kura za kuwapitisha wawakilishi wa bunge la Afrika Mashariki ambapo wagombea saba pekee ndio waliopitishwa kwa kupigiwa kura za ndio. Sita kati ya waliochaguliwa wanatoka Chama cha…
Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres amekosoa uamuzi wa Marekani wa kuondoa fungu la pesa kutoka kwenye mfuko wa umoja wa mataifa. Mfuko huo unaoshughulikia idadi ya watu…
Kiongozi wa Chama Cha ACT wazalendo, Zitto Kabwe ameupongeza uteuzi Profesa Kitila Mkumbo kuwa Katibu Mkuu wizara ya Maji na Umwagiliaji. Zitto amesema kuwa chama hicho kimepokea kwa mikono miwili…
Waigizaji wa Movie wamepata fursa ya kuanza kuuza filamu zao nchini China ambao sasa zitakuwa zikitafsiriwa kwa lugha ya nchi hiyo. Aliyekuwa Waziri wa Habari, Michezo, Sanaa na Utamaduni, Nape…
Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger amesema kuwa klabu hiyo haiwezi kushika nafasi nne za juu kwenye msimamo wa ligi kuu nchini Uingereza kutokana na matokeo wanayoyapata. Wenger ambaye ni raia…
Mshambuliaji wa klabu ya Borussia Dortmund, Emerick Aubameyang kufuatia kwenda kinyume na mkataba wa kibiashara. Aubameyang yupo hatarini kutozwa faini ya Pauni 43,000, baada ya kuvaa kinyago kilichokua na nembo…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Barnaba amesema amemshukuru Mungu baada ya asubuhi ya leo kuletewa vitu vyake alivyoibiwa wiki iliyopita kwenye bahasha. Barnaba amesema kuwa Mungu amemtendea miujiza baada ya kijana aliyejitambulisha…
Taasisi ya ufuatiliaji wa mawasiliano ya internet ya ‘Internet Watch Foundation (IWF)’ yenye makao makuu nchini Uingereza imetoa ripoti na kudai Ulaya inaelekea kuwa kituo cha kumiliki picha na video…
Kikosi cha Simba kimeshawasili mkoani Mwanza kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu Tanzania bara dhidi ya Mbao FC utakaopigwa Aprili 10 mwaka huu. Mratibu wa Simba, Abasi Ally alisema…
Shirikisho kubwa na lenye nguvu zaidi la wafanyakazi nchini Afrika Kusini, Cosatu, limemtaka rais Jacob Zuma kung’oka madarakani. Katibu mkuu wa shirikisho hilo, Bheki Ntshalintshali ametangaza kuwa rais Zuma ‘sio…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo amefanya mabadiliko madogo katika safu ya Makatibu Wakuu. Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza…
Mshambuliaji wa zamani wa timu ya taifa ya Nigeria ‘Super Eagles’, Peter Odemwingie amefungua milango ya maisha mapya ya soka nchini Indonesia kwa kujiunga na timu ya Madura United. Odemwingie…
Meneja wa Diamond Platnumz, Babu Tale amempa makavu mkurugenzi wa Global Publisher, Eric Shigongo baada ya kuandika habari kuhusu Diamond kwenye ukurasa wake wa Instagram. Babu Tale amefunguka mazito kuhusu…
Rais mstaafu wa awamu ya nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ameshangiliwa kwa zaidi ya dakika 10 baada ya kuingia bungeni leo mjini Dodoma. Hatua hiyo imekuja baada ya spika wa…
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Joseph Kabila ameanza mazungumzo na Mashirika ya kiraia na wanasiasa wa upinzani kuhusu mustakabali wa siasa za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Hatua…
Mke wa rais mstaafu wa awamu ya nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Salma Rashid Kikwete ameapishwa kuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mh.Salma aliandamana na mumewe…
Mwandishi wa vitabu mashuhuri nchini, Eric Shigongo ameendelea kutoa ushauri wa kimaisha kwa mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Alikiba pamoja na uongozi wake chini ya Seven Mosha. Shigongo ambaye ni…
Chama cha soka nchini England (Fa) kitamuhoji kocha wa Sundarland, David Moyes baada ya kocha huyo kumwambia atampiga makofi mwandishi wa BBC Vicki Sparks. Mwandishi huyo alimuuliza moyes uwepo wa…
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji nchini, Dk Anna Makakala amefanya mabadiliko makubwa ya viongozi wa Uhamiaji wa mikoa mbalimbali nchini na kuwateua wakuu wapya wa mikoa Bara na Visiwani. Alitoa mfano…
Mwanamuziki wa hip hop nchini kutoka Weusi, Joh Makini ameanza kutengeneza video mpya ya wimbo wake aliomshirikisha Davido kutoka Nageria. Mipango ya kufanya nyimbo hiyo ilfanyika toka mwaka 2014 ambapo…
Mwanamuziki wa hip hop nchini, Nay wa Mitego amesema kuwa usalama wa maisha yake umekuwa mdogo kwasasa. Nay ameandika hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram kueleza hali ya maisha yake…
Kesi inayomkabili Salum Njwete (Scorpion) ya kumtoboa macho Said Ally imeendelea jana katika mahakama ya wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam. Wakati wa kesi hiyo Deus Johakim Magosa (45)…
Serikali ya Tanzania jana imepokea msaada wa fedha kutoka Umoja wa Ulaya (European Union) wenye thamani ya Sh. bilioni 490 kwa ajili ya kuboresha huduma za kijami. Msaada huo umekabidhiwa…
Takriban watu 10 wameuawa na wengine 50 wamejeruhiwa kufuatia milipuko iliyotokea kwenye vituo viwili vya treni ya chini ya ardhi mjini St Petersburg nchini Urusi. Mashirika ya habari yanaripoti kuwa…
Waziri wa zamani katika Serikali ya Awamu ya Nne, Stephen Wasira amemshukia Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu kwa mambo manne. Moja ya mambo ambayo Wasira amesema ni kwamba mbunge…
Wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama wamachinga jijini Dar es salaam wamekumbwa na taharuki baada ya kufika katika eneo lao la biashara nje ya jengo la Machinga complex na kukuta vibanda vyao…
Staa wa lebo ya RockaStar4000, Barakah The Prince amefunguka ukweli wa mambo kuwa hakutarajia ngoma yake ya NISAMEHE kufanya vizuri sokoni kama ilivyotokea. Barakah ameweka wazi kuwa kwa namna ‘team’…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Harmorapa usiku wa jana amekoswa kupigwa na chupa wakati akitumbuiza kwenye show ya Diana Nyange 'Usiku wa Komela' katika ukumbi wa Maisha Basment jijini Dar es…