New video: M 2 The P ft Mr Blue – Nakuhonga
Tazama hapa video mpya ya Mwanamuziki M 2 THe P akimshirikisha Blue ngoma inaitwa Nakuhonga
Tazama hapa video mpya ya Mwanamuziki M 2 THe P akimshirikisha Blue ngoma inaitwa Nakuhonga
Mastaa wawili wa Bongo, Idris Sultan na Harmonize wamerushiana maneno makali kwenye mitandao ya kijamii. Wawili hao walikuwa wakitupiana vijembe kupitia pages zao hizo za mitandao ya kijamii. Picha lilianza…
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge imemhoji Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kwa saa tatu kuhusu tuhuma za kuingilia madaraka…
Mwanamuziki, Rico Single kutoka visiwani Zanzibar amesema kuwa kuimba wimbo wa harakati kama alivyofanya Nay wa Mitego ni vigumu kwa Zanzibar kutokana na mitazamo tofauti ya siasa. Rico Single amesema…
Mtoto wa Rais wa Marekani, Donald Trump aitwae Ivanka Trump amechaguliwa kushika nafasi ya msaidizi wa baba yake katika Ikulu ya Marekani 'White House'. Ivanka amekubali shinikizo baada ya wataalamu…
Muigizaji wa Bongo Movie, Jacob Stephen (JB) amesema kuwa kutopata mtoto kwake hakujaaribu ndoa yake. JB amesema kuwa hajabahatika kupata mtoto kwenye ndoa yake lakini bado hajakata tamaa na anaamini…
Gavana wa jimbo la Mombasa nchini Kenya, Hassan Joho anakabiliwa na tuhuma za kughushi cheti cha mtihani wa kidato cha nne nchini humo. Baraza la Taifa la Mitihani Kenya (KNEC)…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameteua kamati ya wataalamu watakaofanya uchunguzi kwa lengo la kubaini kiwango cha madini kilichomo katika makontena yenye mchanga wa…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli jana amefungu kikao cha pamoja cha Mawaziri wa Serikali za Tanzania na Uganda pamoja na wadau kuzungumzia mradi wa…
Timu ya Taifa ya Brazil imekuwa timu ya kwanza kufuzu fainali za Kombe la Dunia nchini Urusi mwaka 2018 baada ya kuifunga Paraguay 3-0. Brazi jana walifanikiwa kushinda goli 3-0…
Basi la mwendokasi limegonga taa ya kuelekezea magari katika makutano ya Barabara ya Msimbazi na Morogoro jijini Dar es Salaam. Katika ajali hiyo hakuna majeruhi wala aliyoripotiwa kupoteza maisha kwenye…
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hamphrey Polepole ametangaza majina ya wagombea 12 watakaowania nafasi 6 za ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki. Akiyataja majina hayo…
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma hatoweza kuhudhuria mazishi ya mpigania haki za watu weusi nchini humo, Ahmed Kathrada baada ya familia ya mwanaharakati huyo kumuomba asihudhurie. Mwaka jana, mwanaharakati…
Waziri wa Habari, utamaduni, sanaa na micheo Dr. Harrison Mwakyembe amesema kuwa hawezi kuifanyia kazi ripoti ya Nape kuhusu mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuvamia kituo cha Clouds…
Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge imeanza kumuhoji Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuhusu tuhuma zinazomkabili za kuingilia Haki, Uhuru na Madaraka…
Mwanamuziki nyota wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz anatarajia kufungua tawi jipya la lebo yake ya wcb nchini Rwanda. Diamond amesema hayo kupitia akaunti yake ya Instagram huku akimbatanisha na picha…
Leo ni kumbukumbu ya kifo cha aliyekuwa gwiji wa muziki nchini Tanzania, Marehemu TX Moshi William. Marehemu TX Moshi William alifariki Tarehe 29 Machi 2006 siku ya Jumatano majira ya…
Aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amesema ataendelea kuwa mtiifu kwa Rais John Magufuli, Serikali na Chama cha Mapinduzi tofauti na maneno yanayosemwa mitandaoni. Tangu alipoachwa…
Mwanamuziki wa Hip Hop, Nay wa Mitego amesema kuwa atayafanyia kazi maoni ya Rais Magufuli kuhusu kuboresha wimbo wake kwa namna ya pekee. Nay wa Mitego amesema kuwa ataufanyia marekebisho…
Wizara ya Fedha na Mipango imetoa mapendekezo ya sura ya Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2017/2018 ikionesha itakusanya na kutumia Sh trilioni 31.7 ikilinganishwa na Sh trilioni 29.5…
Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May ametia saini barua ambayo itaanzisha rasmi mchakato wa kuiondoa Uingereza kutoka kwa Muungano wa Ulaya. Barua hiyo inatoa taarifa rasmi ya nchi ya Uingereza…
Mgonjwa Neema Wambura ambaye alikuwa akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) amemshukuru Rais John Pombe Magufuli baada ya afya yake kuimarika na kuruhusiwa kurejea nyumbani. Neema amemshukuru rais…
Shirikisho la soka Duniani (FIFA) limemfungia naodha wa timu ya taifa ya Argentina Lionel Messi ambaye pia anaichezea FC Barcelona ya Hispania. FIFA wametangaza kumfungia mechi nne Lionel Messi kufuatia kosa alilolitenda March 24 wakati wa mchezo…
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha jana imesikiliza malalamiko ya watuhumiwa 61 wanao kabiliwa na kesi ya ugaidi ambapo shauri lao lilfunguliwa mwaka 2014. Wakizungumza mahakamani hapo watuhumiwa hao wamesema kuwa…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Baraka The Prince amesema kuwa wakati wake ukifika naye atajiingiza katika mambo ya filamu kama alivyofanya muigizaji, Hemed. Baraka The Prince ameelezea hisia zake kwa kile…
Mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva, Juma Nature amekanusha kulipwa na Harmorapa kwenye wimbo wa 'Kiboko ya mabishoo' na kudai kuwa hana pesa za kumlipa. Nature amesema kwamba alikubali kushiriki katika wimbo…
Sarafu kubwa iliyotengenezwa kwa dhahabu yenye picha ya Malkia Elizabeth wa Uingereza, ambayo inathamani ya $4m (£3.2m) imeibiwa kwenye makumbusho nchini Ujerumani. Sarafu hiyo kutoka Canada imeandikwa kuwa ya thamani…
Baraza Kuu la Uongozi Taifa la Chama cha Wananchi(CUF) leo limemvua, Maalim Seif nafasi ya Ukatibu Mkuu wa Chama hicho na nafasi hiyo kukaimiwa Bi. Magdalena Sakaya. Mwenyekiti wa CUF…