Nyumba za walimu zatengewa bajeti ya bilioni 15/-
Bajeti ya mwaka wa fedha 2016/17 serikali imetenga jumla ya Sh bilioni 13.9 kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za walimu 1,157 kwa shule za msingi na Sh bilioni 11.14…
Bajeti ya mwaka wa fedha 2016/17 serikali imetenga jumla ya Sh bilioni 13.9 kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za walimu 1,157 kwa shule za msingi na Sh bilioni 11.14…
Kupitia video yake aliyoiweka Instagram na kutangaza kuwa mwaka 2017 utakuwa na mambo makubwa zaidi, hatimaye Diamond Platnumz ameanza kuyaweka wazi mambo hayo. Unaikumbuka track yake aliyofanya na staa wa…
Kesi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha St. Joseph waliorudishwa nyumbani kwa kukosa sifa kutokana na vigezo vya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) kufanyika Februari 15 mwaka huu. Mahakama…
Mchekeshaji, Idris Sultan ameteuliwa kuwa Balozi wa Global Peace Foundation, nchini Tanzania ambapo atawakilisha katika matawi 25 ya mikutano mbalimbali duniani. Mkurugenzi wa Global Peace Foundation, Martha Nghambi amesema wamemteua …
Mwanamuziki wa bongo fleva, Vanessa Mdee amesema kuwa siri ya yeye kuwa bora na kufanikiwa kwenye maisha yake ni kufanya kazi sana na kuheshimu ratiba yake. Vanessa amesema kuwa huwa…
Mkali wa hip hop Bongo, Joh Makini amesema kuwa yeye na kundi lake la Weusi hawashindani na msanii yoyote kwenye muziki nchini badala yake wanafanya kazi bora tu kwa mashabiki…
Wizara ya Maji na Umwagiliaji imebainisha kuwa iko kwenye mchakato wa kuondoa tozo ya huduma kwenye mita za maji kama ilivyofanyika kwenye huduma za umeme. Tayari wizara hiyo imeanza kufanya…
Mwanajeshi wa Uingereza anayepigana vita nchini Syria, anadaiwa kujipiga risasi na kujiua kwa kuogopa kukamatwa mateka na wapiganaji wa kundi la IS. Mwanajeshi huyo Ryan Lock aliyekuwa na umri wa…
Rais wa Baraza la muungano wa Ulaya, Donald Tusk amesema kuwa maamuzi yanayofanywa na Donad Trump ni miongoni mwa chanagmoto zinazokumba muungano huo. Amesema kuwa mabadiliko yaliofanyika nchini Marekani ni…
Aliyekuwa mgombea wa wadhifa wa mwenyekiti kutoka Kenya katika tume ya Umoja wa Afrika AU, Amina Mohammed ametaja usaliti miongoni mwa mataifa jirani ya Afrika Mashariki kuwa sababu ya yeye…
Mshambuliaji wa Manchester United, Zlatan Ibrahimovic amemmshauri Anthony Martial kwa kumwambia aachane na suala la kuondoka badala yake amsikilize kocha wake Jose Mourinho. Zlatan amemwambia mchezaji huyo kama anataka kufanikiwa…
Pambano la ndondi kati ya bondia Anthony Joshua wa Uingereza na Wladimir Klitshchko wa Ukraine linatarajiwa kufanyika Aprili 29 katika uwanja wa Wembley nchini Uingereza mwaka huu. Mambondia hao wamefanya…
Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Amos Makalla ametoa siku 14 kwa Halmashauri zote za mkoa huo kuwaondoa watu wote waliovamia hifadhi ya misitu pamoja hifadhi ya msitu wa mto Mbeya.…
Marais wa Afrika walikutana makao makuu mwa umoja wa nchi hizo mjini Adis Ababa nchini Ethiopia ambapo walijadili mambo mbali mbali likiwemo suala la kubadilishana uongozi na kujiondoa mahakama ya…
Muigizaji nyota wa Nigeria, Osita Iheme maarufu kwa jina la Paw Paw amefungua lebo ya muziki itakayosimamia kazi za wanamuziki nchini Nigeria. Baada ya kufungua lebo hiyo ya muziki…
Mwanamuziki nyota wa Marekani, Kanye West anatarajia kuzindua siku ya Fashion ijulikanayo kama Yeezy Season 5 Februari 15 mwaka huu jijini New York. Mkali huyo ameamua kuileta tena Yeezy msimu wa…
Watu 13 wamekamatwa wakiwemo wakulima na wafugaji wilayani Malinyi kutokana na kukaidi agizo la serikali la kusitisha shughuli za kibinadamu katika bonde la mto Kilombero mkoani Morogoro. Kamati ya Ulinzi…
Umoja wa Afrika (AU) umeunga mkono mpango wa kujiondoa kwa pamoja katika mahakama ya ICC ambayo mataifa mengi ya Afrika yanahisi inawalenga viongozi wa bara la Afrika pekee. Uamuzi huo…
Mwanafunzi Alfred Shauri wa sekondari ya Feza Boys ya jijini Dar es Salaam ameongoza kwa kufanya vizuri Tanzania nzima katika ufaulu wa mtihani wa kidato cha nne uliofanyika Novemba mwaka…
Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Akinwumi Adesina amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli huku akiahidi kuwa benki hiyo itaizalishia Tanzania umeme wa…
Baada ya Idara ya Habari Maelezo kutoa masaa 24 kwa Gazeti la MwanaHALISI kumuomba radhi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli kutokana na kuchapisha habari yenye…
Ligi kuu Uingereza jana imeendelea kwa michezo saba katika viwanja tofauti huku macho na masikio ya watu yakiwa katika uwanja wa Anfield ambapo Liverpool iliwaalika viongozi wa ligi hiyo timu…
Rais wa Marekani, Donald Trump amemteua Neil Gorsuch kuwa jaji wa mahakama kuu kwa mwaka mmoja. Gorsuch mwenye umri wa miaka 49 ni jaji katika mahakama ya rufaa mjini Denver…