Serengeti Boys yafuzu Afcon U-17 nchini Gabon
Timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 17, ‘Serengeti Boys’ imefuzu kushiriki fainali za Afrika zitakazofanyika nchini Gabon, Aprili mwaka huu baada ya rufaa yao kukubaliwa. Serengeti imefuzu baada…
Marekani yaiwekea vikwazo Iran
Marekani imeiwekea vikwazo nchini ya Iran kufuati hatua yake ya hivi majuzi ya kulifanyia jaribio kombora. Wizara ya fedha ya Marekani ilitangaza hatua dhidi ya watu 13 na kwa kampuni…
Travis Kalanick ajiuzuru kumshauri Trump
Mkuu wa kampuni ya Uber, Travis Kalanick amejiuzulu katika kundi linalomshauri rais Trump baada ya kukosolewa vibaya na wafanyikazi pamoja na Umma. Bodi hiyo ambayo pia inamuorodhesha afisa mkuu wa…
Umoja wa Mataifa waonya juu ya viwavi jeshi
Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia chakula (FAO) limetoa onyo juu ya ongezeko la viwavi jeshi ambao huharibu mazao ya chakula. FAO imeonya kuwa mlipuko wa wadudu hao kwenye nchi…
Mfahamu Tim Steiner aliyeuza mgongo wake kwa kuchorwa tattoo
Tattoo ni mchoro unaochorwa sehemu yoyote kwenye mwili wa binadamu ambapo wengine huwa wanachora kwa maana au kama pambo. Tim Steiner ni mwanaume mwenye mchoro mkubwa aina ya tattoo mgongoni…
Vanessa Mdee ajumuishwa kwenye orodha ya sakata l madawa ya kulevya
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee amejumuishwa kwemye orodha ya wanamuziki wanohusishwa na sakata la madawa ya kulevya. Vanessa amejumuishwa kwenye orodha hiyo na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya…
Romania waandamana kupinga sheria ya kuhalalisha rushwa
Maandamano makubwa yanaendelea nchini Romania kupinga Serikali kupitisha sheria ya kuhalalisha baadhi ya matendo ya rushwa. Maelfu ya watu wamekusanyika katika viunga vya mji wa Bucharest na miji mingine nchini…
Video: Mama alia mbele ya Magufuli baada ya kudhurumiwa
Mwanamke mmoja, Sobha Mohammed mkazi wa Tanga ametoa malalamiko yake kwa uchungu mbele ya Rais Magufuli kwenye maadhimisho ya sheria yaliyofanyika katika viwanja vya mahakama jijini Dar es Salaam. Tazama…
Rais wa Angola kustaafu mwaka huu
Rais wa Angola, Eduardo dos Santos amesema kuwa atastaafu urais wa nchi hiyo mwaka huu baada ya kutawala taifa hilo kwa kipindi cha miaka 38. Eduardo dos Santos amelaumiwa kwa…
Polisi watishia kumtia nguvuni 2face Idibia
Jeshi la Polisi nchini Nigeria limetahadharisha supastaa wa nchi hiyo, 2face Idibia kuwa watamtia nguvuni endapo ataendelea na mpango wake wa kuongoza maandamano kwenye mji mkuu wan chi hiyo, Lagos.…
Diamond anavyoanza kuwaliza mashabiki wake
Diamond Platnumz ameamua kuingia mkataba na kampuni ya kimataifa Universal Music Group (UMG) ili iweze kumsapoti kusambaza nyimbo zake. Ni dili ambayo thamani yake kwa mujibu wa lebo ya WCB,…
Jumba la Nicki Minaj lavamiwa na wezi, wasepa na vito vya £140,000 (TZS 390m)
Polisi katika jimbo la Los Angeles nchini Marekani wanapeleleza kesi nyingine ya kuibiwa kwa staa ikiwa ni miezi michache tangu staa wa Marekani, Kim Kardashian aporwe vitu vyake nchini Ufaransa.…
Beyonce ‘kitumbo’ kuperform Grammy
Staa wa Pop wa Marekani, Beyonce amekubali kufanya performance kwenye utoaji wa tuzo za Grammy licha ya kuwa mjazito wa watoto mapacha. Baba mzazi wa staa huyo, Mathew Knowles ndiye…
Wasanii waitikia wito wa Makonda kufika kituo cha Polisi
Baada ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuwataja wasanii wanaojihusisha na uuzaji wa madawa ya kulevya na kuwataka kufika kituo kikuu cha Polisi hatimaye wasanii hao…
Dk. Shein amewataka viongozi na watendaji wa umma kutofanya kazi kwa mazoea
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein amewataka viongozi na watendaji katika sekta ya umma kuacha kufanya kazi kwa mazoea. Dk Shein amesema kuwa…
Yanga kumenyana na Stand United leo uwanja wa Taifa
Klabu ya Yanga leo watacheza dhidi ya Stand United kwenye mechi ya ligi kuu Tanzania Bara katika uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Yanga Charles…
Asha Boko awataka wachekeshaji wa kike wajitokeze kwenye sanaa
Muigizaji wa vichekesho nchini, Asha Boko amewataka wachekeshaji wa kike kujitokeza kwa wingi ili kuweza kuchangamsha sekta ya uchekeshaji kwa wasanii wa kike nchini. Asha amesema anashangazwa na uchache wa…
Muswada wa Sheria ya Madaktari waondolewa Bungeni
Muswada wa Sheria ya Madaktari, Madaktari wa Meno na Wataalamu wa Afya Shirikishi wa Mwaka 2016 umeondolewa Bungeni na Serikali. Naibu Spika, Dk Tulia Ackson amesema serikali imeamua kuuondoa muswada…
Mahakama ya kimataifa kuamua mgogoro wa mpaka kati ya Kenya na Somalia
Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), imetoa huku ya kwanza juu ya pingamizi la nchi ya Kenya na kudai ina haki ya kuamua juu ya mgogoro wa mpaka baina ya…
Lameck Ditto: Sihusiki na biashara ya dawa za kulevya
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Lameck Ditto amesema kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda alikosea kutaja jina lake kwa kuwa hahusiki na biashara ya dawa za kulevya…
Pep Guardiola amrudisha Yaya Toure kikosi cha UCL
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola amemrudisha kwenye kikosi cha Ligi ya Mabingwa Ulaya, kiungo wake Yaya Toure. Toure ambaye aliachwa kwenye kikosi cha wachezaji 25 kwenye hatua ya makundi…
JK Rowling awajibu wanaoitishia kuchoma vitabu vya Harry Potter
Mwandishi wa vitabu vya Harry Potter, JK Rowling amewajibu watumiaji wa mtandao wa Twitter ambao wametishia kuchoma moto vitabu vyake kufuatia msimamo wake dhidi ya rais Donald Trump. Rowling amekuwa…
Tatizo la uhamiaji haramu: EU watafuta suluhisho la Libya
Viongozi wa Umoja wa Ulaya wanakutana nchini Malta kujadili njia bora za kukabiliana na wimbi la uingiaji wa wahamiaji haramu kutoka Afrika Kaskazini na Mashariki ya Kati. kikao hicho cha…
Rais Magufuli azitaka Mahakama kufuatilia madeni ya kesi za Serikali ilizoshinda
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amezitaka mahakama kukusanya shilingi tilioni 7.3 ambazo ni matokeo ya Serikali kushinda kesi mbali mbali za ukwepaji kodi. Rais…
P – Funk Majani amwaga sifa kwa Harmorapa
Mtayarishaji mkongwe wa muziki wa Bongo fleva, P Funk Majani amemwagia sifa mwanamuziki anayechipukia Harmorapa kwa ksema msanii huyo ni levo nyingine. Toka msanii Harmorapa ameingia kwenye muziki kwa kuanza kujifafanisha…
Waziri wa ulinzi wa Marekani ameionya Korea Kaskazini kuhusu silaha za nyuklia
Waziri wa ulinzi nchini Marekani, James Mattis ameionya Korea Kaskazini iwapo itafanya matumizi yoyote ya silaha za nyuklia. Mattis yupo nchini Korea Kusini ambapo ameihakikisha Seoul Korea kwamba inaungwa mkono…
Trump awasilina na waziri mkuu wa Australia kuhusu waamiaji haramu
Rais wa Marekania Donald Trump na waziri mkuu wa Australia Malcolm Turnbull wamewasiliana kwa njia ya simu kuhusu makubaliano ya kuwachukua wakimbizi. Trump alitaja mawasiliano hayo kuwa mabaya zaidi kati…
Rais Magufuli amemteua Jenerali Venance S. Mabeyo kuwa Mkuu wa Majeshi nchini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amemteua Luteni Jenerali Venance S. Mabeyo kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania. Luteni Jenerali Venance S Mabeyo anachukua…