UEFA yataka kuingiza timu 16 kombe la dunia
Shirikisho la soka barani Ulaya Uefa linatarajia kuwasilisha pendekezo kwa timu za bara hilo kupewa nafasi 16 kwenye mashindano ya kombe la dunia la mwaka 2026 ambapo timu zitakazoshiriki zitakuwa…
Shirikisho la soka barani Ulaya Uefa linatarajia kuwasilisha pendekezo kwa timu za bara hilo kupewa nafasi 16 kwenye mashindano ya kombe la dunia la mwaka 2026 ambapo timu zitakazoshiriki zitakuwa…
Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger amesema kuwa bado klabu inaweza kushinda taji la ligi kuu nchini Uingereza msimu huu licha ya tofoutiyla pointi 12 kati yake na Chelsea. The Gunners,…
Rais wa Gambia, Adama Barrow amesema kuwa nchi hiyo haitajiondoa kutoka mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai, (ICC). Barrow amebadili uamuzi wa mtangulizi wake Yahya Jammeh, ambaye alikuwa anapinga…
Afrika Mashariki inataka kuzizima, milango ifungwe, barabara zisiruhusu vyombo kupita na media zote kuacha habari nyingine, iwe Diamond na Zari a.k.a The Bosslady pekee. Unajua nini ambacho Baba na Mama…
Staa wa Pop, Madonna amethibitisha kuasili watoto wawili mapacha nchini Malawi kupitia akaunti yake ya Instagram. ‘Nimefurahi sana na ninashukuru kwa kila mmoja miongoni mwa wamalawi aliyepelekea kufanikiwa kwa jambo…
Rais wa Marekani, Donald Trump ameamua kuvunja ukimya juu ya uhusiano na nchi ya China kwa kumuandikia barua rais wa nchi hiyo Xi Jinping. Rais Trump amemshukuru rais Xi kwa…
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesogeza mbele kesi inayomkabili Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Media, Maxence Melo na mwenzake Mike Mushi hadi Machi 9 mwaka huu. Kesi hiyo imeghairishwa kwa kile kilichoelezwa…
Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ameviagiza vikosi vya kijeshi vipatavyo 440 kulinda usalama katika majengo ya bunge wakati wa hotuba yake leo. Hotuba za hapo awali za Zuma, zilikumbwa…
Kiongozi wa chama kipya cha upinzani nchini Zimbabwe ilichoanzishwa na makamu wa zamani wa rais na aliyekuwa mshirika mkubwa a rais Mugabe, Joice Mujuru, amewafuta uanachama wanachama tisa wa juu…
Muigizaji wa Bongo Movie, Wema Sepetu ameachiwa kwa dhamana katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam baada ya kukidhi vigezo vya dhamana hiyo. Wema Sepetu leo amefikishwa…
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu ameendelea kusota rumande kwa zaidi ya saa 48 bila kufikishwa mahakamani. Wakili wa mbunge huyo, Peter Kibatala ameamua kukimbilia Mahakama Kuu Kanda ya Dar…
Mahakama Kuu nchini Kenya imebatilisha uamuzi wa serikali ya nchi hiyo kufunga kambi ya wakimbizi ya Daadab. Mahakama hiyo imesema kuwa waziri wa usalama wa ndani, Meja Jenerali mstaafu Joseph…
Mwanamuziki wa hip hop nchini Marekani, Drake ameongoza kwa mauzo ya nyimbo kuliko mwanamuziki yoyote duniani kwa mwaka 2016. Shirikisho la Kimataifa la Nyimbo limesema kuwa nyimbo za mwanamuziki huyo…
Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji amefika kituo kikuu cha Polisi (Central) jijini Dar es Salaam kusikiliza tuhuma zinazomkabili za kujihusisha na madawa ya kulevya. Manji ni miongoni mwa watu 65…
Rais wa Jamhuri ya Muungao wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amepokea hati za utambulisho wa mabalozi sita watakaowakilisha nchi zao hapa nchini. Mabalozi hao ambao hati zao zimepokelewa na…
Mashabiki wa hip hop nchini Marekani wamemwita The Game mbaguzi na baadhi ya baada ya kitendo cha kuwatimua wanawake weusi kutoka kwenye sherehe yake fupi baada fainali za Super Bowl. Taarifa hiyo…
Watu 500 wa familia moja nchini China wamepiga picha ya familia wakiwa wote pamoja na kuleta gumzo n mitandaoni. Picha hizo zilichukuliwa wakati wa kusherehekea mwaka mpya nchini humo ambao…
Nyimbo mpya ya Diamond Platnumz aliyomshirikisha Ne-Yo imefikisha views Milioni 1 ndani ya siku tano. Kutokana na rekodi hiyo Diamond Platnumz amekuwa msanii wa pili Tanzania kwenye mtandao wa VEVO…
Aliyekuwa mbunge wa Kinondoni, Idd Azzan amesema kuwa tuhuma kwamba anahusika na biashara ya dawa za kulevya zilianza toka mwaka 2013. Azzan amesema hayo baada ya kutajwa katika orodha ya…
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametakiwa kufika mbele ya kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa madai ya…
Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo 'Mzee wa Upako' amesema kuwa yeye ni mmoja kati ya watu ambao wamewahi kutuhumiwa kuhusika na biashara ya dawa za kulevya. Mzee…
Wabunge nchini Uingereza wamekubali serikali ya nchi hiyo kuanza mjadala, kuzungumzia, kujitoa katika Umoja wa Ulaya. Muswada huo umeidhinishwa kwa kupigiwa kura na Wabunge 494, huku wengine 122 wakukataa kuupigia…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amesema kuwa amesitikishwa na gharama kubwa ya ujenzi wa jengo jipya kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu…
Waziri mkuu wa zamani wa Somalia, Mohamed Abdullahi Farmajo amechaguliwa kuwa rais mpya wa Somalia baada ya kumshinda aliyekuwa rais wa nchi hiyo Hassan Sheikh Mohamed kwenye uchaguzi uliofanyika jana.…
Staa wa filamu za Battlestar Galactica, Richard Hatch amefariki dunia kwa ugonjwa wa kansa ya kongosho akiwa na miaka 71. Staa huyo ambaye ndiye staa pekee aliyeshiriki kwenye filamu mbili…
Mwanasiasa na kiongozi mkuu wa upinzani nchini Urusi, Alexei Navalny, amekutwa na hatia ya matumizi mabaya ya fedha na kuhukumiwa kutoshiriki siasa kwa miaka mitano. Hukumu hiyo inamfanya mwanasaisa huyo…
Waziri wa fedha wa Qatar, Ali al-Emadi amesema kuwa nchi hiyo itatumia karibu dola milioni 500 kwa wiki kwa miradi mikubwa wakati inajiandaa kwa Kombe la Dunia la mwaka 2022.…
Mkimbiaji wa Ethiopia, Genzebe Dibaba amevunja rekodi ya dunia yam bio za mita 2,000 kwa wanawake baada ya kushinda kwenye mashindano ya mbio za ndani ya Miting International de Catalunya.…
Jumla ya watu 116 raia wa Nigeria wameuawa nchini Afrika Kusini kwa njia ya kiholela kwa muda wa miaka miwili iliyopita, kwa mjibu wa gazeti la Daily Trust lililomnukuu afisa…
Wakili wa Mbunge wa Arusha Mjini,Godbless Lema anayefahamika kwa jina la Sheck Mfinanga amewasilisha notisi ya mdomo kwa nia ya kukata rufaa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha kupinga uamuzi uliotolewa…