Gabon imeaga mashindano ya Afcon hatua ya makundi
Mwenjeji wa kombe la mataifa ya Afrika (Afcon) Gabon imeaga mashindano hayo kwenye hatua ya makundi baada ya jana kutoka 0-0 dhidi ya Cameroon katika raundi ya tatu ya michuano…
Mwenjeji wa kombe la mataifa ya Afrika (Afcon) Gabon imeaga mashindano hayo kwenye hatua ya makundi baada ya jana kutoka 0-0 dhidi ya Cameroon katika raundi ya tatu ya michuano…
Watu zaidi ya 18 wamefariki dunia na wengine 50 wamejeruhiwa kutokana na kuibuka kimbunga kikali na hali mbaya ya hewa katika majimbo ya Georgia na Mississipi nchini Marekani. Magavana wa…
Nahodha wa klabu ya Azam, John Bocco amesema kuwa leo hatoshangilia kama akishinda goli kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Cosmopolitan kutokana na kutambua mchango wao wa kumtoa…
Mkali wa R&b nchini, Rama Dee ameonyesha hisia zake kwa kuridhishwa na uongozi wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli na kumuombea kwa Mungu ifikapo mwaka 2020 ashinde tena kwa awamu…
Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete ameanza harakati za kujenga kiwanda cha Tiles katika jimbo lake ambacho kinaweza kuja kutoa ajira kwa watu zaidi ya elfu sita nchini. Ridhiwan Kikwete amesema…
Mwanamuziki wa Bongo fleva na muigizaji nchini, Shilole amefunguka na kuwapa neno baadhi ya vijana ambao wamekuwa wakilalamika juu ya hali ngumu ya maisha huku wengi wao wakiitupia lawama Serikali…
Mshauri maalumu wa Rais wa Gambia Adama Barrow amesema zaidi ya dola za Kimarekani milioni 11 zinaaminika kutoweka katika hazina ya serikali, kufuatia kuondoka madarakani Yahya Jammeh. Mia Ahmad Fatty…
Rais wa Uturuki, Recep Erdogan amewasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku mbili na kupokelewa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa…
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amemwandikia barua Gavana wa Benki ya Tanzania (BoT), Profesa Beno Ndulu ili achukue hatua za kulishughulikia sakata la fedha…
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema serikali imelipa jumla ya Sh bilioni 29 kwa watumishi mbalimbali wa umma wakiwemo walimu, ikiwa ni sehemu ya madeni…
Watu 36 wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa baada ya Treni ya abiria kuacha reli na kupinduka katika jimbo la Adhra Pradesh nchini India. Idadi ya vifo inaongezeka kutokana na majeruhi…
Waziri Mkuu wa Mauritius, Anerood Jugnauth amesema kuwa anaoandoka madarakani na kumkabidhi mwanawe Pavind madaraka. Waziri huyo mkuu mwenye umri wa miaka 82 alichukua wadhifa huyo toka mwaka 1982. Jugnauth…
Baada ya kuteuliwa kuwa Balozi, Dkt Abdalah Posi ambaye alikuwa mbunge wa kuteuliwa amemuandikia barua ya kujiuzuru nafasi hiyo Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai.…
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amepewa siku 14 na serikali awe amelipa kodi ya hoteli yake ya Aishi takribani milioni 13.5 vingine vyo hoteli hiyo itafungwa. Hoteli ya Aishi inayomilikiwa…
Rais mpya wa Marekani, Donald Trump akiongea neno na rais Mstaafu Barrack Obama mara baada ya kukabidhiana madaraka kwenye sherehe iliyofanyika katika Ikulu ya White House mjini Washington siku ya…
Aliyekuwa kiongozi wa Gambia, Yahya Jammeh ameondoka nchini humo kuelekea nchini Guinea baada ya kukubali kukabidhi madaraka kwa Adama Barrow aliyeshinda katika uchaguzi wa urais mwezi disemba mwaka jana. Jammeh…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amemteua Anne Kilango Malecela kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mnamo June 26, 2016 ,…
Serikali imesema iko tayari kujifunza namna ambavyo China imefanikiwa katika kukuza uchumi wake, ili kutengeza mfumo utakaoleta maisha bora kwa Watanzania wote. Hayo yameelezwa na Makamu wa Rais, Samia Suluhu…
Mwanamuziki wa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo, Mboyo Moseka maarufu kwa jina la Mbilia Bel ameadhimisha miaka 40 toka aanze kuingia kwenye kazi ya muziki wa Bolingo nchini humo. Mbilia…
Jeshi la polisi nchini limewaka wafanyabiashara na wananchi wanaofanya manunuzi au kuuza bidhaa kwa njia za mtandao kuwa makini na matapeli wanaotumia mitandao kufanya uhalifu. Hayo yamesemwa na Msemaji wa…
Rais wa Marekani, Donald Trump ameanza kutia saini maagizo ya rais baadhi yake yakiwa ni ya kubadili yale yalioafikiwa na mtangulizi wake Barak Obama. Muda mfupi baada ya kukagua gwaride…
Shamba la Kilimanjaro Veggies lililopo wilayani Hai mkoani Kilimanjaro linalomilikiwa na Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe limesitishwa kufanyika shughuli za kilimo kutokana na kuwa ndani ya chanzo cha maji ya…
Mfanyabiashara maarufu nchini, Mohamed Dewji ameshinda tuzo ya mtu aliyefanya vizuri katika Uongozi kwa Mwaka 2016 inayotolewa na Jarida la African Leadership. Dewji ameibuka na ushindi huo kwa kupata kura…
Mshambuliaji wa Manchester United, Memphis Depay amejiunga klabu ya Lyon kwa ada paundi milioni 16 huku dau likipanda hadi kufikia paundi milioni 21 kama Lyon watafuzu klabu bingwa Ulaya. Mshambuliaji…
Nahodha wa zamani wa Liverpool na Uingreza, Steven Gerrard amechaguliwa kuwa kocha wa timu ya vijana ya Liverpool baada ya kustaafu soka. Gerrard mwenye miaka 36 alianza kuchezea Liverpool mwaka…
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amewaonya viongozi wote nchini ngazi ya mikoa na wilaya kuacha mara moja tabia ya kuwakamata wauguzi na wakunga…
Nchi ya Morocco imekuwa nchi ya kwanza Afrika kutumia treni yenye kasi zaidi baada ya kwasili kwa treni hiyo nchi humo tayari kwa kutumika. Treni hiyo ina uwezo wa kutembea kilometa…
Donald Trump ameapishwa kuwa rais wa 45 wa Marekani kwa kipindi cha miaka minne baada ya kushinda uchaguzi mkuu uliofanyika mwaka jana nchini humo. Sherehe za kuapishwa rais huyo zimefanyika…
Rais wa Gambia, Yahya Jammeh amekubali kung'atuka na kuondoka nchini humo baada ya kushauriwa na viongozi wa Ukanda wa Magharibi. Adama Barrow ambaye ndiyo mshindi wa kiti cha urais nchini…