India kupima tena urefu wa kilele cha mlima Everest
Serikali ya India imetangaza nia ya kutuma wataalamu wake kufanya uchunguzi wa urefu mlima mrefu zaidi duniani, mlima Everest kwa mara ya pili ili kupima endapo urefu wake ulipungua. Mpango…
Serikali ya India imetangaza nia ya kutuma wataalamu wake kufanya uchunguzi wa urefu mlima mrefu zaidi duniani, mlima Everest kwa mara ya pili ili kupima endapo urefu wake ulipungua. Mpango…
Msichana wa miaka saba kutoka Aleppo ambaye kwasasa anaishi nchini Uturuki, Bana Alabed amemuandikia barua ya wazi Rais mpya wa Marekani, Donald Trump akimtaka kuchukua hatua kuhusu watoto wa Syria.…
Rais mpya wa Marekani, Donald Trump ametoa mwaliko kwa waziri mkuu wa India Narendra Modi kutembelea nchini Marekani baada ya kufanya mazungumzo kwa njia ya simu. Ikulu ya Marekani imemuelezea…
Mshambuliaji wa Liverpool, Philippe Coutinho amesaini mkataba mpya wa miaka mitano utakaomuweka Anfield mpaka msimu mwaka 2022 ambapo atakuwa analipwa paundi 150,000 kwa wiki. Kutokana na mktaba mpya aliosaini mshambuliaji…
Uongozi wa juu wa chama cha ZANU-PF umepuuza maneno ya mwanasiasa kijana wa Adrika Kusini Julius Malema aliloyatoa kupitia mtandao wa Facebook kwa kusema anashukuru kwa msaaa mkubwa ambao ‘Babu…
Staa wa RnB Bongo, Steve amefunguka kwa kusema kuwa hakupata mafanikio toka aanze kuimba kutokana na uongozi wake kushindwa kumsimamia vizuri. Steve RnB ambaye alitoka kumuziki kupitia wimbo wa 'Tabasamu'…
Mbunge wa Morogoro Mjini, Abdulaziz Abood amekabidhi Sh milioni 48 kwa ajili ya kulipia ada wanafunzi wa elimu ya juu, shule za sekondari na shule za msingi waliopo ndani ya…
Baada ya kimya kirefu kundi la muziki wa Bongo fleva, Yamoto Band linatarajia kuanza ziara ya kimuziki katika Bara la Ulaya wakianzia nchini Sweden Januari 27 mwaka huu. Katika taarifa…
Chombo kinachosimamia usalama nchini Sudani Kusini kimeliomba Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuharakisha kutuma wanajeshi wake wa kulinda amani ili kukabiliana na matukio ya mauaji na uvunjifu wa…
Maeneo yote yaliyounganishwa kwenye mfumo wa taifa wa kusambaza umeme Tanzania asubuhi yameathiriwa na kukatika kwa ghafla kwa umeme. Shirika la Umeme nchini Tanesco limesema tatizo hilo limesababishwa na hitilafu…
Klabu ya Manchester United imeweka tena historia nyingine kwenye soka la Uingereza baada ya kupitisha azimio la upanuzi wa eneo la kukaliwa na mashabiki walemavu ambapo zitaongezwa siti 300. Ili…
Mwanamuziki wa Bongo fleva, Chege Chigunda amesema kuwa yeye hana bifu na mkali mwenzie Juma Nature kama inavyodhaniwa na mashabiki nchini. Chege ambaye aliongozwa na Nature wakiwa TMK Wanaume Family…
Chama cha Kutetea Abiria Tanzania (CHAKUA) kimeiomba serikali kuhakikisha matumizi ya tiketi za elektroniki katika sekta ya usafirishaji nchini yanakuwa ya lazima. Ofisa Msimamizi wa chama hicho anayesimamia Mkoa wa…
Timu ya taifa ya Ivory Coast imetolewa kwenye mashindao ya Mataifa ya Afrika yanayonedelea nchini Gabon baada ya kufungwa 1-0 na Morocco katika raundi ya tatu ya kombe hilo. Ivory…
Rais wa Marekani, Donald Trump anatarajiwa kutia saini amri kuu kuweka masharti kuhusu wahamiaji wanaoingia nchini humo. Taarifa kutoka Marekani inasema kuwa ataanza kwa hatua ya kuimarisha usalama katika mpaka…
Mkurugenzi wa Formula One, Bernie Ecclestone ameondolewa kwenye nafasi hiyo baada ya Shirika la habari la Liberty la Marekani kukamilisha mkataba wake wa dola bilioni 8 ya kuumiliki mchezo huo.…
Tamasha la Sauti za Busara linatarajiwa kufanyika kuanzia Februari 9 hadi 12 mwaka huu visiwani Zanzibar litawakutanisha wasanii zaidi ya 400 wa vikundi 40 vya muziki kutoka Bara la Afrika…
Serikali ya Kenya inatarajia kununua ndege 14 za kijeshi zenye thamani ya dola milioni 418 kutoka nchini Marekani. Ndege hizo zitatumika katika vita dhidi ya wapiganaji wa al-Shabab wenye makao…
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba ameshiriki zoezi la kuteketeza silaha haramu 5,608 zilizokamatwa kwenye matukio ya kihalifu na zingine kusalimishwa hapa nchini. Waziri Nchemba ameandika katika ukurasa wake…
Kiongozi wa upinzani nchini DR Congo Etienne Tshisekedi ameelekea nchini Ubelgiji kwa matibabu ya kiafya. Hatua hiyo inajiri wakati ambapo chama chake kinaendelea na mazungumzo ya kugawana mamlaka kufuatia hatua…
Katibu wa Siasa, Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole amewashuru watanzania kwa kuipa ushindi CCM kwenye uchaguzi wa ubunge wa jimbo la Dimni Zanzibar pamoja Udiwani. Kiongozi huyo amesema…
Mchezaji wa Manchester City, Raheem Sterling amenunua nyumba ya kifahari yenye thamani ya paundi milioni 3.1. Jumba hilo liko katika eneo la Cheshire likiwa na skwea mita za mrapa 7,5000…
Mtu mmoja amefariki dunia na wengine 32 kujeruhiwa vibaya baada ya basi la Vitu Laini linalofanya safari zake kutoka vijiji vya Kilolo kwenda Iringa Mjini kugongana na lori la mbao…
Mwanamuziki wa Bongo fleva, Vanessa Mdee amewashukuru mashabiki wake baada ya video ya wimbo wao 'Juu' akiwa na jux kufikisha views milioni moja kwenye mtandao wa Youtube ndani ya siku…
Muongozaji wa video za muziki nchini, Khalfani Khalmandro amesema kuwa kutokana na kazi zake anazozifanya kuwa bora haoni director anayesababisha kukosa usingizi kwa hofu kwenye kazi hiyo. Director huyo amefunguka…
Raia wa Palestina wanaoishi kwenye meneo yanayotambuliwa kama maeneo ya waizraeli wamefanya maandamano hadi kwenye bunge la Israel ‘Knesset’ lililopo Jerusalem Magharibi kupinga uvunjwaji wa makazi ya wapalestina. Maandamano hayo…
Rais wa Gambia, Adama Barrow amemteua Fatoumata Jallow-Tambajang kuwa makamo wa rais ambaye amekidhi vikezo vya kuwa na umri miaka 65. Fatoumata Jallow-Tambajang mwenye ushawishi mkubwa ambaye aliwahi kuwa mshirika…
Mwaka 2015 hakuna mpenzi wa burudani ya muziki Bongo ambaye hakuna anawajua YAMOTO Band. Na katika hali ya kushangaza kidogo, YAMOTO Band walikuwa ni sehemu ya kampeni ya aliyekuwa mgombea…
Idadi ya wakimbizi na wahudumu wa misaada ya binadamu waliofariki baada ya kushambuliwa kwa bahati mbaya na majeshi ya Nigeria kwa kudhaniwa ni Boko Haram imeongezeka. Tukio hilo lililotokea wiki…
Mtandao wa Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) umedukuliwa na kundi la Urusi New World Hackers wakidai kupinga Gabon kuandaa michuano ya Mataifa ya Afrika (Afcon) mwaka huu. Wanachama wa…