Matonya na Jide kurudi na ‘Anitha remix’?
Ni kama Bongo Fleva INAZALIWA UPYA vile. Ukitazama kwa sasa, Bongo Fleva imeanza kubadilisha muelekeo na WAKONGWE wanaonekana kuanza kuchukua nafasi zao. Baada ya Lady Jay Dee kuwa mmoja wa…
Ni kama Bongo Fleva INAZALIWA UPYA vile. Ukitazama kwa sasa, Bongo Fleva imeanza kubadilisha muelekeo na WAKONGWE wanaonekana kuanza kuchukua nafasi zao. Baada ya Lady Jay Dee kuwa mmoja wa…
Sudan imepinga vikali katazo la rais wa Marekani, Donald Trump kuwapiga marufu raia wa nchi hiyo ambao wengi wao ni waislamu kuingia nchini Marekani. Wizara ya mambo ya nchi za…
Kauli ya rais wa Marekani dhidi ya raia kutoka nchi saba za Kiislam ambao amewapiga marufuku imeanza kumtokea puani. Baada ya kuzungumzia sana suala la kuwapiga vita waislam na kisha…
Meli mpya ya kisasa 'AZAM SEALINK 2' aina ya RORO yenye uwezo wa kubeba abiria wapatao 1650, mizigo uzito wa tani 717 sambamba na magari 150 imetia nanga kwa mara…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewasili mkoani Dodoma leo asubuhi kwa ajili kuhudhuria vikao vya bunge ambavyo vinatarajiwa kuanza kesho Jumanne. Waziri Mkuu ameongozana na…
Staa wa zamani wa timu ya taifa ya Uingereza, klabu ya Man United na Real Madrid, David Beckham amepuuza uvumi unaodai kuwa ndoa yake inalindwa na brand ya ‘Beckham’. Staa…
Mrembo wa Ufaransa, Iris Mittebaere ameshinda taji la miss Universe kwenye fainali zilizofanyika katika mji wa Manila nchini Ufilipino jana usiku. Mshindi huyo mwenye miaka 23 amefanukiwa kutwaa taji hilo…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amewashukuru viongozi wote wa Umoja wa Afrika (AU) kwa kuamua jengo la umoja huo kuitwa jina la Mwalimu Julius…
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amesema kuwa mgogoro wa Zanzibar wa siasa visiwani humo utamalizika endapo viongozi wa vyama vyote wa siasa watakaa chini…
Treni ya abiria yenye mabehewa tisa aina ya Deluxe, iliyokuwa ikitoka mkoani Kigoma kwenda Dar es Salaam imeanguka mkoani Pwani na kujeruhi watu kadhaa. Katika mabehewa hayo, manne yameanguka, matatu…
Mshambuliaji wa Manchester United na timu ya taifa ya Uingereza, Wayne Rooney jana alikabidhiwa tuzo yake ya kuwa mfungaji bora zaidi wa Mashetani Wekundu wa Old Trafford. Kwenye tukio hilo,…
Jengo la upasuaji kwa wanawake wajawazito limezinduliwa katika Hospitali ya Mwananyamala wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Jengo hilo limezinduliwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul…
Kiungo wa Ufaransa, Dimitri Payet amekamilisha usajili wa kujiunga na klabu yake ya zamani, Marseille akitokea Westham kwa ada ya uhamisho Euro milioni 25. Baada ya kukamilika kwa usajili huo…
Wachimbaji madini 15 waliofukiwa na udongo mwekundu wa mgodini mkoani Geita wameokolewa wakiwa hai. Miili yao haikuwa na nguvu, tumboni hakukuwa na kitu na njaa ya siku nne ilikuwa imewatafuna…
Jengo la Amani na Usalama lililopo Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa nchini Ethiopia limetangazwa rasmi kuwa litaitwa Mwalimu Julius Nyerere. Jengo hilo limepewa jina hilo…
Mcheza tenesi Roger Federer kutoka Switzerland, ameshinda ubingwa wa Austaria Grand Slam baada ya kumshinda Rafael Nadal kwa seti tano mfulululizo. Ushindi huo ni wa 18 wa Grand Slam kwa…
Lile penzi la mastaa, Harmonize na Jacqueline Wolper amble lilianza kwa mbwembwe na madoido ya kila aina kisha likaja kukatika kama tui la nazi sasa linapambaniwa tena. Baada ya Wolper…
Mshambuliaji wa Liverpool, Sadio Mane ‘kwa bahati mbaya’ amewapa tiketi wapinzani wake Cameroon kwaajili ya kucheza mchezo wa nusu fainali ya AFCON 2017 baada ya kukosa mkwaju wa penati. Pambano…
Jaji wa Marekani amesitisha matumizi ya sheria mpya iliyosainiwa na rais mpya wa Marekani, Donald Trump ambayo imeanza kutumikana kuathiri mamia ya raia wa kigeni wanaoishi nchini humo. Chama cha…
Uchunguzi dhidi ya boss wa zamani wa kampuni ya magari ya Ujerumani ya VW, Martin Winterkorn huenda ukaanza hivi karibuni kuhusiana na udanganyifu uliokuwa ukifanyika wakati wa uongozi wake. Mwendesha…
Pambano la kina dada wawili wa familia ya Williams, Venus na Serena limemalizika kwa dada mdogo, Serena kumtandika dadaake Venus kwa seti mbili mfululizo za 6-4 na 6-4 na kushinda…
Shirikisho la soka barani Afrika, CAF limekanusha madai kuwa viwanja vinavyotumika nchini Gabon vinawasababishia majeruhi wachezaji. Kocha wa timu ya taifa ya Ghana, Avram Grant amekuwa kocha wa kwanza kutoa…
Kampuni kubwa ya teknolojia ya Google imewawaita wafanyakazi wake waliokuwa safarini nje ya Marekani kurejea haraka nchini humo kufuatia rais Trump kusaini sheria ya kuwazuia raia kutoka nchi 7 duniani…
Unaweza ukadhani kuwa baada ya mastaa Ommy Dimpoz na Diamond Platnumz kutupiana madongo makubwa hadi kutia aibu hadharani kunaweza kukaharibu uhusiano wa kikazi baina ya mastaa hao, UMEKOSEA! Biahara au…
Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Uganda, Milutin 'Micho' Sredojevic ametishia kujiondoa kwenye timu endapo hatolipwa stahiki zake za malimbikizo ya mishahara. Micho aliyeweka rekodi ya kufanikiwa kufuzu na…
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imetoa ufafanuzi juu ya mkutano wa Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ushirikiano (JPCC) unaotarajiwa kufanyika nchini Malawi mapema mwezi…
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amezua mjadala mzito kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuwaambia raia wa nchi yake kuwa yeye si mtumishi wao. Rais Museveni alidai kuwa yeye ni…
Mataifa ya Afrika Magharibi yaliyosaidia kuondoka madarakani kwa rais wa zamani wa Gambia, Yahya Jammeh kisha kujitolea kulinda usalama nchini Gambia yamepanga kupunguza idadi ya wanajeshi hao nchini humo. Hatua…
Mahakama ya Kenya imetoa amri kwa idaya ya uhamiaji ya nchi hiyo kuhakikisha kuwa wanachama wawili wa upinzani nchini Sudani Kusini waliopotea kwa siku nne sasa hawarudishwi nchini kwao bila…