Rais mpya wa Ghana kuapishwa leo
Rais mpya wa Ghana, Nana Akuffo-Addo anatarajiwa kuapishwa leo kushika wadhifa huo baada ya kumshinda aliyekuwa rais wa taifa hilo lenye demokrasia bora zaidi barani Afrika, John Dramani Mahama kwenye…
Rais mpya wa Ghana, Nana Akuffo-Addo anatarajiwa kuapishwa leo kushika wadhifa huo baada ya kumshinda aliyekuwa rais wa taifa hilo lenye demokrasia bora zaidi barani Afrika, John Dramani Mahama kwenye…
Mkurugenzi wa lebo ya Milian Dollar Boys (MDB), Maxlian Rioba amesema kuwa kwasasa lebo hiyo haifanya kazi tena na Young Dee kwa madai kuwa rapa huyo hana nidhamu. Max Rioba…
Kampuni inayotayarisha michezo ya kompyuta ya Razer imezindua laptop mpya yenye skrini tatu kwenye maonyesho ya teknolojia mpya jijini Las Vegas, Marekani. Kampuni hiyo imesema laptop hiyo ambayo imeundwa kupitia…
Mwanamke tajiri zaidi barani Afrika Isabel dos Santos, mtoto wa rais wa Angola amejiongezea utajiri baada ya kununua hisa katika benki kubwa zaidi nchini humo. Bi Santos amechukua udhibiti wa…
Yanga na Azam leo zitakutana kwenye mchezo wa tatu wa Kundi A kwenye michuano ya Mapinduzi katika Uwanja wa Amaan visiwani Zanzibar. Timu hizo leo zinakutana mara 27 kwenye mashindano…
Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Harry Kitilya na wenzake, imeahirishwa hadi Januari 20 mwaka huu kutokana na upelelezi kutokamilika. Wakili Mwandamizi wa…
Nchi ya Urusi imesema kuwa itaanza kupunguza wanajeshi wake nchini Syria na itaanza kwa kupunguza meli zake zenye uwezo wa kubeba ndege za kivita. Kwa mujibu wa mkuu wa majeshi…
Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Naibu Kamisha Mohammed Mpinga amesema kikosi hicho kitaanza kukamata magari yote ambayo yamewekwa taa zenye mwanga mkali (spotlights). Mpinga amesema wameshatoa maelekezo kwa askari…
Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamealikwa kuhudhuria sherehe ya kuapishwa kwa rais mpya wa Ghana, Nana Akufo-Addo kwenye sherehe zitakazofanyika kesho Januari 7 mwaka huu. Viongozi waliopata…
Kingozi wa kundi la Yamoto Band, Temba amesema kuwa kundi hilo linatarajia kuachia nyimbo mbili kwa pamoja baada ya kukamilika kwa nimbo hizo. Temba ambaye ni mwanamuziki mkongwe amefunguka na…
Hali ya kushangaza nchini Uingereza barua zilizoandikwa kwa mkono na Princess Diana zimeuzwa kwenye mnada uliofanyika jana siku ya Alhamis nchini humo. Barua hizo sita zilitumwa kwa Cyril Dickman, aliyekuwa…
Madaktari nchini Kenya wamekataa nyongeza iliyopendekezwa na serikali katika juhudi za kujaribu kumaliza mgomo wa madaktari na wahudumu wa afya ambao umedumu kwa mwezi mmoja sasa. Rais Uhuru Kenyatta alikutana…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Dayna Nyange amekuwa mtanzania pekee aliyechaguliwa kuwania tuzo za BAE Awards 2017zitakazofanyika nchini Nigeria. Dayna Nyange amechaguliwa katika vipengele viwili BEST AFRICAN ACT akichuana na Eddy…
Muigizaji mkongwe wa India, Om Puri amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 66 baada ya kupatwa mshtuko wa moyo nyumbani kwake Mumbai leo. Mkongwe huyo wa filamu nchini India…
Walimu mkoani Shinyanga wamepigwa marufuku kufanya biashara ya kubeba abiria kwa piki piki maarufu kama 'boda boda' na badala yake wajikite zaidi katika kuinua elimu mkoani humo. Hayo yamesemwa na…
Wafugaji watano wa Wilaya ya Sikonge mkoani Tabora wamejeruhiwa kwa risasi huku mmoja amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tabora ya Kitete baada ya kuvamia hifadhi ya wanyamapori.…
Tazama video mpya ya mkali kutoka pande za Kenya, Jaguar akimshirikisha Mwanamuziki El kutoka Ghana, ngoma inatwa Worrior.
Aliyekuwa mgombea wa kwanza mwanamke kuwania kiti cha urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Anna Senkoro anatarajiwa kuzikwa kesho katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Msemaji…
Mamlaka ya Bandari Mkoa wa Mtwara wamkamata magari mawili yenye magunia ya korosho 350 sawa na tani 29 baada ya kubainika mihuri iliyotumika kwenye vibali ni ya kughushi. Kaimu Meneja…
Mkali wa muziki kutokea pande za Nigeria, Wizkid amesema kuwa anatarajia kufanya mambo makubwa mwaka 2017 kwani hawezi kuangalia aliyoyafanya mwaka 2016 kwani yashapita tayari. Msanii huyo mwenye umri wa…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka wakuu wa idara kwenye Halmashauri za wilaya na manispaa wasaidie kutoa utaalamu badala ya kupingana na madiwani ili wawezeshe…
Staa wa muziki nchini Nigeria, Yemi Alade amefanikiwa kupata mwaliko wa kuhudhuria katika sherehe ya utoaji waztuzo za ‘Annual Grammy Awards’ ambazo zitatolewa nchini Marekani Februari 12, mwaka huu. Sherehe…
Baada ya migogoro ya ardhi kuendelea kutokea mkoani Morogoro na kusababisha maafa miongoni mwa jamii husika, waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba amesema ataongeza askari Polisi na vitendea kazi…
Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein amesema jitihada za kuimarisha huduma za bandari zitafanikiwa endapo waliopewa dhamana ya kuzisimamia na kufanya kazi katika…
Kiungo wa timu ya taifa ya Algeria na klabu ya Leicester city, Riyad Mahrez ameshinda tuzo ya mchezaji bora Afrika baada ya kuwashinda Sadio Mane wa Senegal na klabu ya…
Muigizaji nyota wa Bongo movie, Niva amesema kuwa hana tatizo wala bifu na rapa Nay wa Mitego licha ya kutupiana madongo ya maneno miongoni mwao. Niva amesema kuwa madongo yote…
Staa mkongwe wa Bongo fleva, Q-Chillah amesema hafanyi collabo na wanamuziki wa ndani kwasasa kutokana na soko lake kuangalia kimataifa zaidi. Mkali huyo amesema kuwa hakufanya kolabo na wasanii waliosainiwa kwenye…
Mwanamuziki wa Bongo fleva, Ben Pol amefunguka na kusema kuwa anawashangaa watu ambao wameonesha kutopendezwa na wimbo wa Darassa 'Muziki' alioshirikishwa. Kauli hiyo ya Ben Pol inakuja baada ya baadhi…
Wakulima wa vitunguu wilayani Mbarali mkoani Mbeya wamelalamikia baadhi ya kampuni zinazozalisha mbegu za zao hilo kwa kuwauzia mbegu feki na kusababisha kuzalisha mazao yaliyo chini ya kiwango na hivyo…
Raia wawili wa Morocco ambao walijaribu kuwaingiza wahamiaji katika eneo linalotawaliwa na Uhispania lililo kazkazini mwa Afrika la Cueta wakiwa wamejificha ndani ya gari na mwengine katika sanduku. Wakati maafisa…