Dudu Baya awachana wanaomwambia aache kunywa pombe
Mwanamuziki mkongwe wa Bongo fleva, Dudu Baya amefunguka na kusema kuwa hakuna mtu wa kumpangia muda wa kunywa pombe hivyo ataendelea kunywa muda anaotaka yeye iwe asubuhi sana au mchana.…
Mwanamuziki mkongwe wa Bongo fleva, Dudu Baya amefunguka na kusema kuwa hakuna mtu wa kumpangia muda wa kunywa pombe hivyo ataendelea kunywa muda anaotaka yeye iwe asubuhi sana au mchana.…
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohammed Shein leo amewaongoza maelfu ya Wazanzibar na Watanzania kwa ujumla katika maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi ya…
Klabu ya Southampton jana imeizamisha Liverpool kwa goli 1-0 kwenye mechi ya nusu fainali ya kwanza michuano ya kombe la ligi (EFL) iliyofanyika katika uwanja wa St Mary. Goli la…
Mtoto wa pili wa rais wa Marekani, Barrack Obama, Sasha Obama ameshindwa kuhuduria sherehe ya kuagwa kwa baba yake kutokana na kukabiliwa na mitihani katika shule ya Sidwell iliyopo jijini…
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Nape Nnauye amemkabidhi bendera ya Taifa, mwanamuziki Diamond Platnumz anayekwenda kutumbuiza kwenye uzinduzi wa michuano ya Afrika (AFCON) itakayofanyika nchini Gabon kuanzia Januari…
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya soka ya wanawake ya Uingereza na mfungaji bora wa timu hiyo Kelly Smith ametangaza kuachana na mchezo huo akiwa na umri wa miaka 38.…
Kesi ya kupinga baadhi ya vipengele vya Sheria ya huduma za vyombo vya habari imefunguliwa na Baraza la Habari Tanzania, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) na Mtandao…
Daktari aliyemtibu Said Mrisho aliyetobolewa macho na Scorpion ameshindwa kufika mahakamani kutoa ushahidi mpaka kupelekea kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha inayomkabili Salum Njwete 'Scorpion' kushindwa kuendelea leo. Scorpion alifikishwa…
Nchi ya Norway imekuwa nchi ya kwanza duniani kuzima mawimbi ya redio ya analogia ambayo yanajumuisha pia masafa ya FM. Mawimbi hayo yataanza kuzimwa saba na dakika kumi na moja…
Mahakama ya wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro imemhukumu mbunge wa jimbo la Kilombero (Chadema), Peter Lijualikali kwenda jela miezi sita bila faini baada ya kukutwa na hatia ya kuwafanyia fujo…
Mkuu wa Wilaya ya Serngeti mkoani Mara, Nurdin Babu amesema kuwa wilaya hiyo inahitaji zaidi ya tani 4.1 za chakula ili kunusuru maisha ya kaya zaidi ya 32,000 kutokana na…
Mkali wa hip hop Bongo, Nikki wa Pili amesema kuwa migogoro ya wakulima na wafugaji inayoendelea nchini inasababishwa na wafugaji kupora ardhi yao katika maeneo tofuti na baadhi ya viongozi.…
Mfanyabiashara nchini, Mohammed Dewji (MO) ametajwa kwenye orodha ya mabilionea 21 wa Afrika huku akiwa Mtanzania pekee kwenye orodha hiyo iliyotolewa na Jarida la Forbes. Jarida maarufu la uchumi duniani,…
Staa wa Bongo fleva, Ben Pol amesema kuwa baada ya kusikilizwa wimbo wa Darassa 'Muziki' wakati haujakamilika kwa mara ya kwanza aliwaza mambo mawili katika akili yake. Ben Pol amesema…
Muigizaji mkongwe wa vichekesho nchini, Amri Athumani 'Mzee Majuto' amesema kuwa hawezi kuacha kuigiza kutokana na uigizaji upo kwenye damu kwa hiyo ataigiza mpaka atakapokufa. Mzee Majuto mwaka jana aliwahi…
Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa na Frederick Sumaye wanatarajia kufanya ziara katika mikoa ya Kanda ya Ziwa Viktoria na Serengeti. Kwa mujibu…
Klabu ya Manchester United imekubali kumuuza kiungo wake, Morgan Schneiderlin kwenda Everton kwa ada ya uhamisho itakayogharimu paundi milioni 22. Kiungo huyo wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 27 alijiunga…
Mwanamuziki wa Bongo fleva, Nuh Mziwanda amekanusha tetesi zilizoenea katika mitandao ya kijamii kuwa yeye na mpenzi wake wa zamani Shilole walikuwa pamoja jijini Mwanza. Staa huyo amesema kuwa ni…
Naibu waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Hamis Kigwangala amezindua kifaa kipya cha kugundua ugonjwa wa selimundu ambacho kinatoa majibu ndani ya dakika tano. Naibu…
Watu 12 wanahofiwa kufariki dunia baada ya mashua iliyokuwa safarini kutoka mji wa wa Tanga ikielekea visiwa vya Pemba kuzama Jumatatu usiku. Kamanda polisi eneo la kaskazini mashariki, Benedict Wakulyamba…
Baada ya kuwatimua makocha wake kutoka nchini Hispani hatimaye Azam FC imemtambulisha kocha mpya atakayeinoa klabu hiyo ambaye jina lake anaitwa, Aristica Cioaba kutoka nchini Romania. Kutokana na makubaliano ya…
Mwanamuziki nyota wa hip hop nchini Marekani, Dj Khaled amenunua jumba la kifahari lenye thamani ya dola milioni 10 sawa na shilingi bilioni 20 za kitanzania. Nyumba hiyo ambayo ipo…
Wasanii wa maigizo na muziki nchini wamepata somo kuhusu masuala ya kodi kutoka mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). TRA imeendelea na mpango mkakati wake wa kuhakikisha inatoa elimu ya kodi…
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amemteua mwanawe Meja Jenerali Muhoozi Kainerugaba, kuwa mshauri mkuu wa rais kuhusu operesheni maalum. Mke wa Museveni, Janet Kataaha Museveni ni Waziri wa Elimu na…
Shirikisho la Soka Duniani Fifa limeongeza idadi ya timu kutoka 32 hadi 48 zitakazoshiriki kombe la duniani baada ya makubaliano yaliyofanyika mjini Zurich nchini Uswisi leo. Mpango huo licha ya…
Eneo la jengo la Billicanas lililokuwa likimilikiwa na mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe linatarajiwa kujengwa maduka ya kisasa na shirika la Nyumba la Taifa (NHC) baada ya kulichukua jengo hilo.…
Mkali wa Aje, Alikiba baada ya kotoa ratiba ya ziara zake za kimuziki za Afrika Kusini kuanzia mwezi ujao huku Marekani ikiwa mwezi wa tatu, staa huyo sasa ametoa ratiba…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza katika Shule ya Msingi Chato alikosoma darasa la kwanza hadi la saba na kuzungumza na walimu…
Rais mteule wa Marekani, Donald Trump amemteua mume wa mtoto, Jared Kushner kuwa mshauri mwandamizi wa Ikulu ya nchi hiyo. Kushner mwenye umri wa miaka 35 ambaye amemuoa mtoto mkubwa…
Mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa dunia ya FIFA iliyotolewa jana mjini Zurich nchini Uswisi. Ronaldo…