Ben Affleck atemwa kuongoza Batman
Staa wa filamu za Batman, Ben Affleck ameondolewa kwenye jukumu la kuongoza filamu mpya ya Batman baada ya kupewa jukumu la kuigiza kwenye filamu hiyo. Kampuni ya kutengeneza filamu ya…
Staa wa filamu za Batman, Ben Affleck ameondolewa kwenye jukumu la kuongoza filamu mpya ya Batman baada ya kupewa jukumu la kuigiza kwenye filamu hiyo. Kampuni ya kutengeneza filamu ya…
Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho ameweka wazi msimamo wake juu ya wachezaji wake wawili, nahodha Wayne Rooney na Ashley Young na kudai ‘hawaondoki’. Akizungumza na waandishi wa habari, Mourinho…
Serikali ya India imekiri kuwa uamuzi wake ‘tata’ wa kuziondoa noti za rupia zenye thamani kubwa kwenye mzunguko mwishoni mwa mwaka jana kumekuwa na athari mbaya kwa uchumi wa nchi…
Mamlaka ya Mapato nchini TRA imesema kuwahaitaongeza muda wa zoezi la uhakiki wa Namba ya Utambulisho wa Mlipakodi kwa jiji la Dar es Salaam. Hiyo ni baada ya muda wa…
Jumla ya tani 35,491 za chakula zinahitajika ili kukabiliana na hali ya upungufu wa chakula na lishe kati ya mwezi Februari na mwezi Aprili mwaka huu unaowakabili watu 1,186,028. Taarifa…
Muigizaji wa Bongo Movie, Shamsa Ford amewataka watanzania kuridhika na kile walichanacho ili kufanikiwa katika maisha. Shamsa ametoa ushauri kwa vijana ambao hupata kidogo na kushindwa kujipanga na maisha ya…
Kila mpanda ngazi hushuka na kila mchimba kaburi ‘HUINGIA MWENYEWE’. Hakuna ukosefu wa hekima na busara kama kumkimbiza chizi anayeiba nguzo zako wakati unaoga kisha nawe ukaamua kutoka ‘kama ulivyozaliwa…
Wachimbaji wadogo 15 waliokuwa wamefukiwa na kifusi kwenye Mgodi wa RZ, Nyarugusu mkoani Geita jana wameruhusiwa kutoka hospitalini baada ya hali zao kuendelea vizuri. Siku ya Jumapili, ilikuwa siku ya…
Klabu ya Istanbul Basaksehir imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa timu ya taifa ya Togo Emmanuel Adebayor kwa mktaba wa mwaka mmoja na nusu. Timu hiyo kwasasa inashika nafasi ya pili…
Majeshi ya maalum ya usalama ya Ecowas yaliyopo nchini Gambia, yamemkamata mkuu wa majeshi ya nchi hiyo aliyekuwa akiongoza vikosi wakati wa utawala wa rais Yahya Jammeh. Majeshi hayo pia…
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekemea tabia ya baadhi ya viongozi kulumbana na kuibua migogoro ambayo hurudisha nyuma maendeleo ya Chama hicho. Kauli hiyo imesemwa na katibu mkuu wa chama hicho,…
Mwendesha mashtaka maarufu wa Afrika Kusini, ambaye alisimamia na kufanikiwa kumfungulia mashtaka ya mauaji mwanariadha mlemavu wa nchi hiyo, Oscar Pistorius na mkuu wa zamani wa polisi Jackie Selebi amejiuzuru.…
Hatimaye Umoja wa Afrika (AU) umefikia makubaliano ya kuirudisha nchi ya Moroko kwenye uanachama wa Umoja huo. Moroko ambayo ilijitoa kwenye uanachama wa Umoja huo mwaka 1984 baada ya AU…
Baada ya kuikacha Taifa Stars, Charles Boniface Mkwasa ametangazwa rasmi kuwa Katibu Mkuu wa klabu Yanga. Mkwasa mwenye taaluma ya ukocha daraja la kwanza la CAF, amewahi kuzifundisha klabu mbalimbali…
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Mtihani wa Kuhitimu Elimu ya Sekondari, Kidato cha Nne kwa mwaka 2016, mtihani ambao ulifanyika mwishoni mwa mwaka jana ambapo ufaulu umeongezeka…
Liverpool leo inaikaribisha Chelsea kwenye mechi ya ligi kuu nchini Uingereza itakayofanyika katika uwanja wa Anfield. Timu hizo zinakutana mara ya pili kwenye ligi ya kuu nchini Uingereza msimu huu…
Mwanamuziki wa Rnb nchini Marekani, Rihanna ametembelea wanafunzi nchini Malawi kwa ajili ya kusaidia na kusambaza ujumbe wa Elimu Bora duniani kupitia Taasisi ya Clara Lionel. Rihanna ambaye ni Balozi…
Afrika bado inaendelea kutafakaria juu ya hatua itakayofuata ya Mkuu wa zamani wa Tume ya Umoja wa Afrika, Nkosazana Dlamini-Zuma. Akiwa na uzoefu mkubwa unaotokana na miaka zaidi ya ishirini…
Kiungo wa klabu ya Arsenal, Mohamed Elneny anaecheza timu ya taifa ya Misri uhenda akakosa michezo yote iliyobaki ya Afcon kutokana na kusumbuliwa na majeruhi. Kama Misri ikiingia fainali kulingana…
Mwanamuzi nyota wa Marekani, Jennifer Lopez ‘J Lo’, amesema kuwa maisha magumu aliyoishi katika familia yake ndiyo yamemfanya ajitume zaidi katika kazi zake za muziki mpaka kufanikiwa. J Lo ameweka…
Rais mstaafu wa Marekani, Barrack Obama amesema kuwa hafurahishwi na maandamano yanayoendelea nchini Marekani ya kumpinga Trump. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ofisi ya rais huyo wa zamani Barack…
Idara ya Habari Maelezo imetoa masaa 24 kwa Gazeti la MwanaHALISI kumuomba radhi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli kutokana na kuchapisha habari yenye kichwa cha…
Umoja wa Mataifa (UN) umesema kuwa utaendelea kuimarisha ushirikiano uliopo kati ya Umoja huo na Tanzania. Katika maongezi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Antonio Guterres na Rais…
Mkutano wa Sita wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unatarajiwa kuanza leo na kumalizika tarehe 10 Februari 2017 Mjini Dodoma. Mkutano huo utakuwa ni mahususi kwa ajili ya…
Waziri wa mambo ya nchi za nje nchini, Chad Moussa Faki amechaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa tume ya Muungano wa Afrika AU. Faki amechukua nafasi ya Dlamini Zuma kutoka Afrika…
Rais wa Marekani, Donald Trump amemfukuza kazi kaimu mwanasheria mkuu, Sally Yates baada ya kupinga kauli ya Trump ya kuwawekea vikwazo raia wanaotoka baadhi ya nchi za kiislamu. Kaimu mwanasheria…
Kesi inayomkabili raia wa China, Yang Feng Glan (66) maarufu kama Malkia wa Meno ya Tembo na wenzake imeahirishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Kisutu kutokana na wakili wa serikali, Faraja…
Wanajeshi wa Kenya wanatarajia kujiunga tena na Ujumbe wa kulinda Amani wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini baada ya kujiondoa mwaka jana kutokana na utata. Taarifa kutoka Ikulu ya…
Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho amesema kuwa kiungo wa klabu hiyo, Bastian Schweinsteiger hatoihama timu hiyo na atajumuishwa kwenye kikosi cha klabu hiyo Europa League. Kiungo huyo wa kati…
Muigizaji nyota wa Bongo movie, Aunt Ezekel amesema kuwa sababu iliyochangia kushuka kwa soko la filamu nchini ni matendo machafu ya wasanii wa tasnia hiyo nchini. Aunty Ezekiel ambaye ni…