Chelsea na Manchester City wapigwa faini kwa utovu wa nidhamu
Klabu ya Chelsea imepigwa faini ya euro 100,000 na Manchester City wamepigwa faini ya euro 35,000 baada ya wachezaji wao kuhusika katika vurugu uwanjani wakati wa mechi ya Ligi kuu.…
Klabu ya Chelsea imepigwa faini ya euro 100,000 na Manchester City wamepigwa faini ya euro 35,000 baada ya wachezaji wao kuhusika katika vurugu uwanjani wakati wa mechi ya Ligi kuu.…
Serikali imezindua Mpango Kazi wa Kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto unaolenga kushirikisha wadau katika jitihada za kuzuia ukatili dhidi ya wanawake na watoto nchini. Akizungumza wakati wa uzinduzi…
Mwanamuziki nyota kutoka nchini Uganda Eddy Kenzo ameachia video mpya ya wimbo wake unaoitwa kwa jina la 'Sembela Eno'.
Mwanamuziki mkongwe na Mbunge wa jimbo la Mikumi, Profesa Jay amemuandikia ujumbe wa kumpongeza mwanamuziki mwenzake Darassa anayefanya vizuri kwasasa kwenye anga ya muziki wa Bongo fleva. Profesa Jay ametumia…
Staa wa hop hop nchini Marekani, Kanye West amekutana na kufanya mazungumzo na rais mteule wa Marekani Donald Trump jijini New York. Rais huyo mteule wa taifa kubwa dunia amesema…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amezindua ujenzi wa barabara yenye urefu wa kilometa moja kutoka eneo la Shimo la Udongo Kurasini hadi Polisi Ufundi. Barabara hiyo…
Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imemtaka yeyote anayeona kuwa kauli iliyotolewa na Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo maarufu Mzee wa Upako imetishia maisha yake…
Mwanamuziki wa Bongo fleva, Barakah The Prince kupitia lebo yake mpya ya BANA amemsajili mwanamuziki mkongwe wa hip hop nchini Lord Eyez atakayesimamiwa chini ya lebo hiyo. Muimbaji huyo amedai…
Kesi ya mfanyabiashara wa jijini Dar es Salaam, Ndama Shaaban Hussein almaarufu Pedeshee Ndama Mutoto ya Ng’ombe leo imeahirishwa tena kutokana na upelelezi kutokamilika. Keis hiyo imeghairishwa katika Mahakama ya…
Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo wameanza mkutano wa halmashauri kuu ya taifa ya Chama hicho ikiwa ni kikao cha kwanza kwa Rais Magufuli toka achaguliwe kuwa mwenyekiti wa CCM. Picha…
Mwanamuziki nyota wa taarab, Isha Mashauzi amesema kuwa anatarajia kufunga mwaka na kufungua kwa nyimbo yake mpya inaiyotwa 'Kiss Me'. Isha Mashauzi amesema amekuwa kimya kwa muda mrefu hivyo nyimbo…
Kiungo wa Manchester City, Yaya Toure amekubali kosa lililokuwa linamkabili la kuendesha gari akiwa amelewa huku akisema hakutumia pombe kwa makusudi. Toure amekamatwa Desemba 3 jijini London baada ya kuzuiwa…
Uongozi wa studio ya B Hits umesema kuwa hawana mpango wa kuwasajili wasanii wengine au kuwarudisha wanamuziki waliokuwa chini ya lebo hiyo yenye maskani yake Mbezi jijini Dar es Salaam.…
Maonesho ya siku ya mavazi ya Swahili maarufu kama 'Swahili Fashion Week' yalifanyika Disemba 4 katika ukumbi wa Makumbusho ya taifa jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na wadau kibao.…
Rais mteule wa Marekani, Donald Trump amesema biashara zake zitasimamiwa na kuendeshwa na wanawe wawili atakapochukua majukumu ya urais. Wanawe hao ni Donald junior na Eric, ambao tayari wamekuwa wakitekeleza…
Uongozi wa chama cha wananchi (CUF ) mkoa wa Kusini Pemba umesema hawaitambui ziara ya Profesa Ibrahimu Lipumba kisiwani humo. Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa ulinzi na usalma wa…
Muigizaji nyota wa Bongo Movie, Kajala Masanja amekanusha tetesi zilizosambaa kwamba amerudiana na aliyekuwa mpenzi wake, Petit Man. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Kajala amesema kuwa hana mahusiano ya kimapenzi…
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameliagiza Jeshi la Polisi kufanya upelelezi kuhusu miili iliyookotwa pembezoni mwa mto Ruvu wilayani Bagamoyo, mkoa wa Pwani. Waziri Mkuu…
Rais wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu Ulimwenguni (FIFA), Gianni Infantino amemtumia salamu za rambirambi rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Jamal Malinzi kufuatia kifo…
Mzee Athuman Mchambua (76) ambaye ametoa tangazo la kutafuta mke wa kuoa, amesema anaamini atafanikiwa lengo lake kabla mwaka huu kumalizika. Amesema hadi sasa ameshapokea simu za wanawake wa mikoa…
Jumuiya ya Ulaya na Marekani zimeweka vikwazo dhidi ya maofisa wakubwa wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwa kuhusika na mauaji ya waandamanaji waliotaka Rais Joseph Kabila kuachia madaraka. Jumuiya…
Wagombea watatu wa nafasi ya kinyang’anyiro cha ubunge katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Dimani Zanzibar, wamepitishwa katika hatua ya awali na mkutano wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) jimbo hilo.…
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye atakuwa mgeni rasmi katika kilele cha Tamasha la Michezo la Karatu litakalofanyika Jumamosi Desemba 17 mwaka huu. Mratibu wa tamasha hilo,…
Rais mteule wa Marekani, Donald Trump ametoa shutuma mpya kupinga madai ya ujasusi nchini Marekani kuwa wadukuzi nchini Urusi waliingilia uchaguzi wa Marekani. Trump aliuliza kuhusu ni kwa nini madai…
Mshambuliaji wa Real Madrid na Ureno, Cristiano Ronaldo amemshinda mpinzani wake Lionel Messi baada ya kushinda tuzo ya Ballon d'Or kwa mara ya nne. Nafasi ya tatu imeshikwa na mshambuliaji…
Kiungo wa Algeria na klabu ya Leicester City, Riyad Mahrez amefanikiwa kushinda tuzo ya mchezaji bora wa Afrika wa BBC wa Mwaka 2016 baada ya kuwashinda wachezaji wenzake wanne. Mashabiki…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli leo ataongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitakachofanyika jijini Dar es Salaam. Kikao…
Hatua ya 32 bora ya kombe la Europa Ligi imepangwa na huku Manchester United ikikutana na Saint-Etienne ya Ufaransa kwenye hatua hiyo. Ratiba kamili kama ifuatavyo Athletic Bilbao vs Apoel…
Miss Tanzania 2016, Diana Edward, amefanikiwa kutinga fainali za shindano la Beauty With A Purpose ni sehemu ya mashindano mbalimbali kwenye Miss World. Beauty With A Purpose huhusisha miradi mbalimbali ya…