Dogo Janja: Sina mpango wa kutoa albamu
Mwanamuziki wa Bongo fleva, Abdulaziz Abubakari maarufu kama Dogo Janja amesema kwasasa hayupo tayari kutoa albamu mpya siku za hivi karibuni mpaka hapo soko la kuuza muziki kwa mfumo wa…
Mwanamuziki wa Bongo fleva, Abdulaziz Abubakari maarufu kama Dogo Janja amesema kwasasa hayupo tayari kutoa albamu mpya siku za hivi karibuni mpaka hapo soko la kuuza muziki kwa mfumo wa…
Bingwa wa Olimpiki wa mchezo wa tennis, Andy Murray ameshindwa kudhibitisha ubora wake mbele ya Marin Cilic baada ya kufungwa kwa seti 6-4 7-5 katika fainali iliyofanyika mjini Cincinnati. Hii…
Serikali ya Zambia imeahirisha sherehe za kuapishwa Rais mteule wa nchi hiyo, Edgar Lungu hadi wakati mwingine baada ya chama kikuu cha upinzani cha Muungano wa Ustawi na Kitaifa (UPND)…
Video ya wimbo wa staa wa Bongo fleva, Vanessa Mdee ijulikanayo kama 'Niroge' imetajwa kuwania tuzo zinazoitwa 'Loeries' nchini Afrika Kusini. Ni tuzo kubwa ambazo hushindanisha kazi mbalimbali za ubunifu…
Mshambuliaji wa Wales, Gareth Bale amefunga magoli mawili baada ya timu yake ya Real Madrid kushinda 3-0 dhidi ya Real Sociedad kwenye mechi ya ufunguzi wa ligi kuu nchini Uhispania.…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli jana tarehe 21 Agosti, 2016 amemteua Bw. Gabriel Fabian Daqarro kuwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha. Bw. Gabriel Fabian…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo amemuapisha Mrisho Gambo kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Mrisho Gambo amechukua nafasi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa…
Kocha wa zamani wa miamba ya soka ya Uingereza, Tottenham Hotspurs, Martin Jol ambaye alikuwa akiifundisha miamba ya soka ya Afrika, Al Ahly ameacha kazi ghafla na kukimbia nchini Misri…
Mkali wa miondoko ya mduara nchini, AT amefunguka kwa kusema wasanii wenzake wasiwe na uroho wa madaraka ya mzuziki kwasababu kila mtu ana nafasi yake kwenye tasnia hiyo. AT amesema…
Rwanda imetangaza kumfukuza kazi kocha wa timu ya taifa ya nnchi hiyo 'Amavubi', Jonathan McKinstry kwa matokeo yasiyo ya kuridhisha. Taarifa iliyotolewa na wizara ya michezo ya Rwanda imethibitisha kuonyeshwa…
Baada ya uzinduzi wa tuzo za 'EATV Awards' leo kampuni hiyo imetangaza vipengele vitakavyokuwepo kwenye tuzo hizo zinazotarajiwa kufanyika Disemba 10 mwaka huu. Tuzo hizo zitahusisha kazi za muziki na…
Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe ameifuta ziara ya nchini Ghana kupokea tuzo ya Millennium Lifetime Achievement award kwa kuliongoza taifa hilo la kusini mwa Afrika kupata uhuru wake mwaka 1980.…
Wanamiereka, Alberto Del Rio na Paige wamesimamishwa kwa muda kushiriki michezo hiyo baada ya kukiuka sera za shirika la wanamiereka la WWE. WWE halijatoa maelezo kuhusu kufungiwa kwao lakini sera…
Manchester United inatarajiwa kushuka dimbani dhidi ya Southampton kwenye mechi ya ligi kuu nchini Uingereza itakayofanyika katika uwanja wa Old Trafford leo usiku. Mechi hiyo ni pili kwa timu…
Umoja wa Mataifa umesema Makamu wa Rais wa zamani wa Sudan Kusini, Riek Machar ambaye alikuwa haonekana hadharani yuko nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Kikosi cha Majeshi ya kulinda…
Staa wa Pop nchini Marekani, Lady Gaga anatarajiwa kuigiza kwenye filamu mpya inayoitwa 'A Star Is Born' akiwa kama mmoja wa mastaa kwenye filamu hiyo itakayotoka mwakani. Filamu hiyo kwa…
Mwanariadha kutoka Jamaica, Usain Bolt ameshinda mbio za mita 200 kwa kutumia sekunde 19.79 katika michuano ya Olympics huko Rio nchini Brazil na kujinyakulia medali ya dhahabu ya pili baada…
Kamati ya Olimpiki nchini Marekani imethibitisha kwamba waogeleaji wawili wa taifa hilo wamezuiwa kuondoka nchini Brazil. Baada ya polisi kutilia shaka habari walizotoa kuhusu kushambuliwa na kuporwa mali mjini Rio…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka wakadiriaji majenzi nchini wahakikishe wanafanya kazi kwa kuzingatia maadili na waepuke vitendo vya rushwa. Makamu wa…
Mwanamuziki nyota wa Marekani, Shad Moss maarufu kama "Bow Wow" anatarajiwa kuungana na muimbaji mwenzake Christina Aguilera kwenye kipindi kipya cha TV kiitwacho 'Tracks' hivi karibuni. Kipindi hicho kinatarajiwa kuanza…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema safari ya kuhamia Dodoma imeiva na amewataka watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wajipange kisaikolojia. Waziri mkuu ametoa kauli…
Staa wa filamu nchini, Wema Sepetu amempa hongera Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tannzania, John Pombe Magufuli kwa kuwakuza vijana wengi kiakili na ufahamu kutokana na namna anavyoongoza nchi…
Brazil imefanikiwa kutinga fainali ya michuano ya Olimpiki kwa upande wa mpira wa miguu kwa wanaume baada ya kushinda 6-0 dhidi ya Honduras kwenye nusu fainali ya michuano hiyo jijini…
Mbunge wa jimbo la Kawe, Halima Mdee amepongeza hatua ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai kwa kuonesha nia ya kutafuta suluhisho baina ya wabunge…
Mkali wa Hip-Hop nchini, Young Killer amefunguka na kusema kuwa yeye hana tofauti yoyote na msanii Baraka The Prince ambaye awali alishawahi kunukuliwa kuwa havutiwi na kazi za msanii huyo…
Aliyekuwa makamu wa rais wa Sudan Kusini, Dkt Riek Machar ameondoka nchini humo wiki chache baada ya mapigano makali kuzuka kati ya vikosi vyake na wanajeshi watiifu kwa Rais Salva…
Staa wa muziki nchini Marekani, Justin Bieber amefuta akaunti yake ya mtandao wa instagram baada ya baadhi ya mashabiki wake kumtukana mpenzi wake mpya. Staa huyo na mpenzi wake wa…
Winga wa Leicester City, Rihad Mahrez amesaini mkataba mpya wa miaka minne na mabingwa hao wa Uingereza ambapo mkataba huo utamuweka King Power mpaka msimu wa mwaka 2020. Winga huyo…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amefanya mabadiliko ya uongozi kwa kumteua Mrisho Gambo kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema…