Ben Pol kuachia remix ya “Moyo Mashine” na Chidinma
Staa wa muziki wa RnB hapa nchini, Ben Pol amesema anatarajia kuachia remix ya wimbo wake 'Moyo Mashine' akiwa na mwanamuziki wa Nigeria, Chidinma ambapo maandalizi ya kazi hiyo imeshaanza.…
Staa wa muziki wa RnB hapa nchini, Ben Pol amesema anatarajia kuachia remix ya wimbo wake 'Moyo Mashine' akiwa na mwanamuziki wa Nigeria, Chidinma ambapo maandalizi ya kazi hiyo imeshaanza.…
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi), George Simbachawene amewapa somo wakurugenzi wapya walioteuliwa hivi karibu na kuapishwa jana mjini Dodoma. Waziri huyo amewataka…
Mwanamuziki mkongwe wa Bongo fleva, Juma Kasimu "Nature" amesema kwamba yupo tayari kumpokea aliyekuwa member mwenzake katika kundi la TMK Wanaume Halisi, KR Mullah kama atakubali kurudi. Kauli hiyo ya…
Mshambuliaji wa Manchester United, Wayne Rooney ameondolewa kwenye kikosi cha timu hiyo kwa ajili ya mechi ya Europa ligi dhidi ya Feyenoord kesho. Mshambuliaji huyo amefanya mazoezi na timu hiyo…
Waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Mwigulu Nchemba amesema kuwa tangu kutokea kwa tetemeko la ardhi wizara yake pamoja na kamati ya ulinzi mkoa na wilaya zinaimarisha ulinzi katika…
Waziri wa nchi ofisi ya rais, utumishi na utawala bora, Angela Kairuki amesema serikali inatambua na kuthamini mchango mkubwa unaotolewa na madaktari, matabibu pamoja na wauguzi nchini. Ameyasema hayo bungeni…
Timu ya Maji maji imeitaka Bodi ya Ligi pamoja na Shirikisho la Soka nchini TFF kusikiliza ombi lao la uwekaji sawa wa ratiba ya Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara…
Mkali wa Bongo fleva, Barakah Da Prince amesema kuwa lugha ya Kingereza kwake ni tatizo kwahiyo anataka kutafuta mwalimu wa kumfundisha lugha hiyo. Baraka Da Prince amesema katika interview yake…
Kiungo wa zamani wa timu ya Taifa ya Brazil na klabu za PSG, Barcelona na AC Milan, Ronaldiho Gaucho ametangaza kustaafu soka kwa ujumla mwishoni mwa msimu baada ya kudumu…
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) itaanza kutoa Vitambulisho vipya vya Taifa vyenye saini kwa wananchi wote waliokamilisha taratibu za usajili na utambuzi na kuchukuliwa alama za kibaiolojia (Alama za…
Serengeti Boys imeshinda 1-0 dhidi ya Northern Dynamo kwenye mechi ya kirafiki iliyofanyika katika mji wa Viktoria katika visiwa vya Shelisheli. Katika mchezo huo uliofanyika Uwanja wa Taifa wa Shelisheli,…
Staa wa Bongo fleva, Harmonize amefunguka kwa kusema Master J alimuambia hajui kuimba baada ya kujitokeza kwenye shindano la BSS mwaka 2012 na kutoendelea tena kwenye shindano hilo. Harmonize amesema…
Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amerudisha pesa zilizotumiwa kukarabati nyumba yake binafasi jinsi ilivyoamriswa na mahakama. Msemaji wa wizara ya fedha amethibitisha kuwa pesa hizo zimepokelewa katika wizara hiyo.…
Mwanamuziki mkongwe wa Bongo fleva, King Crazy GK amewataka mashabiki wa muziki huo kuendelea kusubiria kazi mpya za kundi la East Coast Team ambapo wapo kwenye maandalizi ya kazi mpya.…
Ripoti ya kamati ya bunge nchini Uingereza imekosoa hatua ya Uingereza na Ufaransa kuingilia kati na kusaidia kuondolewa madarakani kwa Kanali Muammar Gaddafi nchini Libya mwaka 2011. Kamati hiyo ya…
Shirikisho la soka Tanzania (TFF), limetoa orodha ya makundi manne na timu zitakazoshiriki ligi daraja la pili (SDL) inayotarajiwa kuanza baadaye, mwaka huu. Kwa mujibu wa Bodi ya Ligi (TPLB),…
Mtayarishaji wa muziki wa Bongo fleva nchini, Mesen Selekta kutoka De Fatality studios amesema kuwa yeye ndiye producer pekee anayetengeneza muziki halisi wa Singeli hapa nchini tofauti na watayarishaji wengine.…
Barcelona imeifunga Celtic 7-0 kwenye mechi ya klabu bingwa barani Ulaya iliyofanyika jana usiku katika uwanja wa Nou Camp. Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi raia wa Argentina amefunga 'hat-trick' yake…
Mwanamuziki nyota wa hip hop nchini, Joh Makini amesema kuwa ile collabo yake pamoja na msanii Davido kutoka Nigeria inatarajia kuachiwa mwishoni wa mwaka huu. Joh Makini amesema kuwa kama…
Uongozi wa klabu ya Azam FC umekubali kucheza mchezo wake wa ligi kuu ya soka Tanzania Bara dhidi ya Simba kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, Jumamosi hii.…
Kampuni ya EATV leo imeanza kutoa fomu kwa wasanii kwa ajili ya kushiriki katika tuzo za 'EATV Awards' zilizozinduliwa mapema mwezi Agosti mwaka huu ambapo zitakuwa zinashirikisha wasanii kutokaka ukanda…
Mwenyekiti wa Umoja wa Maofisa Watendaji Wakuu wa Kampuni Binafsi nchini Tanzania (CEO round table), Balozi Ali Mufuruki, amesema uchumi wa Tanzania haujatetereka kama ambavyo imekuwa ikielezwa na baadhi ya…
Kocha wa Manchester City, Pep Gurdiola amesema timu yake lazima iongeze kiwango kama inataka kushinda ligi kuu nchini Uingereza msimu huu. Manchester City inaongoza ligi kwasasa baada ya kushinda mechi…
Kundi la Yamoto Band limeingiza sokoni bidhaa za nguo zenye jina la kundi hilo ambapo zimeanza kuuzwa maeneo tofauti hapa jijini Dar es Salaam pamoja na baadhi ya mikoa hapa…
Leo September 13 ni siku ya kumbukumbu ya kifo cha aliyekuwa mwanamuziki nyota wa hip hop nchini Marekani, Tupac Amaru Shakur '2Pac' ambapo alifariki kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana.…
Timu ya Taifa ya Tanzania Bara ya wanawake 'Kilimanjaro Queens' imefuzu Nusu Fainali ya michuano ya Kombe la Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge kufuatia ushindi wa mabao 3-2 dhidi…
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa RITA, Emmy Hudson amesema wataanza kutoa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto chini ya umri wa miaka mitano bila ya malipo katika ofisi za kata pamoja…
Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Soka la Ufukweni, John Mwansasu amemuita Kipa wa Mbeya City ya Mbeya, Juma Kaseja Juma kuongeza nguvu kwenye kikosi chake. Mwansasu amesema kwamba…
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) iko mbioni kuanzisha mfuko wa hija kuwawezesha Waislamu wasiokuwa na uwezo lakini wana nia ya kwenda kutekeleza ibada ya hija. Katika hotuba yake ya Baraza la …