Ngassa ajiunga na klabu ya Fanja ya Oman
Kiungo wa kimataifa wa Tanzania, Mrisho Ngassa amesaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na klabu ya Fanja ya nchini Oman. Ngassa aliyesaini baada ya mazungumzo na Mwenyekiti wa klabu, Sheikh…
Kiungo wa kimataifa wa Tanzania, Mrisho Ngassa amesaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na klabu ya Fanja ya nchini Oman. Ngassa aliyesaini baada ya mazungumzo na Mwenyekiti wa klabu, Sheikh…
Ubalozi wa Marekeni nchini umeleta walimu 51 watakaofundisha masomo ya Sayansi, Hesabu na Mazingira kwa kipindi cha miaka miwili. Katika hafla ya kuwaapisha walimu hao jijini Dar es Salaam, Kaimu…
MTV wametoa orodha ya wasanii watakaowania tuzo za MTV MAMA zitakazofanyika katika ukumbi wa Ticketpro Dome Afrika Kusini Oktoba 22 mwaka huu. Vipemgele vitakuwa kama ifuatavyo Best Live Act Stonebwoy…
Ujenzi wa Hospitali na Chuo Kikuu cha Sayansi Muhimbili (MUHAS) kampasi ya Mloganzila umemalizika Agosti 31 mwaka huu na inatarajiwa kuanza kutoa huduma ifikapo Januari mwakani. Akizungumza na waandishi wa…
Mwanamuziki nyota kutoka Nigeria, David Adeleke 'Davido' amefurahishwa baada ya nyimbo yake 'Skelewu' kutimika katika movie mpya ya Hollywood inayoitwa 'Queen of Katwe'. Kupitia mtandao wake wa Twitter Davido amefunguka…
Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi atakuwa nje kwa wiki tatu kufutia kuumia nyonga kwenye mechi ya ligi kuu nchini Uhispania dhidi ya Atletico Madrid iliyofanyika katika uwanja wa Nou Camp…
Askari tisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), wamefikishwa mahakamani wakituhumiwa kwa mauaji ya mkazi mmoja wa Kata ya Chemchem Manispaa ya Tabora. Mwendesha Mashtaka, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Samson…
Mwanamuziki wa hip hop nchini, Kala Jeremiah ametunukiwa cheti ya heshima na Shirika la Society Watch kutokana na wimbo wake ‘Wanandoto’ ambao unatetea watoto yatima na wale wanaoishi katika mazingira…
Mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam, imemtaka Gavana wa Benki Kuu (BoT), Benno Ndulu na Mwendeshaji wa benki ya FBME, Lawrence Mafuru wafike mahakamani kujieleza jinsi watakavyotekeleza amri iliyoitaka…
Jose Mourinho na Pep Guardiola watakutana tena kwenye mechi ya kombe la ligi mzunguko wa nne baada ya Manchester United kupangwa na Manchester City kwenye kombe hilo, mechi hiyo itafanyika…
Waasi katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo wamesema kiasi cha watu mia moja wameuawa katika maandamano ya kuipinga serikali, katika kipindi cha siku tatu zilizopita. Ofisi ya Rais…
Mahakama kuu kitengo cha biashara, imetoa siku saba kwa Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni za IPP, Reginald Mengi kuwasilisha hati ya kiapo kujieleza kwa nini asifungwe jela kwa kushindwa kutekeleza hukumu…
Mwanamuziki nyota wa Mareakani, Jason Derulo leo septemba 21 anasheherekea siku yake ya kuzaliwa baada ya kufikisha miaka 27. Mwanamuziki huyo pia ni mtunzi wa nyimbo na dansa ameanza kujikita…
Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji anatarajiwa kukabidhiwa rasmi timu hiyo baada ya mchezo wao wa ligi kuu Tanzania Bara dhidi ya Simba Oktoba Mosi mwaka huu. Bodi ya Wadhamini ya…
Mwanamuziki wa nyimbo za asili, Saida Karoli amefunguka na kusema kuwa kitendo cha mswanamuziki wa Bongo fleva, Diamond Platnum kurudia moja ya kazi yake anajihisi kuzaliwa upya. Saida Karoli amesikika…
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Nape Nnauye amesema kuwa Serikali haihusiki na mkataba wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) iliyoingia na Benki ya CRDB kwa ajili ya kutengeneza…
Mwanamuziki nyota wa Nigeria, Yemi Alade amesema kwamba msanii anayetamani kufanya nae nyimbo katika ukanda wa Afrika Mashariki kwasasa ni Ali Kiba kwa kuwa ana uwezo mkubwa wa kuimba. Yemi…
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Harmonize kutoka lebo ya WCB amesema kuwa katika harakati zake za kutafuta maisha alishawahi kuwa dereva wa bodaboda kabla ajafanikiwa kwenye muziki. Harmonize amesema…
Kundi la D.D.I Crew limesema kuwa limejiandaa vya kutosha kwa ajili ya fainali ya mashindano ya Dance100% zitakazofanyika Septemba 24 mwaka huu. 2016 ambazo zinatarajiwa kufanyika katika viwanja vya Don…
Watu 13 wamepoteza maisha na wengine 11 kujeruhiwa kwenye ajali ya basi la Super Shem lililogongana na daladala linalofanya safari zake Nyegezi na Shilima kwenye eneo la Hungumalwa mkoani Mwanza.…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini ya mfuko wa Pensheni wa LAPF, Prof. Hasa Malawa kuanzia leo Septemba…
Marekani imesema ndege za kivita za Urusi zilihusika kushambulia msafara wa misaada nchini Syria siku ya Jumatatu na kusababisha vifo vya wakazi wa mji wa Aleppo. Maafisa wa Marekani wamesema…
Mastaa wa Hollywood, Angelina Jolie na Brad Pitt wanatarajia kutalikiana hivi karibuni baada ya Jolie kufungua kesi ya kudai talaka mahakamani. Wakili wa Angelina Jolie, Robert Offer, amesema kwenye ombi hilo…
Kilimanjaro Queens imefanikiwa kutwaa ubingwa wa kwanza wa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Kenya katika…
Makao makuu ya vyama vitatu vya upinzani nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo yamechomwa moto katika mji mkuu wa Kinshasa huku mili miwili ilioungua ikipatikana ndani yake. Mashambulio hayo yanajiri…
Leo na kesho mechi za raundi ya tatu ya kombe la EFL zinatarajiwa kuanza kuchezwa ambapo usiku wa leo mechi kali itakuwa kati ya Leicester City ikiikaribisha Chelsea katika uwanja…
Mwanamuziki mkongwe wa Bongo fleva, Dully Sykes amesema kuwa hawezi kutoa album kabisa kwasababu anaamini hazina faida kama zamani ambapo zilikuwa zinalipa zaidi kulinganisha na siku hizi. Mkali huyo wa…
Umoja wamataifa (UN) umesitisha misafara yote ya misada nchini Syria baada ya malori ya Umoja huo kushambuliwa na ndege za kivita karibu na mji wa Aleppo hapo jana. Msafara huo…
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Nape Nnauye amesema kuwa mfumo wa kuingia uwanja wa Taifa kwa tiketi za Elektroniki utaanza kutumika rasmi oktoba 1 mwaka huu kwenye mechi…
Mwanamuziki wa Marekani, Justin Bieber na mpenzi wake Sofia Richie wadaiwa kuachana baada ya kutoonekana wakiwa pamoja kwa muda mrefu. Chanzo cha karibu cha wawili hao kimesema kuwa Bieber na…