Aliyoyasema mwenyekiti mpya wa tume ya taifa ya uchaguzi (NEC)
Baada ya kuteuliwa na rais kuwa mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (NEC), Jaji Semistocles Kaijage amesema atafanya kazi hiyo kwa uadilifu mkubwa na kwa kufuata sheria, kanuni na Katiba ya…
Baada ya kuteuliwa na rais kuwa mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (NEC), Jaji Semistocles Kaijage amesema atafanya kazi hiyo kwa uadilifu mkubwa na kwa kufuata sheria, kanuni na Katiba ya…
Rais mteule wa Marekani, Donald Trump ameitaka nchi hiyo kuboresha zaidi uwezo wake wa silaha za nuklia. Trump amesema kuwa Marekani lazima ichukue hatua kama hizo hadi wakati ulimwengu utatathmini…
Zaidi ya watu 34 wamefariki nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) wakati wa maandamano ya kumpinga rais wa nchi hiyo, Joseph Kabila. Maandamano hayo yanakuja kufuatia rais Kabila kukataa…
Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) imepitisha na kutangaza matokeo ya watahiniwa 6,282 waliofanya mtihani kati ya Novemba mosi hadi 4 mwaka huu katika ngazi mbalimbali…
Klabu ya Crystal Palace imemfukuza kazi kocha wake, Alan Pardew baada ya timu hiyo kupata matokeo mabaya hivi karibuni mpaka kupekeleke kushika nafasi ya 17 kwenye msimami wa ligi ya…
Mwanamuziki wa Bongo fleva, Ice Boy amefunguka na kusema kuwa rapa Young Killer alikuwa hapendi kuona yeye anafanikiwa na kutoka kwenye muziki licha ya kufanya naye kazi kama 'Back vocal…
Jeshi la Polisi nchini limewapiga marufuku wamiliki wa nyumba za starehe kujaza watu kupita kiasi na kuwataka wazingatie uhalali wa matumizi ya kumbi zao na uwezo wa kumbi hizo katika…
Mkuu wa wilaya ya Ubungo, Kisari Matiku Makori ameapishwa kushika wadhifa huo leo na mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akichukua nafasi ya iliyoachwa wazi na Hamphrey…
Mkali wa pop nchini Marekani, Justine Bieber uhenda asisafiri nchini Agrentina kutokana na kuhofia kukamatwa baada ya kumwagiza mlinzi wake kumpiga mmoja wa wapiga picha nchini humo. Kwa mujibu wa…
Kampuni ya simu za mkononi Zantel imepewa siku saba kulipa kiasi cha Sh milioni 700 inazodaiwa na manispaa hiyo ikiwa ni kodi ya eneo kuanzia 2009 hadi 2014. Kauli hiyo…
Mchekeshaji wa Kenya, Eric Omondi safari hii ameamua kutuletea movie ya Saratina ambae ameweka vionjo vya movie ya Sarafina iliyoelezea ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini.
Kampuni ya Nokia kutoka nchini Finland imeishtaki kampuni ya Apple kwa kukiuka haki 32 za kiteknolojia. Kesi hiyo ya Nokia imewasilishwa katika mahakama tatu nchini Ujerumani na Texas nchini Marekani.…
Kocha mkuu wa Manchester United, Jose Mourinho amesema kuwa anataka kubakia katika klabu hiyo kwa muda mrefu zaidi kwa kuwa anapenda maisha yake na timu hiyo. Mourinho mwenye umri wa…
Rais mteule wa Marekani, Donald Trump amemteua Peter Navarro kuwa kiongozi mkuu wa baraza jipya la kibiashara katika Ikulu ya White House. Peter Navarro alizindua sera ngumu dhidi ya Beijing…
Mkali wa nyimbo 'Muziki' Darassa amesema kuwa madaktari wa hospitali ya taifa ya Muhimbili wamemshauri apumzike na apunguze mizunguko baada ya kuumia kichwa kutokana na ajali aliyoipata wiki iliyopita. Darasa…
Wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya kimataifa Yanga na Azam wamepangiwa ratiba zao za mechi za awali katika michuano hiyo mikubwa kwa upande wa vilabu Barani Afrika. Kwa mujibu wa…
Mchezaji tenisi raia wa Jamhuri ya Czech, Petra Kvitova anatarajiwa kukaa nje ya uwanja kwa miezi sita baada ya kufanyiwa upasuaji kutokana na kujeruhiwa na kisu na mtu asiyejuliakana. Mchezaji…
Daktari bingwa wa magonjwa ya ubongo na mishipa katika Kitengo cha Mishipa ya Fahamu (Neurology) wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Patience Njenje amesema kuwa maderva wa piki piki (Boda…
Mechi za kombe la Mfalume jana zimefanyika katika viwanja tofauti nchni Hispania kwa kuzikutanisha timu mbali mbali. Barcelona waliibuka na ushindi wa kishind wa mabao 7-0 dhidi ya Hercules katika…
Wanafunzi 10 wa chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wamegharamia masomo yao na kukabidhiwa mkopo wa milioni 10 na taasisi ya Mo Dewji baada ya kukidhi vigezo vya ujasiliamali…
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema kuna tatizo la upatikanaji wa dawa kwa wagonjwa wenye kisukari hivi sasa linaloikabili nchi na juhudi zinafanyika…
Nahodha wa Yanga, Haruna Niyonzima amesema kuwa wachezaji wa timu wamegoma kufanya mazoezi ili kuushawishi uongozi waweze kuwalipa mishahara yao ili kuweza kujikimu kimaisha. Nahodha huyo amesema maisha yamekuwa magumu…
Mtayarishaji wa muziki wa bongo fleva kutoka 'Combination Sound' Man Water amesema kuwa sababu za msanii wake 20% kushindwa kurudi kwenye game kama awali ni kutokana na kushindwa kutumiza malengo…
Mwanamuziki wa Bongo fleva, Dogo Janja amefunguka na kuweka wazi kuwa hadi sasa anajutia kuacha shule. Dogo Janja amesema kuwa katika maisha yake anajutia kukosa shule na anasema katika kipindi…
Jeshi la Polisi nchini limesema linaendelea na upelelezi wa miili 7 ya watu iliyokutwa ikielea katika mto Ruvu wilayani Bagamoyo mkoani Pwani ili kutambua chanzo cha vifo vya marehemu hao.…
Mkuu wa mkoa wa Mjini Magharibi visiwani Zanzibar, Ayoub Mohamed Mahamoud amesema kuwa baa zitafanya kazi masaa manne tu ndani ya siku kuanzia saa kumi jioni hadi saa mbili usiku.…
Watu zaidi ya 26 wamekufa na wengine kujeruhiwa baada ya mlipuko wa moto uliotokea katika Soko la fataki San Pablito kilomita 36 nje kidogo ya mji wa Mexco city. Makundi…
Viwango vya wanawake kuweza kupata mimba nchini vimepungua hadi asilimia 5.2 kwa kila mwanamke mwaka 2015/2016 kutoka 6.2 kwa kila mwanamke miaka ya 1991/92 kulingana na utafiti wa afya hapa…
Mahakama ya usuluhisho michezoni (CAS) imeipunguzia adhabu ya kutokusajili klabu ya Real Madrid kutoka mwaka 2018 hadi julai 2017.. Kutokana na kupunguzi adhabu hiyo Ream Madrid itaanza kufanya usajili kuanzia…
Katibu Mkuu wa wizara ya Katiba na Sheria, Profesa Sifuni Mchome amesema kuwa wizara hiyo imeanza utekelezaji wa agizo la Rais John Magufuli la kuhamia mjini Dodoma kabla ya Februari…