Kesi ya Gwajima kusikilizwa Oktoba 27
Kesi ya kutoa lugha chafu inayomkabili Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima inatarajiwa kuendelea kusikilizwa Oktoba 27, mwaka huu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar…
Kesi ya kutoa lugha chafu inayomkabili Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima inatarajiwa kuendelea kusikilizwa Oktoba 27, mwaka huu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa anahamia mjini Dodoma leo ikiwa ni sehemu ya kutekeleza ahadi ya Serikali ya awamu ya tano ya kuhamia Dodoma. Julai…
Yanga na Simba wanatarajia kumenyana katika mechi ya kwanza kesho Jumamosi Oktoba mosi kwenye mechi ya ligi kuu Tanzania bara itakayofanyika katika uwanja wa taifa jijini Dar es salaam. Timu…
Serikali imesema ina mpango wa kufunga mfumo mpya maalum kwa ajili ya kuratibu na kudhibiti mwendo wa magari nchini ikiwa ni sehemu ya jitihada za kukabiliana na ongezeko la ajali…
Chama cha soka nchini Uingereza, FA kimetupa t-shirt 4,000 zilizokuwa zimepangwa kugawiwa kwa mashabiki kwenye mechi ya Uingereza na Malta sababu zilikuwa na nukuu ya kocha aliyetimuliwa, Sam Allardyce. Sam…
Mkali wa wa 'Jike Shupa' Nuh Mziwanda ameingia katika mgogoro na aliyekuwa meneja wake, Petii Man kutokana na madai kuwa meneja huyo amekuwa akitumia jina lake vibaya kupiga hela. Nuh…
Mwanamuziki wa dansi nchini, Khalid Chokoraa amewataka wanamuziki wa singeli nchini kuacha kuuchukulia muziki huo uhuni badala yake wachukulie kama kazi. Chokoraa ambaye ni mwanamuziki wa bendi ya Twanga Pepeta…
Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anna Tibaijuka amesema amekabidhiwa tuzo nchini Marekani, lakini amekataa kupokea fedha zinazoambatana na tuzo hiyo ambazo ni Dola za Marekani 100,000 (zaidi ya Sh milioni…
Manchester United wamepata alama tatu muhimu kwenye kundi A baada ya kushinda 1-0 dhidi ya Zorya Luhansk kwenye mechi ya ligi ya Europa iliyofanyika katika uwanja wa Old Trafford. Zlatan…
Eneo la uwanja ambalo Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji ameipa klabu hiyo lina mgogoro. Manji juzi ametoa eneo la hekari 715 lililo ufukweni mwa Bahari ya Hindi, Gezeulole, Kigamboni kwa…
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imewasilisha marekebisho ya Katiba ya Zanzibar ya 11 ya mwaka 1984, ambayo yatatoa nafasi na kumpa uwezo Rais wa Zanzibar, kuchagua wajumbe wa Baraza…
Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Charles Boniface Mkwasa ameita kikosi cha wachezaji 24 kwa ajili ya mechi ya kirafiki dhidi ya Ethiopia Oktoba 8 mwaka…
Staa wa Hip Hop nchini, Stamina amesema kuwa anatarajia kuachia albam yake mpya ifikapo Disemba mwaka huu huku akibainsha kwamba albam hiyo itakuwa na nyimbo 15. Stamina amesema tayari ameshamaliza…
Muigizaji mkongwe wa Bongo movie, Abdallah Makumbila 'Muhogo Mchungu' amekanusha taarifa zilizosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa amefariki dunia huku akisema hasumbuliwi hata na mafua. Muhogo Mchungu amesema kuwa kwa…
Bunge la Marekani limepiga kura ya kupinga kura ya turufu ya Rais Barack Obama ya muswada ambao unaruhusu kufunguliwa mashtaka dhidi ya Saudi Arabia kwa mashambulizi ya ugaidi yaliofanyika Septemba…
Kiungo wa Wales na klabu ya Arsenal, Aaron Ramsey atakosa mechi mbili za kufuzu kombe la dunia dhidi ya Austria na Georgia kutokana na kusumbuliwa na majeraha ya misuli. Ramsey…
Staa wa miondoko ya Hip Hop nchini, Young Killer Msodoki amesema wimbo wake mpya ambao atauchia hivi karibuni utakuwa ni moja kati ya nyimbo zake bora kutokana na kubadilika katika…
Mechi za kombe la Europa ligi leo zinaendelea katika viwanja tofauti barani Ulaya ikiwa na mzunguko wa pili. Ratiba ipo kama ifuatavyo Hapoel Be'er Sheva vs Southampton Manchester United vs…
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewapa mwezi mmoja watumishi wa umma ambao hawajaripoti kwenye kituo chao cha kazi katika Wilaya mpya ya Kibiti, mkoani Pwani kufika mara moja na kuanza kazi.…
Polisi mkoani Kagera inamshikilia aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa, Amantius Msole na aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa ya Bukoba, Kelvin Makonda kwa tuhuma za kufungua akaunti bandia ya kusaidia waathirika…
Mwanamuziki wa Bongo fleva, Nuh Mziwanda amesema kuwa amenguana na uongozi wake ambao alikuwa anafanya nao kazi kwa madai umeshindwa kufanya kazi aliyoitaka. Mapema mwaka huu Petit Man alimchukua msanii…
Muigizaji nyota wa Bongo movie, Wastara Juma amekuwa balozi wa Kampuni ya simu ya mkononi ya KZG ambapo leo amekabidhiwa na kusainishwa mkataba rasmi. Akizungumza katika tukio la kusaini makubaliano…
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amesema kuwa bado anatambua yeye ni mwenyekiti halali wa chama hicho. Lipumba amesema atampokea Katibu Mkuu wa chama hicho, Maalim Seif…
Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji amekabidhi eneo litakalojengwa uwanja wa klabu hiyo ufukweni mwa bahari ya Hindi, Gezaulole, Kigamboni. Wasaidizi wa Manji wamekabidhi eneo hilo jana mchana katika hafla fupi…
Michuano ya ligi ya mabingwa Ulaya katika msimu huu wa mwaka 2016/17 imeendelea usiku wa kuamkia leo kwa takribani makundi manne kuingia dimbani. Arsenal ikiwa katika uwanja wake wa nyumbani…
Rais na Waziri Mkuu wa zamani wa Israel, Shimon Peres amefariki dunia leo akiwa na umri wa miaka 93 baada ya kusumbliwa na ugonjwa wa kiharusi. Ripoti zimesema hali yake iliimarika…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli amemuagiza Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mabarawa kuwafukuza kazi mara moja watendaji wa Kampuni ya Ndege Tanzania(ATCL)…
Mwanamuziki mkongwe wa Bongo fleva, Inspekta Haroun amefunguka na kueleza sababu mbalimbali zinazowafanya wasanii wakongwe kushindwa kufanya vizuri kama zamani. Inspekta amesema hakuna ugumu kwa msanii mkongwe kufanya vizuri katika…
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta toka amejiunga na Genk Januari mwaka huu kutoka TP Mazembe ya DRC amecheza jumla ya mechi 25 za mashindano yote, 18 msimu uliopita…
Mahakama ya Wilaya ya Mlele mkoani Katavi imemhukumu Mwalimu wa Shule ya Msingi Ukingwamizi, Une Thom kutumikia kifungo cha miaka 32 jela. Thom (32) amehukumiwa kifungo hicho baada ya mahakama…