Miss Tanzania kufanyika Oktoba 29 jijini Mwanza
Shindano la Miss Tanzania ambalo lilikuwa limesimama kwa muda kidogo limerejea kwa kasi ya aina yake ambapo mwaka huu shindano hilo litafanyika jijini Mwanza kwa mara ya kwanza. Hayo yamesemwa…
Shindano la Miss Tanzania ambalo lilikuwa limesimama kwa muda kidogo limerejea kwa kasi ya aina yake ambapo mwaka huu shindano hilo litafanyika jijini Mwanza kwa mara ya kwanza. Hayo yamesemwa…
Klabu ya Swansea City wamemfukuza kocha wao Francesco Guidolin kutoakana na mwenendo mbovu wa klabu hiyo toka kuanza kwa msimu mpya wa ligi kuu nchini Uingereza. Swansea aijashinda hata mechi…
Kocha wa klabu ya Mwadui FC ya Shinyanga, Jamhuri Kiwelu 'Julio' ametangaza kuachana na soka kutokana na uamuzi mbovu wa marefa hapa nchini. Julio alitangza uamuzi huo mara baada ya kumalizika kwa mchezo…
Mwanamuziki wa Bongo fleva, Vanessa Mdee 'Vee Money' amechaguliwa kuwania tuzo za MTV MAMA katika kipengele cha msanii bora wa kike Afrika zitakazofanyika jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini. Vee Money…
Klabu ya soka ya Antalyaspor ya Uturuki imemjumuisha kikosini mshambuliaji wake Samuel Eto'o katika mchezo unafouata dhidi ya Galatasaray hii ikiwa ni kinyume na matarajio ya wengi. Mwenyekiti wa Antalyaspor…
Nyota wa televisheni nchini Marekani Kim Kardashian ameshambuliwa na kuzuiliwa na watu waliokuwa na silaha katika hoteli moja mjini Paris nchini Ufaransa. Msemaji wake anasema nyota huyo wa uigizaji wa…
Tume huru ya Uchaguzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetangaza kuwa uchaguzi mkuu wa nchi hiyo sasa utafanyika Novemba mwaka wa 2018 na wala sio mwaka huu kama ilivyotarajiwa.…
Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) umesema hawamtambui wala hawamtaki katika umoja huo aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba aliyejiuzulu wadhifa huo, kisha kuutengua na kurudishwa…
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Mkoa wa Dar es Salaam, Simon Sirro amesema jeshi hilo limemkamata mtuhumiwa ‘Scorpion’ aliyehusika katika matukio ya unyang’anyi wa kutumia silaha eneo la Buguruni…
Watafiti wawili na dereva mmoja wa Kituo cha Utafiti wa Kilimo cha Selian (SARI) jijini Arusha wameuawa na kisha miili yao kuchomwa moto katika kijiji cha Iringa Mvumi wilayani Chamwino…
Manchestester City leo imepoteza mechi ya kwanza katika ligi kuu nchini Uingereza msimu huu baada ya kupokea kichapo cha magoli 2-0 kutoka kwa Tottenham kwenye mechi iliyofanyika katika uwanja wa…
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Nape Nnauye amepiga marufuku mechi zote za Yanga na Simba kufanyikia uwanja a Taifa kutokana na uharibifu wa mageti na viti uliojitokeza jana…
Mwanamuziki kutoka Kenya, Fredrick Mutinda ‘Brown Mauzo’ ameweka wazi kuwa kabla ya kutoka kimuziki Wakenya wengi walikuwa wakimuona na kumsikia tofauti na kudhani huenda ni Mtanzania. Mauzo anayetikisa kwa sasa…
Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, Mbwana Samatta ametumia kiasi cha milioni 130 kununua gari yake ya kwanza nchini Ubelgiji. Samatta Ameweka picha kwenye akaunti yake ya mtandao wa…
Mkali wa nyimbo ya 'Aje' Alikiba anatarajiwa kufanya show katika mji wa Mombasa nchini Kenya ijulikanayo kama "Mombasa Rocks Music Festival" siku ya Oktoba 8 mwaka huu. Katika show hiyo…
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), George Simbachawene amesema ni wakati wa wananchi wa Dodoma kufurahi kwani tangu walipoahidiwa kuletewa Serikali mwaka…
Serikali imeombwa kudahili zaidi wanafunzi wa fani ya utoaji dawa ili waweze kusaidiana na wafamasia katika utoaji wa dawa sahihi kwa wagonjwa. Akizungumza katika kongamano la wafamasia, Rais wa Chama…
Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger amesema kuwa wachezaji kutoka nchi za Afrika wamekuwa ni wachezaji wenye umuhimu mkubwa katika kazi yake ukocha kwa miaka 20. Wenga alikuwa akizungumza wakati wa…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa jana amehamia rasmi mkoani Dodoma ili kutekeleza agizo la Serikali ya awamu ya tano kuhamia mkoani humo ambako ndiyo makao…
Wikiend hii ligi kuu nchini Uingereza inaendelea leo pamoja na kesho ikiwa ni raundi ya saba toka ligi hiyo maarufu ianze mnamo mwezi Agosti mwaka huu. Hizi ni mechi zitakazochezwa…
Kaya 6,249 katika Wilaya ya Kishapu, mkoani Shinyanga, zitanufaika na ruzuku kutoka Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) katika kipindi cha Septemba hadi Oktoba, mwaka huu. Mratibu wa Tasaf wilayani…
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amelitaka Shirika la Viwango Tanzania (TBS) na wadau wengine kushirikiana kwa hali na mali kuhakikisha wanadhibiti bidhaa hafifu na duni zinazoingizwa na zinazotengenezwa…
Watu wanne wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka ya kukutwa na meno ya tembo na pembe za swala vyote vikiwa na thamani ya Sh milioni…
Mkuu wa wilaya ya Ludewa Bw. Andrea Tsere ametoa agizo la kukamatwa kwa wananchi wa kitongoji cha Ngalawale wilayani humo kwa kususia kikao cha mkuu huyo wa wilaya. Akizungumza katika…
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema hospitali mpya ya kisasa itajengwa Binguni Wilaya ya Kati Unguja ikiwa na hadhi ya Hospitali ya Rufaa yenye uwezo wa kutoa huduma zote za…
Wizara ya Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira ya Zanzibar imesema imedhamiria kuimarisha maabara za Mamlaka ya Majisafi na Salama Zanzibar (ZAWA) kwa ajili ya kutoa huduma kwa kuzingatia ubora unaokwenda…
Mwanamuziki wa Bongo fleva, Inspekta Haroun amesema albamu yake mpya inakaribia kuingia sokoni hivi karibuni baada ya kufanya maandalizi ya kutosha. Inspekta amesema albamu hiyo itakuwa na nyimbo 14 ambazo…
Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger amesema kuwa anatamani kuifundisha timu ya taifa ya Uingereza kwa siku za baadae lakini kwasasa ataendelea kubaki katika klabu yake. Wenger amesema anatamani kuifundisha Uingereza…
Mahakama moja nchini Kenya imemhukumu mshukiwa wa ugaidi kifungo cha miaka 80 jela. Abdi Rizzack muktar Edow kwanza alihukumiwa kifungo cha miaka 20 jela alipopatikana na hatia ya kufadhili na…
Kocha wa Yanga, Hans van Der Pluijm amesema kuwa imetosha vita ya maneno inayoendelea kati yao na Simba huku akisistiza kinachofuata atawanyamazisha wapinzani kwenye mechi yao hiyo. Pluijm ameeleza zaidi…