TRA yakusanya trilioni 1.37 Septemba
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya Sh Trilioni 1.37 mwezi Septemba mwaka huu na kufanya fedha zilizokusanywa katika kipindi cha miezi mitatu ya mwaka mpya wa fedha wa 2016/2017 kufikia…
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya Sh Trilioni 1.37 mwezi Septemba mwaka huu na kufanya fedha zilizokusanywa katika kipindi cha miezi mitatu ya mwaka mpya wa fedha wa 2016/2017 kufikia…
Klabu ya soka ya Simba imetozwa faini ya shilingi 5,000,000 (milioni tano) pamoja na kulipa gharama za uharibifu wa viti uliofanywa na mashabiki wa klabu hiyo. Bodi ya Ligi ya…
Waimbaji wa muziki wa Taarab nchini, Isha Mashauzi na Leyla Rashid wanatarajia kupambana katika ukumbi wa Dar Live Oktoba 22 mwaka huu. Mratibu wa onyesho hilo Hajji Mabovu amesema bendi…
Video ya wimbo 'Chura' ya mwanamuziki, Snura Mushi ambayo ilifungiwa kutokana na kukosa maadili katika jamii sasa imeruhusiwa kutoka baada ya kufanyiwa marekebisho. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,…
Mwana FA amefunguka na kusema kuwa anatamani sasa kufanya collabo na msanii Christian Bella kwa wasanii wa ndani. Mwana FA amesema hayo kupitia 'Account' yake ya Twitter baada ya kuwapa…
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ameahidi kuzungumza na mwenzake wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), George Simbachawene ili kuhakikisha halmashauri…
Mkali wa hip hop nchini, Stereo ametoa pongezi kwa rapa mwenzake Nikki wa Pili kwa kuendelea na PHD huku na yeye akifuata nyayo zake kwa kusema anataka kwenda kuchukua elimu…
Uongozi wa Yanga umeandika barua kwa serikali ya Zanzibar kuomba kutumia Uwanja wa Amaan kwa ajili ya mechi zake za Ligi Kuu Bara na mashindano mengine. Kaimu Katibu Mkuu wa…
Rais wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, Joseph Kabila ametupilia mbali shutma kwamba amesogeza mbele tarehe ya uchaguzi ili aendelee kung'ang'ania madarakani. Rais Kabilla amewaambia waandishi wa habari jijini,Dar es…
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema serikali itachukua hatua kuhakikisha kuwa waliohusika na mauaji ya watafiti wa Kituo cha Utafiti wa Kilimo cha Selian Arusha (SARI) wanakamatwa na kufikishwa kwenye mikono…
Watu zaidi ya 21 wamekufa katika Kata ya Pinyinyi wilayani Ngorongoro mkoani Arusha kwa ugonjwa wa ajabu wa kutapika damu. Mtendaji wa kata hiyo, James Mushi amebainisha kuwapo kwa ugonjwa…
Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka ya kuandika makala ya kupotosha na kusababisha hofu kwa jamii. Kubenea,…
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein ametoa wito kwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na Jeshi la Polisi nchini kuimarisha ulinzi…
Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), limepokea barua kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Ethiopia (EFF), ikielezea juu ya kufutwa kwa mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliokuwa ufanyike Oktoba…
Mwanamuziki wa Bongo fleva, Afande Sele amefunguka na kuwachana baadhi ya viongozi wa chama cha ACT-Wazalendo kutokana na viongozi hao kukosa msimamo thabiti katika baadhi ya mambo. Afande Sele ametumia…
Muigizaji nyota wa Bongo movie, Wastara Juma ameamua kurudiana na mpenzi wake Bond Bin Sinan baada ya kuachana na aliyekuwa mume wake, Sadifa Khamis Juma. Wastara amesema Bond Bin Sinan…
Tanzania imetajwa na Benki ya Dunia kuwa miongoni mwa mataifa machache duniani ambayo yamefanikiwa kupunguza pengo kati ya matajiri na maskini. Kwenye ripoti ya benki hiyo kuhusu usawa duniani, Tanzania…
Mwanamuziki wa Bongo fleva, Hamad Ali 'Madee' amesema kuwa iwapo angepata fursa ya kuwa kiongozi ndoto yake kubwa ilikuwa kuwaletea mandeleo watu wa Manzese. Madee amesema kwa sasa Manzese imekua…
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Angela Kairuki amekanusha tetesi kuwa serikali itaanza kuhakiki watumishi wa umma wanavyotumia mishahara yao. Waziri huyo amelazimika kutumia akaunti …
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema atafuatilia ili ajue ni kwa nini bidhaa za gypsum (jasi) zinazoagizwa kutoka nje ya nchi hazitozwi kodi zinapoingizwa nchini.…
Mwanamuziki wa Singeli, Sholo Mwamba amemchana msanii mwenzake, Man Fongo kuwa ameridhika kwa muda mfupi baada ya kuachia nyimbo ya 'Hainaga Ushemeji' wakati kazi ndiyo kwanza inaanza. Sholo Mwamba anayetikisha…
Rais wa shirikisho la soka dunia (FIFA), Gianni Infantino ameshauri kuongezwa kwa timu zitakazoshiriki kombe la dunia na kufikia 48 ikiwa ni ahadi yake aliyoitoa wakati akiwania nafasi hiyo. Infantino…
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa, George Mbijima amemtaka Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga, Mriro Jumanne kumuweka rumande Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Kahama, Bruno…
Waathirika wa tetemeko la ardhi katika Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, wameiomba serikali iwaongezee mahema ili waepuke adha ya kunyeshewa na mvua. Wamesema kutokana na mvua kubwa yenye upepo mkali…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli amempongeza Balozi Prof. Joram Biswaro kwa kuteuliwa kuwa Mwakilishi Maalum wa Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika na Mkuu wa…
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, CP Simon Sirro leo amepokea msaada wa hundi ya Shilingi 50,000,000 kutoka mfuko wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF)…
Rais wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, Joseph Kabila amewasili nchini Tanzania kwa ziara ya siku tatu. Amepokelewa na viongozi mbalimbali wa nchi akiwemo rais John Magufuli, makamu wa Rais…
Wasanii wawili wa hip hop nchini ambao kwa sasa wanafanya vizuri kwenye muziki wa bongo Darasa pamoja na Billnas wamefunguka na kutoa shukrani kwa msanii Mwana FA baada ya msanii…
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangalla amefanya ziara ya kikazi katika Wilaya Iramba Mkoani Singida na kukagua huduma za Afya katika Hospitali…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Lawrence Mujungu Museru kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu…