Burundi yatangaza nia ya kujitoa ICC
Serikali ya Burundi inayoongozwa na rais Perre Nkurunzinza imetangaza dhamira yake ya kujiondoa kwenye mahakama ya kimataifa ya makossa ya uhalifu dhidi ya binadamu ya ICC. Baraza la mawaziri la…
Serikali ya Burundi inayoongozwa na rais Perre Nkurunzinza imetangaza dhamira yake ya kujiondoa kwenye mahakama ya kimataifa ya makossa ya uhalifu dhidi ya binadamu ya ICC. Baraza la mawaziri la…
Madaktari wa hospitali ya taifa ya Muhimbili waliomfanyia uchunguzi wa kina kijana Said Ally aliyejeruhiwa sehemu mbalimbai za mwili wake ikiwemo machoni, wametoa majibu kuhusu uchunguzi huo ambao ulilenga kutafuta uwezekano…
Mwanamuziki nyota wa Marekani, Alicia Keys ametangaza kuachia albamu yake ya sita itakayoitwa kwa jina ‘Here’ ifikapo Novemba 4 mwaka huu. Alicia Keys alitangaza ujio wa albamu hiyo kupitia akaunti…
Mkuu wa Wilaya ya Kongwa, Deogratius Ndejembi amekifunga Chuo cha Ualimu cha Nkuruma kilichopo Mkoka na kuagiza uongozi wa chuo kurudisha fedha zote za ada walizolipa wanafunzi ili ziwasaidie kulipia…
Katibu mkuu wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Celestine Mwesigwa amesema bado hawajapata taarifa rasmi ya ukodishwaji wa Yanga kwa Mwenyekiti wake Yusufu Manji. Mwesigwa amesema TFF inasubili barua rasmi…
Benki ya Dunia inatarajia kuipatia Tanzania ruzuku na mkopo wenye masharti nafuu wa dola za Marekani bilioni 1.6 (Sh trilioni 3.5). Fedha hizo ni kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali…
Karamoko Dembele ni mchezaji wa klabu ya Celtic Under 21 aliyezaliwa nchini Uingereza na wazazi kutoka Ivory Coast. Mchezaji huyo amezaliwa mwaka 2003 na mpaka sasa ana umri wa miaka…
Kiongozi wa upinzani nchini Zambia, Hakainde Hichilema pamoja na naibu wake wamefikishwa mahakamani nchini humo ambapo wameshtakiwa makosa ya uchochezi wa maasi pamoja na kufanya mkutano kinyume cha sheria. Viongozi…
Msajili wa Vyama ya Siasa, Jaji Francis Mutungi ametoa orodha ya vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu na viongozi wa vyama hivyo ambako inasisitiza kuwa Profesa Ibrahim Lipumba ndiye…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amemuagiza Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Bunge), Uledi Mussa afuatilie malipo ya kiwanja kilichouzwa na CDA…
Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako ametangaza kuwafukuza chuo walimu ambao ni wanafunzi walioshiriki kitendo cha kumpiga mwanafunzi wa kidato cha tatu wa Shule…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli ametoa muda wa mwezi mmoja kwa wafanyabiashara, viongozi na wawekezaji, wanaohodhi ardhi bila kuiendeleza na kuwataka waendeleze maeneo hayo ndani…
Waziri wa Mambo ya Ndani Nchini, Mwigulu Nchemba ametoa tamko rasmi juu ya kitendo cha kupigwa kwa mwanafunzi wa kidato cha tatu, Sebastian Chinguku wa shule ya sekondari Mbeya Day,…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli ameitaka TANESCO kuhakikisha linafikisha umeme wa uhakika mkoani Pwani katika eneo ambalo lililotengwa maalum kwa ajili ya viwanda. Magufuli amezungumza…
Muigizaji wa Bongo movie, Daudi Michael 'Duma' amefunguka kwa kusema kwamba tamthilia ya Siri ya Mtungi imemsaidia sana kwa kumpa fursa nyingi ndani na nje ya nchi kutokana na uigizaji…
Mohammed Dewji maarufu kwa jina la 'MO' amefanikiwa kushinda tuzo kutoka Taasisi ya Choiseul ya nchini Ufaransa kama mfanya biashara kijana ambaye anasaidia kukuza uchumi wa bara la Afrika. Dewji…
Mashabiki wa nyota wa filamu za Kichina Bruce Lee wamekosoa filamu mpya ya nyota huyo inayoelezea maisha yake. Filamu hiyo 'Birth of the Dragon' inaonyesha maisha ya nyota huyo alipokuwa…
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amewapa siku sitini wakurugenzi wa halmashauri na wale wa hospitali za umma nchini wawe wamewalipa posho za wauguzi za kununua…
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Jordan Rugimbana kuchunguza ni kwa nini Mkuu wa Magereza Mkoa wa Dodoma, Antonino Kilumbi…
Mwanamuziki wa Bongo fleva, AY amesema kuwa uwezekano wa kurudi kundi la East Coast Team anao King Crazy GK kama ikiwezekana kurudi. AY amesema uwezekano wa kundi hilo kurudi upo…
Baraza la Wadhamini wa Yanga SC limeikabidhi timu kwa kampuni ya Yanga Yetu, inayomilikiwa na Mwenyekiti wake, Yussuf Manji ambayo itakuwa mmiliki wa klabu kwa miaka 10. Agosti 6 mwaka…
Watu sita wameuawa baada ya watu wenye silaha kushambulia mtaa mmoja mjini Mandera, kaskazini mashariki mwa Kenya. Gavana wa jimbo la Mandera Ali Roba ameandika kwenye Twitter kwamba watu 6…
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (CHADEMA), ameshindwa kufika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kusikiliza kesi ya uchochezi inayomkabili kwa kuwa amekwenda kwenye kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi…
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amewasimamisha kazi watumishi watatu wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro. Waliosimamishwa kazi ni Mweka Hazina Evance Mwalukasa, Mwanasheria wa halmashauri hiyo, Sembele Siloma…
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limeunda mfumo wa kutunza taarifa za wanafunzi wa Shule za Msingi (PReM), ambao utasaidia katika uandikishaji wa wanafunzi wote na kupewa namba maalumu, ambayo itamtambulisha…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amefanya ukaguzi wa kushitukiza katika sehemu ya kukagulia mizigo na abiria ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere…
Mkazi wa Machimbo Yombo jijini Dar es Salaam, Salum Njwele (34) maarufu kama Scorpion, amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala kujibu mashitaka ya unyang’anyi wa kutumia silaha na kumtoboa…
Jumuiya za Vijana wa Chama cha Wananchi ( CUF) katika mkoa wa Dar es Salaam, wameibuka na kulaani tabia ya inayojiita Kamati ya Uongozi ya chama hicho inayoongozwa na Julius…
Mkali wa hip hop Bongo, Young Killer amefunguka kwa kusema kuwa wimbo utakaofuata baada ya kazi yake ya sasa itakuwa nyimbo kali kutokana na mashairi ndani ya wimbo huo. Young…
Mwanamuziki na mtayarishaji wa Bongo fleva, Nahreel kutoka kundi la Navy Kenzo, ameeleza furaha yake juu ya kuanzishwa kwa EATV AWARDS na kusema kuwa ni heshima kubwa kwa wasanii. Nahreel…