Kim Kardashian aishitaki tovuti ya Ufaransa
Mwanamitindo nyota wa Marekani, Kim Kardashian ameshtaki tovuti moja ya udaku kuhusu wasanii kwa kudai kwamba aliigiza kisa cha wizi mjini Paris wiki iliyopita. Kwenye kesi hiyo, anataka alipwe kiasi…
Mwanamitindo nyota wa Marekani, Kim Kardashian ameshtaki tovuti moja ya udaku kuhusu wasanii kwa kudai kwamba aliigiza kisa cha wizi mjini Paris wiki iliyopita. Kwenye kesi hiyo, anataka alipwe kiasi…
Comedian maarufu nchini Marekani, Kevin Hart amepata tuzo ya heshima ya Hollywood ijulikanayo kama Hollywood Walk of Fame kutokana na mchango wake katika suala zima la sanaa. Kupitia ukarasa wake…
Vifaa vinavyotumika kuhakiki vyeti kwa watumishi wa umma pamoja na kuandikisha Vitambulisho vya Taifa, ikiwemo kamera zenye thamani ya Sh. milioni sita vimeibiwa na watu wasiojulikana katika jengo la ofisi…
Serikali ya Japan kupitia Shirika lake la Maendeleo (JICA) imeahidi kuongeza kiwango cha ruzuku kwa Serikali ya Tanzania ili kufadhili miradi ikiwemo kilimo, maji, miundombinu ya barabara na huduma nyingine…
Waziri Mkuu wa Jamhuri wa Muungano, Kassim Majaliwa amepokea zaidi ya Sh milioni 379 na vifaa vyenye thamani ya Sh milioni 280 kutoka kwa taasisi saba tofauti kwa ajili ya…
Muigizaji nyota wa Bongo movie, Elizabeth Michael ‘Lulu ‘ amefunguka kwa kusema kuwa tangu alipopata tuzo ya AMVCA 2016 amekataa dili kadhaa kutoka kwa wasanii wa muziki nchini Nigeria. Muigizaji…
Beki wa Real Madrid na Uhispania, Sergio Ramos atakuwa nje ya uwanja kwa mwezi mmoja baada ya kuumia goti kwenye mechi ya kufuzu kombe la dunia dhidi ya Albania na…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kuwa hivi sasa kuna changamoto ndogo za upungufu wa dawa nchini. Mheshimiwa Samia ametoa kauli hiyo leo…
Klabu ya Yanga kesho itashuka dimbani kupambana na Mtibwa Sugar kwenye mechi ya ligi kuu Tanzania Bara itakayofanyika katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Yanga wametambulisha Uwanja wa…
Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel amezindua jumba jipya makao makuu ya Umoja wa Afrika ambalo limepewa jina la rais wa kwanza wa Tanzania, Julius Kambarage Nyerere. Jumba hilo ambalo jina…
Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Gerson Lwenge amezindua Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Maji (NWIF) na kuitaka ifanye kazi kwa kasi, weledi na ubunifu mkubwa, la sivyo hataona shida…
Mshambuliaji wa Ubelgiji,Christian Benteke amefunga bao la mapema zaidi katika mechi za kufuzu kwa Kombe la Dunia, baada ya kufunga bao sekunde 8.1 dhidi ya Gibraltar. Mchezaji huyo wa Crystal…
Nahodha wa timu ya Taifa ya Uingereza, Wayne Rooney amesema kuwa kwasasa anapitia kipindi kigumu baada ya kocha wa muda Southgate kuthibitisha hatoanza kwenye mechi ya leo dhidi ya Slovania.…
Mbeya City imetoa onyo kwa Simba kuwa hawatatoka salama kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya kesho, kwani wamejipanga kuifunga na kubakiza pointi tatu. Msemaji wa Mbeya City, Dismas Ten amesema…
Corneille Nyungura ni mwanamuziki mwenye asili ya Rwanda ambaye kwasasa anaishi nchini Canada na kupewa uraia wa nchi hiyo baada ya kukimbilia huko kutokana na mauji ya kimbari nchini Rwanda…
Wanamuziki wa kundi la Navy Kenzo, Aika na Nahreel wamesema lengo la kundi lao kwa sasa ni kwenda kwenye chart kubwa za muziki duniani Billboard pamoja na kwenye tuzo za…
Mwanamuziki nyota wa Bongo fleva, Diamond Platnumz amesema kuwa msanii Saida Kalori alimwambia kwamba anatamani kufanya naye kazi kabla ajawaza kufanya nyimbo ya Salome. Diamond amesema kwamba wimbo ‘Salome’ ambao…
Kampuni ya Samsung imetoa wito kwa watu wenye simu aina ya Galaxy Note 7 kuzizima mara moja huku ikifanya uchunguzi kubaini ni kwa nini simu hizo, hata zile ambazo kampuni…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli katika kubana matumizi yasiyo ya lazima serikalini, ambazo alizihamishia katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), ikiwamo kuzuia safari zisizo za lazima…
Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam imetoa kibali kwa Baraza la Wadhamini la Chama cha Wananchi (CUF) kufungua kesi dhidi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi,…
Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imefanya operesheni katika maeneo ya katikati na pembezoni mwa Jiji la Dar es Salaam na kuwakamata watuhumiwa 87 wa makosa mbalimbali, wakiwemo waliokuwa…
Mkali wa Bongo Fleva Judith Wambula 'Lady Jay Dee' amezindua video ya wimbo wake wa SAWA NA WAO ambao aliutoa baada ya kuachia ule wa NdiNdiNdi. Lady Jay Dee amesema…
Mwanamuziki nyota wa Bongo fleva Raymond 'Rayvanny' kutoka WCB amesema kuwa EATV AWARDS zitaongeza hamasa ya kufanya juhudi kwenye sanaa yake kama msanii anayechipukia kwasasa. Raymond amesema yeye kama msanii…
Mkali wa Bongo fleva anayetamba na wimbo wake 'Aje' Alikiba amesema kuwa akupendezewa na kilichotokea kwenye Tamasha la Mombasa baada ya kukatizwa kwa show yake. Alikiba ametumbuiza nyimbo mbili tu…
Mechi za kufuzu kombe la dunia leo zinaendelea katika bara la Ulaya baada ya jana kuchezwa baadhi ya mechi. Ratiba ya mechi hizo leo Jumatatu Belarus vs Luxembourg Netherlands vs France…
Waziri wa Uejenzi, Uchukuzi na Mawasilano, Prof. Makame Mbarawa ameto wiki mbili kwa mkandarasi wa kampuni ya Chongqing International Construction Corporation (CICO) kutoka China anayejenga barabara ya Tabora- Sikonge yenye…
Mwanamuziki wa miondoko ya Singeli nchini, Snura Mushi amesema anauheshimu sana wimbo wake ‘Chura’ kwa kuwa wimbo huo ndio wimbo wake wa kwanza kumtambulisha vizuri kimataifa. Snura amesema wimbo huo…
Watu 10 wameuawa Jumapili usiku wakati wa makabiliano kati ya wanajeshi na waasi, wanaoaminiwa kutoka nchini Uganda eneo lililo mashariki mwa Jamhuri ya Demokrasi ya Congo. Raia 8 waliuawa kwa…
Mwanamuziki nyota anayefanya vizuri kwasasa Baraka The Prince amesema hakupendezewa na mchekeshaji, Stan Bakora alivyofanya cover ya niymbo yake 'Nisamehe' aliyomshirikisha Alikiba. Stan Bakora ametoa video ya wimbo huo ikimuonesha…
Mugizaji wa Bongo movie, Mwanaheri Ahmed amesema kuwa anapata wakati mgumu kutokana na baadhi ya watu kumfananisha na staa wa filamu za kibongo Riyama Ally. Mwanaheri amesema hivi karibuni amekumbwa…