Walimu watakiwa kufuata maadili ya kazi
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani Jafo amesema kitendo kinachofanywa na walimu cha kuwarekodi wanafunzi wanapofanya makosa na kusambaza kwenye mitandao ya…
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani Jafo amesema kitendo kinachofanywa na walimu cha kuwarekodi wanafunzi wanapofanya makosa na kusambaza kwenye mitandao ya…
Mechi za kombe la ligi nchini Uingereza leo zinaendelea kwa michezo mitatu katika viwanja tofauti nchini humo. Macho na masikio ya watu yatakuwa katika uwanja wa Old Trafold wakati Manchester…
Yanga leo inashuka dimbani dhidi ya JKT Ruvu katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara utakaofanyika katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Mechi hiyo ilitakiwa kuchezwa mwanzoni mwa…
Mgombea urais wa chama cha Republican, Donald Trump amesema mpango wa mpinzani wake Hillary Clinton kuhusu kutatua mzozo Syria utaanzisha vita kuu ya tatu ya Dunia. Trump amesema Marekani inafaa…
Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (Tazara) ina mpango wa kurejesha nyumba 71 zilizouzwa kwa wafanyakazi bila kufuata utaratibu. Taasisi hiyo imetoa siku 60 kwa wafanyakazi 457 ambao hawakulipa…
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa ameitaka Bodi mpya ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) kusimamia Menejimenti ya Mamlaka hiyo katika Idara ya Utawala na…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kutafuta fedha za mafunzo kwa ajili ya wahadhiri wa vyuo vikuu nchini ili kuziba pengo la wahadhiri…
Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri amemwagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Tabora, Bosco Ndunguru, kulipa malimbikizo yote ya mishahara ya miezi 22 yanayofikia Sh 660,000 ya…
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dk Florens Turuka amepiga marufuku uingizaji migomba na mazao yake kutoka Msumbiji kwa kuwa nchi hiyo imekumbwa na ugonjwa unaoshambulia zao…
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein amepongeza juhudi zinazoendelea kuchukuliwa na Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Mazingira, ikiwa ni pamoja na azma…
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, mhandisi Hamad Massauni amesema kuwa ajali za barabarani zimepungua kwa asilimia 10 ambapo katika kipindi cha miezi sita vifo vimepungua kwa asilimia…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema serikali itaendelea kudumisha uhusiano na ushirikiano wa kihistoria kati ya Tanzania na India. Makamu wa Rais ametoa…
Vijana wawili wamekamatwa baada ya kumfanyia kampeni mgombea urais nchini Marekani, Donald Trump katika ubalozi wa Marekani mjini Kampala nchini Uganda. Wafuasi hao wa Trump waliambiwa na maafisa wa polisi…
Mechi za kombe la ligi nchini Uingereza zinaendelea tena leo usiku kwa michezo mitano itakayopigwa katika viwanja tofauti nchini humo huku mechi kali zaidi ikiwa kati ya Liverpool atakapoikaribisha Tottenham…
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dotto James ameshindwa kuhudhuria kikao cha kamati ya kudumu ya Hesabu za Serikali (PAC) na kusababisha kushindwa kupitia hesabu za Mfuko wa…
Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger amesema kuwa timu yake ina nafasi ya kunyakuwa ubingwa wa ligi kuu nchini Uingereza msimu huu kutokana na kiwango chao kuwa bora. Arsenal kwa mara…
Muigizaji wa Tamthilia ya Siri za Familia, Haji Jumbe ambaye aliigizaji kama mzee Benson kwenye tamthilia hiyo inayorushwa na kituo cha runinga cha EATV anazikwa leo saa tisa alasili wilayani…
Mshambuliaji wa timu ya Wales, Gareth Bale na mwenzake wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo wameorodheshwa kuwania taji la mchezaji bora duniani mwaka 2016 Ballon d'Or. Wachezaji wa Manchester City Sergio…
Wanamuziki wa hip hop wanaofanya vizuri kwasasa, Young killer na Dogo janja wamepigana vijembe huku kila mmoja akijitamba kuwa yeye ni mkubwa na bora kuliko mwenzake. Kwa upande wake Dogo…
Mkali wa miondoko ya hip hop nchini, Joh Makini amefunguka na kusema kuwa katika vitu ambavyo hapendi kwenye kazi zake za kisanii ni kuwa na bifu na msanii mwenzake. Joh…
Mwanamuziki nyota wa Marekani, Jay Z anatarajiwa kutumbuiza kwenye tamasha la mgombea urais wa nchi hiyo kupitia chama cha Demecratic, Hillary Clinton ikiwa kama sehemu ya kumuunga mkono. Jay Z…
Mshambuliaji wa Ufaransa na klabu ya Atletico Madrid, Antoine Griezman amefanikiwa kushinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa ligi kuu nchini Hispania akiwashinda Lionel Messi wa Barcelona na Cristiano…
CHADEMA wamesema wapo katika hatua za mwisho za maandalizi ya kufungua kesi kulalamikia uchaguzi wa umeya uliofanyika katika Manispaa ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam. Ofisa Habari wa chama hicho,…
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka ya Bandari (TPA), Ephraim Mgawe (62) na wenzake wawili wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakikabiliwa na mashitaka ya kujihusisha…
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angella Kairuki amesema kuwa Mamlaka ya Serikali za Mitaa ndio inayoongoza kwa vitendo vya rushwa kisekta…
Jumla ya watu 12 wamefariki na wengine kujeruhiwa baada ya watu wenye silaha kushambulia eneo moja la makazi katika mji wa Mandera kaskazini mashariki mwa Kenya. Polisi na wanajeshi kwa…
Kiwanda cha Uzalishaji Sukari cha TPC Ltd cha wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro kimetoa msaada wa Sh milioni 20 kwa wananchi wa Mkoa wa Kagera waliokumbwa na maafa ya tetemeko la…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli na Mfalme wa Morroco, Mohammed VI wamesaini mikataba 21 ya ushirikiano wa maendeleo. Pia Rais Magufuli amesema kuwa amemuomba…
Mkazi wa Kijiji cha Kiterere tarafa ya Inano wilayani Tarime mkoani Mara, Joel Robert anashikiliwa na Polisi akituhumiwa kuwatapeli watu mbalimbali na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu kwa kujifanya wakili…
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa Balozi Dkt. Augustine Mahiga amesema Tanzania haina mpango wa kujiondoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC).…