Ubalozi wa Marekani nchini Kenya wafungwa kwa muda
Ubalozi wa Marekani nchini Kenya umefungwa kwa muda baada ya mtu aliyekuwa na kisu kujaribu kumshambulia afisa wa usalama karibu na ubalozi siku hapo jana. Lakini mtu huyo aliuawa kwa…
Ubalozi wa Marekani nchini Kenya umefungwa kwa muda baada ya mtu aliyekuwa na kisu kujaribu kumshambulia afisa wa usalama karibu na ubalozi siku hapo jana. Lakini mtu huyo aliuawa kwa…
Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kupitia kikosi chake cha Usalama Barabarani kimekusanya zaidi ya Sh milioni 690, kupitia tozo za makosa ya usalama barabarani. Kamanda wa Polisi wa…
Mgombea mwenza wa chama cha Republican katika uchaguzi mkuu nchini Marekani, Mike Pence amenusurika kifo baada ya ndege iliyombeba kupata ajali uwanja wa ndege. Ndege hiyo iliteleza na kuvuka barabara…
Mfalme wa Morocco, Mohammed VI wa Morocco jana amewasili visiwani Zanzibar ambako akitokea jijini Dar es Salaam baada ya kumaliza ziara katika ardhi ya Tanzania Bara. Kwa mujibu wa taarifa…
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, imeanza mchakato wa ujenzi wa vyumba vya upasuaji kwa ajili ya kutoa huduma ya upandikizaji wa figo nchini. Taarifa hiyo…
Tamasha la Sauti za Busara linatarajia kufanyika tena mwakani baada ya kusimama mwaka huu kutoka na sababu mbali mbali. Waandaaji wa Tamasha hili wametoa orodha ya wasanii watakaotumbuiza katika Tamsha…
Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza matokeo ya darasa la saba huku ufaulu ukiongezeka kwa asilimia 2.52 lakini kumetokea na udanganyifu kwa baadhi ya shule. Baadhi ya waliohusika na…
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo ametoa siku 14 kwa wakuu wa wilaya za mkoa huo kuhakikisha wafanyabiashara wadogo wadogo (Machinga) wanafanya biashara kwenye maeneo yao…
Rapa mkongwe wa Marekani, Jay Z ameanza kujaribu kupata haki miliki ya nyimbo za mwanamuziki marehemu Prince. Jay Z amekutana na mmoja wa ndugu wa Prince, Tyka na kumueleza kuwa…
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeamua kushusha chini zaidi madaraka kwa wanachama wake katika ngazi ya familia kwa njia ya kuanzisha mabalozi wa nyumba kumi kama ilivyo kwa Chama…
Mwanamuziki nyota wa Marekani, Drake amemtambulisha Taylor Swift kwa mama yake pamoja na watu wake wa karibu zikiwa ni ishara za awali za kuonyesha mahusiano yao. Drake alifanya hivyo kwenye…
Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza matokeo ya darasa la saba huku ufaulu ukiongezeka tofauti na mwaka uliopita. Ufaulu huo wa mtihani wa Darasa la Saba umeongezeka kwa asilimia…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Abukakari Mzuri amefunguka na kusema kuwa yeye siyo Marioo kama ambavyo watu wamekuwa wakisema kuwa analelewa na mwanamke au ameolewa na mwanamke. Abubakari Mzuri amesema kuwa…
Aliyekuwa kocha wa Yanga, Hans van Pluijm amesema milango iko wazi kwa timu yoyote inayomhitaji kufanya nae mazungumzo. Kocha huyo Mholanzi alitangaza kujiuzulu baada ya waajiri wake Yanga kuingia mkataba…
Aliyekuwa msimamizi mkuu wa uchaguzi katika Jimbo la Bunda Mjini mwaka 2015, Lucy Msoffe amekiri kufanya makosa ya kuandika idadi ya wapigakura wakati wa kutangaza mshindi wa nafasi ya ubunge.…
Baraza la Michezo la Taifa (BMT) kupitia katibu mkuu wake, Mohamed Kiganja imetangaza kuzuia mchakato wa ukodishwaji na uwekezaji ndani ya klabu za Yanga na Simba. Yanga tayari ilikuwa imemkodisha…
Mahakama ya Wilaya ya Ilala imemhukumu Seleman Manoti, kifungo cha miaka miwili jela kwa kupatikana na hatia ya kujifanya afisa wa usalama wa Taifa. Mahakama imetoa hukumu hiyo bila mshitakiwa…
Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) wamekamata lori lililokuwa likisafirisha mbao zilizovunwa kinyume cha sheria baada ya kupata taarifa kutoka kwa wasamaria wema. Lori hilo lenye namba za usajili…
Maofisa watatu wa Benki ya Maendeleo (TIB) wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakikabiliwa na mashitaka ya kuomba na kupokea rushwa ya Sh milioni tano…
Raia wawili wa China Wang Young Jing (37) Chen Chung Bao (35) wamekamatwa na jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa makosa ya utekaji nyara jijini Dar…
Mkazi wa Mwananyamala jijini Dar es Salaam, Mwenda Saidi (40), amepandishwa kizimbani katika mahakama ya Mwanzo Kinondoni, kwa madai ya kutishia kuua watoto kwa sumu. Msoma mashitaka, Rukia Liganduka, amedai…
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Longido, Juma Mhina ameamuru polisi wa wilaya hiyo kumkamata na kumweka ndani mtendaji wa kata ya Gelai Lumbwa, Paulo Lucas, kwa kutuhumiwa kutumia vibaya…
Tembo wanaotoka katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti wameendelea kuleta kero kwa wananchi wa vijiji vya Wilaya ya Bunda mkoani Mara, vinavyopakana na hifadhi hiyo. Tembo hao wanaleta fujo kwa…
Mwanariadha wa Kenya, Rita Jeptoo ameongezewa kifungo cha miaka miwili kutoshiriki mchezo huo kutokana na tuhuma za kutumia dawa za kusisimua misuli. Uamuzi huo umepitishwa na mahakama ya kutatua mzozo…
Wazanzibari 40,000 wamefungua kesi mahakamani kupinga Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kesi hiyo imefunguliwa katika Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki (EACJ) na Rashid Salum Adiy kwa niaba ya wenzake…
Serikali imesema kuwa takwimu zinaonesha kuwa kiwango cha maambukizi miongoni mwa makundi maalum na yale yaliyo katika hatari zaidi ya kuambukizwa VVU yapo juu. Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia,…
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Miundombinu, Profesa Norman Sigalla amekitaka chuo cha Usafirishaji (NIT) kuboresha idara ya ukaguzi wa magari kwa ajili ya kukijengea uwezo wa kufanya kazi hiyo.…
Staa wa pop nchini Marekani, Justin Timberlake nusura akabiliwe na mashtaka baada ya kupiga picha (Selfie) kwenye eneo la kupigia kura lililopigwa marufuku. Timberlake amejipiga picha hiyo wakati akipiga kura…
Serikali ya Gambia imesema kuwa itajiondoa kwenye mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC kama ilivyofanya nchi za Burundi na Afrika Kusini. Hatua hiyo imekuja kutokana na madai kuwa ICC hushughulika…
Kampuni ya Apple imeripoti kushuka kwa mapato yake ya mwaka kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2001. Matokeo ya robo ya mwisho ya mwaka wa fedha nchini Marekani imethibitisha mwenendo…