Alikiba kuongoza mashambulizi ‘Fiesta Dar’
Kilele cha tamasha la Fiesta kinatarajia kufikia tamati leo katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam. Jukwaa la tamasha hilo litashereheshwa na wasanii wa ndani na nje ya…
Kilele cha tamasha la Fiesta kinatarajia kufikia tamati leo katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam. Jukwaa la tamasha hilo litashereheshwa na wasanii wa ndani na nje ya…
Mkali wa filamu za mapigano, Jimmy Mponda maarufu kama J Plus ameingiza sokoni filamu yake mpya inayokwenda kwa jina la 'The Foundation'. Ujio wa filamu hiyo inavunja ukimya wa staa…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli amewaomba watanzania kuwa wamoja ili kuijenga na kuiendeleza Tanzania. Rais amesema hayo Ikulu jijini Dar es Salaam leo wakati…
Mkali wa wimbo 'Diana' Tekno kutoka Nigeria anatarajia sanii kuungana na wasanii kama Davido, Wizkid na Alikiba kwenye Lebo maarufu ya muziki ‘Sony Music’. Tekno ambaye anatarajia kutua nchini kwenye tamasha…
Kocha wa Yanga, Hans van Pluijm ameikubali Mbeya City na kusema ni timu nzuri yenye uwezo wa kucheza dakika 90 kwa ushindani. Aidha kocha huyo amelaumu wachezaji wake kutokuwa makini…
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imetoa amri ya kukamatwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na kuamuru wadhamini wake kufika mahakamani hapo kujieleza kwanini wasilipe fungu la…
Wagombea urais nchini Marekani, Hillary Clinton na Donald Trump wamezidisha kampeni kwenye majimbo yanayoshindaniwa sana huku kura za maoni zikionesha wamekaribiana sana zikiwa zimesalia siku chache kabla ya uchaguzi mkuu.…
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa mwelekeo wa msimu wa mvua za vuli kwa mwezi huu Novemba kuwa kutakuwa na upungufu wa mvua katika maeneo mengi ya nchi.…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo anatarajia kufanya mahojiano ya kwanza na waandishi wa habari tangu aingie madarakani mwaka mmoja uliopita. Mahojiano hayo yatarushwa…
Serikali ya mkoa wa Dar es Salaam imeamua kuwasomesha wanafunzi wa kidato cha nne watakaofanya vizuri katika masomo ya sayansi na kuchaguliwa kuendelea na kidato cha tano na sita. Mkuu…
Serikali kupitia Wizara ya Kilimo, Chakula na Mifugo imesema itahakikisha utaratibu wa kusambaza pembejeo za ruzuku za mbegu na mbolea unatekelezwa vizuri, ili kuwafikia wakulima kwa wakati. Aidha, serikali imesema…
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ametetea hatua ya nchi yake na kuwaondoa wanajeshi wake kutoka kikosi cha Umoja wa Mataifa cha kulinda amani nchini Sudan Kusini. Rais Kenyatta amesema kuwa…
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amesema wizara yake inakusudia mpaka Juni 2017 iwe imetoa takribani hati laki nne, hivyo kushauri kasi katika upimaji ardhi. Ametoa…
Mwanamuziki mkongwe wa Bongo fleva, Crazy GK amesema viongozi wengi wa Afrika kwasasa hawana uzalendo wala utu wametanguliza maslahi yao mbele kiasi cha kutojali wananchi na kupelekea kuwaua watu wasio…
Mwanamuziki mkongwe kutoka nchini Uganda, Bebe Cool amesema kuwa kituo cha runinga cha EATV kimefanya jambo kubwa kwa wasanii wa Afrika Mashariki baada ya kuanzisha tuzo za EATV. Bebe Cool…
Mkali wa Bongo movie, Gabo Zigamba amesema sanaa ya sasa siyo kama ya zamani na kuna utofauti mkubwa kati ya zama hizo mbili kutokana na uigizaji. Gabo Zigamba amesema sanaa…
Muigizaji nyota wa Bongo movie, Muhsen Hawadh 'Dk Cheni' amesema kuwa kwasasa ameacha kuigiza filamu kutokana na soko la filamu hizo kudorora hapa nchini. Dr Cheni amesema ameamua kuacha kufanya…
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Walemavu, Jenista Mhagama amewataka wabunge kutotumia lugha zinazoudhi bungeni kwa kuwa kufanya hivyo ni kinyume cha kanuni…
Mechi za ligi kuu Tanzania Bara zinaendelea tena leo kwa michezo sita katika viwanja tofauti nchini. Simba SC watakuwa wageni wa Stand United kwenye Uwanja wa CCM Kambarage wakati Yanga…
Mke wa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema, Neema Lema (33) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha na kuunganishwa katika kesi ya mume wake ya kumtukana Mkuu…
Mechi za klabu bingwa barani ulaya ziliendelea tena usiku wa kuamkia leo, ambapo kulikuwa na jumla ya michezo minane. Manchester City wakiwa nyumbani wamelipa kisasi dhidi ya Barcelona kwa kuifunga…
Bondia Thomas Mashali anatarajiwa kuzikwa kesho siku ya jumatano katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Bondia huyo aliuwawa kwa kupigwa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia jana maeneo…
Watahiniwa 408,442 wamesajiliwa na Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) kufanya Mtihani wa Kidato cha Nne unaotarajia kuanza leo hadi Novemba 18, mwaka huu. Akizungumzia maandalizi ya mtihani huo, Katibu Mtendaji…
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imesema itawapokonya mikopo baadhi ya wanafunzi ambao uhakiki utawabaini kuwa hawakuwa wanastahili kupewa mikopo waliyokopeshwa. Utaratibu huo utawagusa wanafunzi wapya…
Winga wa klabu ya Real Madrid, Gareth Bale ameongeza mkaba mpya na klabu hiyo na kumfanya aendelee kudumu Bernabeu mpaka msimu wa mwaka 2022. Bale mchezaji alijiunga na klabu hiyo…
Kesi inayomkabili meneja wa Diamond pamoja na Tip Top Connection, Babu Tale imeibua sura mpya baada ya msajili wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, Projest Kahyoza kujitoa kusikiliza…
Bondia Thomas Mashali amekutwa amekufa usiku wa kuamkia leo maeneo ya kimara jijini Dar es salaam kutokana na sababu ambazo hazijajulikana mpaka sasa. Kwa mujibu wa katibu mkuu wa Oganization…
Tetemeko la ardhi limetokea tena maeneo ya katikati mwa Italia, mahali ambapo watu 300 waliuwawa mwezi Agosti mwaka huu. Idara ya Seisomologia nchini Italia inakadiria kuwa tetemeko hilo lilikuwa lenye…
Akaunti mpya ya Instagram inayodaiwa kuwa ya kundi la Destiny's Child imefunguliwa huku mashabiki wakitumai kwamba huenda kundi hilo limeungana tena. Akaunti hiyo ambayo imethibitishwa ilionekana siku ya Jumamosi na…
Kampuni ya teknolojia ya Apple imeongeza bei ya laptop na kompyuta zake nchini Uingereza kwa pauni 100. Siku ya Alhamisi ,kampuni hiyo ilizindua laptopu za Macbook Pro zikiwa na bei…