Mastaa wa Bongo ndani ya ‘Maisha Basement’ jumapili
Wanamuziki wa Bongo fleva, Tunda Man, Country Boy, na TID wanatarajiwa kukutana kwa pamoja kwenye tamasha ndani ya ukumbi wa maisha Basement uliupo Kijitonyama Dar es Salaam. Wasanii wengine ni…
Wanamuziki wa Bongo fleva, Tunda Man, Country Boy, na TID wanatarajiwa kukutana kwa pamoja kwenye tamasha ndani ya ukumbi wa maisha Basement uliupo Kijitonyama Dar es Salaam. Wasanii wengine ni…
Mamia ya waandamanaji wamejitokeza katika miji mbali mbali nchini Marekani wakipinga ushindi wa Donald Trump kwenye uchaguzi mkuu. Waandamanaji hao walikusanyika nje ya jumba kuu la Bw Trump, Trump Tower…
Baada ya MTV EMA kusitisha ushindi wa Wizkid na kumnyang’anya tuzo hiyo na kumpa Alikiba, mkali huyo kutoka Nigeria ameonekana kutofurahishwa na kitendo hiko. Kupitia ukarasa wake wa Instagram…
Muimbaji mkongwe wa muziki wa dansi nchini, Ally Choki amesema anatarajia kufanya tamasha kubwa la muziki kuadhimisha miaka 30 tangu kuanza kwake kuimba mwaka 1986. Onesho hilo litakwenda sambamba na…
Uchunguzi wa madai ya nyota wa Hollywood, Brad Pitt kuhusu tabia ya ukatili dhidi ya mwanawe wa kiume umesitishwa. Maafisa wa huduma kwa jamii mjini Los Angeles wamekuwa wakichunguza madai…
Yanga leo itashuka dimbani kuwakaribisha Ruvu Shooting kwenye mechi ya mwisho ya mzunguko wa kwanza wa ligi kuu Tanzania Bara katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Yanga chini…
Rais wa Marekani, Barack Obama amemwalika Rais mteule wa nchi hiyo Donald Trump Ikulu ya White House kwa ajili ya kufanya mkutano wa pamoja. Rais Obama amesema lengo la mkutano…
Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Elimu, Joseph Mungai unatarajiwa kuagwa leo jijini Dar es Salaam katika viwanja vya Karimjee. Mtoto wa marehemu, William Mungai amesema ibada ya kuuaga mwili huo…
Wandaaji wa tuzo za MTV EMA wamempokonya Wizkid tuzo ya Best African Act na Worldwide Act na kumpa Alikiba ambaye alistahili kushinda tuzo hiyo. Katika utoaji wa tuzo hizo staa…
Mwili wa Spika mstaafu wa Bunge, Samuel Sitta unatarajiwa kuwasili leo saa tisa alasiri kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam. Taarifa iliyotolewa…
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba amesema serikali inapitia upya posho ya pango kwa askari polisi ili kuwaondolea adha wanazopitia. Waziri huyo ameyasema hayo leo wakati akijibu…
Mkali kutoka Nigeria, Wizkid usiku wa kuamkia leo amefanikiwa kushinda tuzo ya MTV Europe Music Awards (EMA) katika kipengele cha Best African Act zilizofanyika Rotterdam nchini Uholanzi. Wasanii wengine aliokuwa…
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema ameunda timu ya watu wanne itakayofuatilia malipo ya fidia ya ardhi kwa ajili ya wananchi walioondolewa katika eneo la Uwanja wa Ndege wa…
Mkoa wa Dar es Salaam unatarajia kujenga vituo vikubwa vya Polisi 20 ili kuimarisha ulinzi, pamoja na kuondoa changamoto ya ubovu wa vituo kwa vilivyopo ambayo imegeuka kero kwa askari…
Shirika la Ujasusi nchini Marekani (FBI) limesema kuwa mgombea urais kupitia chama cha Democratic, Hillary Clinton hana shitaka la kujibu baada ya kupitia barua pepe zake na kujiridhisha. Mkurugenzi wa…
Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako, amesema matunda ya elimu mtandao hayajaonekana kwa kiwango kikubwa nchini kwa kuwa shule nyingi hazina maabara za kompyuta.…
Mkali wa Bongo fleva, Diamond Platnumz ameiwakilisha vyema Tanzania baada ya kufanikiwa kushinda tuzo tatu kwenye tuzo za Afrima zilizotolewa jijini Lagos nchini Nigeria jana usiku. Tuzo alizoshinda Diamond ni…
Waziri wa Sheria na Katiba, Dk Harrison Mwakyembe amesema Rais John Magufuli asingekuwa na ujasiri Mkataba wa Ushirikiano wa Kiuchumi kati ya Jumuiya ya Ulaya (EU) na Jumuiya ya Afrika…
Aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samuel Sitta amefariki dunia usiku wa kuamkia leo wakati akipatiwa matibabu nchini Ujerumani. Kiongozi huyo inadaiwa alifikwa na mauti saa…
Jumla ya askari na maofisa 340 wa Jeshi la Ulinzi wa Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wamekabidhiwa bendera ya Tanzania tayari kwenda nchini Kenya kushiriki zoezi Imara 2016 ambalo litadumu kwa…
Zikiwa zimebaki siku mbili kabla ya uchaguzi wa rais nchini Marekani, Hillary Clinton na Donald Trump wanajitayarisha kwa wikiendi ya mwisho ya kampeni. Bwana Trump atazuru majimbo matatu muhimu yakiwemo…
Ligi kuu nchini Uingereza inaendelea tena leo katika viwanja tofauti kwa michezo mitano itakayokutanisha timu vigogo wakati Arsenal akimualika Tottenham kwenye uwanja wa Eamrates. Ratiba kamili ipo kama ifuatavyo Arsenal…
Ligi Kuu soka Tanzania Bara mzunguko wa 15 unaendelea tena leo kwa michezo minne katika viwanja tofauti. African Lyon inatarajiwa kucheza na Simba kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam,…
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), imewapa siku 30 kuanzia Novemba 14, mwaka huu wadaiwa wake sugu 154,000 kurejesha fedha wanazodaiwa. Vinginevyo, imesema watakamatwa na kulazimishwa…
Rais mstaafu Jakaya Kikwete amesema muda si mrefu Tanzania itaandikwa na wino wa dhahabu kwenye sekta ya michezo. Kikwete aliyasema hayo jana katika fainali za michuano ya mpira wa kikapu…
Tamati ya tamasha la Fiesta imehitimishwa jana katika viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam na kuhuduriwa na maelfu ya wananchi wa jiji hilo. Shangwe zilitawala katika tamasha hilo baada…
Yanga imekubali kuilipa Simba Sh milioni 200 kumaliza utata wa Hassan Kessy kudaiwa kuvunja mkataba na klabu yake ya zamani Simba. Awali, Simba ilimlalamikia mchezaji Hassan Kessy kwa kuvunja mkataba…
Ligi kuu Uingereza leo inaendelea tena kwa michezo mitano katika viwanja tofauti huku mechi inayotazamiwa kuwa kali na yakuvtia ni Chelsea atakapoikaribisha Everton kwenye uwanja wa Stamford Bridge. Ratiba kamali…
Serikali imeanza kuajiri watumishi wapya na tayari imetoa nafasi 100 kwa Hospitali mpya ya kisasa ya Mloganzila iliyopo Dar es Salaam. Hospitali hiyo ambayo ni sehemu ya Chuo Kikuu cha…
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema sababu ya jeshi hilo kushindwa kumkamata Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lisu ni kutokana na kutopokea hati ya mahakamani Kisutu.…