BASATA kumaliza ‘bifu’ ya Diamond na Alikiba
Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) limesema kwamba baraza hilo limesikia tetesi ya bifu ilioyopo kati ya wanamuziki nyota wawili nchini Alikiba na Diamond na kama wakipelekewa mezani kuhusu suala hilo…
Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) limesema kwamba baraza hilo limesikia tetesi ya bifu ilioyopo kati ya wanamuziki nyota wawili nchini Alikiba na Diamond na kama wakipelekewa mezani kuhusu suala hilo…
Taifa stars leo inashuka dimbani kupambana dhidi ya timu ya taifa ya Zimbabwe kwenye mechi ya kirafiki itakayofanyika katika mji wa Harare nchini Zimbabwe. Picha za mazoezi ya Taifa stars…
Mchekeshaji Kevin Hart amemshirikisha Trey Songz katika video ya wimbo wake mpya wa “Push it on me”.
Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amezindua daraja la mto Kijenge linalounganisha kata za Engutoto na Moshono ambalo limejengwa kwa ufadhili wa kampuni ya Dharam Singh Hanspaul. Akizungumza katika…
Tazama video mpya ya mwanamuziki nyota wa Marekani, John Legend ngoma inaitwa Love Me Now.
Mazishi ya aliyekuwa spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samuel Sitta yamefanyika jana katika Wilaya ya Urambo mkoani Tabora. Viongozi mbali mbali waliudhuria mazishi hao akiwemo waziri…
Azam FC imemsaini kiungo mshambuliaji kutoka klabu ya Medeama ya Ghana Enock Atta Agyei kwa mkataba wa miaka mitatu. Azam FC iliingia makubaliano maalumu na Medeama ya Ghana juu ya kumsajili…
Rais mteule wa Marekani Donald Trump aliyefanya kampeini ya kupinga Bima ya afya inayofaahamika kama Obama care, sasa amesema atafanyia marekebisho machache kipengee cha sheria juu ya bima hiyo ya…
Kocha Msaidizi wa Yanga, Juma Mwambusi amesema wanashukuru kwa kumaliza mzunguko wa kwanza kwa ushindi wenye matumaini ya kurudi katika nafasi yao. Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi…
Kesi ya Mbunge wa Arusha mjini Godbles Lema (Chadema) ambaye anatuhumiwa kwa uchochezi imeendelea katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha ambapo Lema amerudishwa rumande baada ya upande wa Jamhuri kutoa…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ameongoza mamia ya Watanzania kuuaga mwili wa aliyekuwa spika wa Bunge la Tanzania, Samweli Sitta mjini Dar es Salaam…
Mahakama Kuu imewapa siku saba Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi na Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba na wenzake kujibu madai ya chama hicho. Msajili, Lipumba…
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli kutengwa sehemu maalumu kwaajili ya kuwazika viongozi mbalimbali waliofanya…
Tamthilia ya Jumba la Dhahabu iliyopata umaarufu miaka ya nyuma inatarajiwa kuoneshwa tena kupitia runinga ya TBC kama ilivyokuwa hapo awali. Mkurugenzi wa Shirika la Habari Tanzania (TBC), Ayub Rioba…
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Hussein Mwinyi amewaagiza wote waliohitimu kidato cha sita Mei mwaka huu na ambao hawajajiunga na vyuo vya elimu ya juu wakaripoti…
Maelfu ya watu wameandamana usiku wa pili nchini Marekani kupinga ushindi wa mgombea wa chama cha Republican Donald Trump ingawa hawakuwa wengi kama usiku wa kwanza. Waandamanaji wengi wamekuwa vijana…
Mkali wa wimbo Jike Shupa, Nuh Mziwanda ameamua kuuaga ukapera baada ya kufunga ndoa kimyakimya na mpenzi wake wa muda mrefu aitwae Nawal. Ndoa ya Nuh na Nawal imewashtua wengi…
Michezo mitano ya kuwania tiketi ya kufuzu kwa fainali za kombe la dunia mwaka 2018 nchini Urusi imecheza kwa ukanda wa Marekani ya Kusini. Brazil wakicheza katika dimba la Belo…
Mbunge wa Jimbo la Dimani lililopo visiwani Zanzibar, Mhe. Hafidh Ali Tahir (CCM) amefariki dunia saa 9 alfajiri ya leo katika Hospitali ya General iliyopo mkoani Dodoma alikokuwa akipatiwa matibabu.…
Rais mteule wa Marekani Donald Trump amekutana na Rais Barack Obama kwa mara ya kwanza ikulu ya White House tangu ashinde uchaguzi mkuu nchini humo. Trump kwenye kampeni zake alimweleza…
Watanzania 25 wamekamatwa katika nchi za China, Brazil na Zambia kutokana na makosa ya kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya. Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana na…
Mbunge wa Jimbo la Kawe Jijini Dar es Salaam, Halima Mdee amelishauri Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuunda Kamati Teule ili kuchunguza mkataba wa Shirika la Usafiri Dar…
Mwili wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samuel Sitta umewasili jioni hii katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam…
Kundi la Sauti Sol na Navy Kenzo wametajwa kuwania tuzo ya kundi bora la mwaka Afrika Mashariki kwenye tuzo za EATV Awards zitakazotolewa mwaka huu. Makundi hayo yalikuwa pamoja kwenye…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli leo ametembelea Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kuwaona wagonjwa waliolazwa katika hospitali hiyo akiwemo mkewe Mama Janeth Magufuli. Pia Rais…
Mshindi wa Tuzo ya Nobel na mwandishi raia wa Nigeria, Wole Soyinka amesema kuwa ataondoka Marekani siku ambayo Donald Trump ataapishwa kuwa rais. Wiki iliyopita Soyinka aliahidi kuwa angechana green…
Moto umeteketeza godauni la kuhifadhia matairi la Kampuni ya 7 General karibu na Chuo Kikuu cha Tumaini eneo la Mikocheni jijini Dar es Salaam. Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika na…
Mwanamuziki mkongwe wa Bongo fleva, Q Chief amefunguka na kusema kuwa haikuwa jambo dogo na jepesi kufanya collabo na msanii Patoranking kutoka nchini Nigeria. Chillah amedai kuwa pesa nyingi zimetumika…
Mkali wa nyimbo ya 'Mama Kijacho' Tunda Man amewachana wasanii wanaoogopa kufunga ndoa kwa madai ya kushuka kimuziki ambapo si kweli. Mwanamuziki huyo amefanikiwa kufunga ndoa mkoani Morogoro wiki tatu…
Shirikisho la soka barani Afrika Caf limeongeza kitita cha fedha zinazozawadiwa washindi katika michuano yote kuanzia mwaka 2017 kueleka 2020. Washindi wa kombe la mataifa ya bara Afrika watapata dola…