Mkuu wa chuo cha Uhasibu mkoani arusha ahukumiwa mwaka mmoja jela
Aliyekuwa Mkuu wa Chuo cha Uhasibu (IAA) cha Njiro mkoani Arusha, Profesa Johannes Monyo amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela au kulipa faini ya Sh milioni 1.5 baada ya kukutwa…
Aliyekuwa Mkuu wa Chuo cha Uhasibu (IAA) cha Njiro mkoani Arusha, Profesa Johannes Monyo amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela au kulipa faini ya Sh milioni 1.5 baada ya kukutwa…
Mwanamuziki nyota wa RnB nchini, Ben Pol amesema kuwa yeye ndio msanii pekee aliyesababisha show za muziki wa RnB kufanyika uwanjani tofauti na zamani zilikuwa zikifanyika ukumbini pekee. Muimbaji huyo…
Mshambuliaji wa Argentina, Lionel Messi amewaongoza wachezaji wa timu ya taifa ya Argentina kususia kuongea na wanahabari baada ya uokosoaji kuhusu uchezaji duni wa timu hiyo. Messi ametangaza mgomo huo…
Aliyekuwa mgombea urais kupitia UKAWA na mjumbe wa kamati kuu ya Chadema, Edward Lowassa amesema kuwa hakuhudhuria misiba ya aliyekuwa Spika wa Bunge, Samuel Sitta na waziri wa Elimu wa…
Kesi inayomkabili Salum Njwete (34) maarufu kama 'Scorpion' inatarajiwa kuanza kusikilizwa Novemba 30 mwaka huu baada ya upelelezi kukamilika. Hayo yamesemwa na hakimu Flora Lymo anayesikiliza kesi hiyo ya unyang'anyi…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameiomba Wizara ya Afya Maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto kuanzisha kampeni ya kutokomeza ugonjwa wa tezi…
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangalla amegundua kiwanda cha kutengeneza konyagi feki jijini Dar es Salaam. Dk. Kigwangalla ameshirikiana na Maofisa wa…
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba amemtaka Ofisa Utawala Mkuu wa Uhamiaji kueleza sababu zilizofanya askari polisi wapya 297 kushindwa kulipwa mishahara yao katika kipindi cha miezi minne. Waziri…
Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesaini muswada wa utafutaji na uchimbaji wa mafuta na gesi asilia ambao sasa utaipa ruhusa Zanzibar kisheria kutafuta nishati hiyo kwa maslahi ya…
Mahakama nchini Misri imebatilisha hukumu ya kifo aliyopewa rais aliyepinduliwa Mohammed Morsi. Morsi alikumiwa kifo baada ya kulaumiwa kuhusika na kutoroka kwa wafungwa wengi wakati wa mapinduzi ya mwaka 2011.…
Habari zilizoenea katika mitandao nchini Marekani kuwa Mcheza tennis maarufu duniani Serena Williams amerudiana na Ex wake Common ambaye ni rapa maarufu nchini Marekani. Wawii hao walionekana pamoja kwenye uzinduzi…
Baada ya staa Ommy Dimpozi kuwatuhumu baadhi ya mastaa wa Bongo Fleva kununua 'views' youtube ili kuwahadaa fans na watoaji wa tuzo kuwa ngoma zao zinafanya vizuri, tumekuletea 'data' za…
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limevifungia vyuo vya ufundi 26 kutokana na makosa mbalimbali, ikiwamo kushindwa kuzingatia masharti yaliyowekwa na kutoa mafunzo ambayo hayajathibitishwa. Akizungumza na waandishi…
Muigizaji mkongwe wa Marekani, Samuel L. Jackson amesema kuwa watu wamekuwa na shauku kumuona anaondoka Marekani baada ya Trump kushinda kiti cha urais nchini humo. Kauli hiyo inakuja baada muigizaji…
Mrembo, Julietha Kabete anaiwakilisha Tanzania katika mashindano ya urembo Bara la Afrika kwa mwaka 2016 yatakayofanyika nchini Nigeria Novemba 28 mwaka huu nchini Nigeria. Julietha Kabete ameishukuru Serikali kwa kuendelea…
Mfanyakazi wa ndani wa Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Angella Kizigha, Miraji Mkanga (41) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam kwa madai ya kumwibia…
Nchi ya Gambia imetangaza nia yake ya kujiondoa mahakama ya kimataifa ya makosa ya kiarifu ya kivita ICC iliyopo nchini Uholanzi. Gambia kama ikijiondoa mahakama hiyo itakuwa taifa la tatu…
Mwanamuziki maarufu wa Marekani, Kanye West amesema kuwa nia yake ya kugombea urais wa Marekani mwaka 2020 ipo pale pale. Kauli hiyo ya Kanye West imekuja baada ya Donald Trump…
Rais wa Marekani, Barack Obama amewahakikishia washirika wa Marekani kwamba Donald Trump ataendeleza heshima na ushirikiano wa kimataifa baina ya nchi yake nao wakati yeye atakapokabidhi urais mwezi Januari. Obama…
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage, amesema kuwa milango ya uwekezaji nchini ipo wazi hivyo wawekezaji kutoka nje ya nchi wanakaribishwa kuwekeza katika fursa zilizopo. Mwijage ameyasema hayo…
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema Tanzania ina wagonjwa wa kisukari wapatao 822,880 kwa mujibu wa takwimu za mwaka 2015. Ugonjwa wa kisukari ni…
Mwanamuziki nyota kutoka Marekani, Alicia Keys amefunguka kuhusu kujiamini kwake kutembea kwenye shughuli kubwa za muziki bila kujipaka vipodozi usoni mwake. Alicia Keys amesema ilichukua muda mrefu sana kusafisha ngozi…
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu, Abdul Razaq amesema wadaiwa sugu wa mikopo wa Elimu ya Juu watachukuliwa hatua kali iwapo hawatarejesha mikopo hiyo…
Mwanamuziki mkongwe wa taarabu nchini, Khadija Yusuph amesema kwamba kundi la Jahazi Morden Taarabu kwa sasa limevunjika na tayari wamegawana vitu vilivyokuwa ndani ya kundi hilo na yeye kwa sasa…
Mwanamuziki nyota wa Marekani, Rick Ross amepunguza bei ya nyuumba yake ya kifahari iliyopo mjini Florida. Tmz imeripoti kuwa jumba hili kwa sasa litauzwa dola milioni moja na laki tatu…
Klabu ya Ujerumani ya Borussia Dortmund imesema kuwa mwanariadha wa mbio fupi kutoka Jamaica Usain Bolt atashiriki mazoezi na klabu hiyo kwa siku chache. Bolt amekuwa akisema kwamba angependa kucheza…
Mwanamuziki wa Bongo fleva, Hakeem 5 amesema hawezi kumuomba Ali Kiba msamaha kwa kuwa hajafanya kosa lolote na alichoongea kuwa Ali Kiba anaroho mbaya aliongea ukweli. Msanii huyo amesema anaweza…
Mbunifu wa mavazi nchini, Martini Kadinda amesema hawezi kumchagulia Wema Sepetu marafiki wa kuwa nao karibu na hawezi kujiingiza kwa lolote katika ugomvi wao. Kadinda amesema ugomvi ambao unatokana na marafiki zake Wema…
Rais mteule wa Marekani, Donald Trump amesema kati ya wahamiaji haramu milioni mbili ama tatu watasafirishwa kutoka Marekani baada ya kuapishwa kuwa rais wa chi hiyo. Katika mahojiano na kituo…
Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema anatarajia kupanda kizimbana leo kwa madai ya kesi ya uchochezi dhidi ya mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo. Ijumaa wiki iliyopita Lema alipelekwa…