Wafanyabiashara wa shisha wakamatwa Dar
Kamanda wa polisi kanda maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro amesema kuwa wamewakamata watu watatu wakijihusisha na biashara ya uuzaji wa shisha katika wilaya ya Kindondoni. Sirro amesema kuwa…
Kamanda wa polisi kanda maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro amesema kuwa wamewakamata watu watatu wakijihusisha na biashara ya uuzaji wa shisha katika wilaya ya Kindondoni. Sirro amesema kuwa…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema kuwa ataanza kuwastaafisha watumishi wa umma wasiowajibika huku akidai katika ofisi yake ni wakuu wa idara wanne pekee ndio wanaofanya…
Mshambuliaji wa Barcelona na Argentina, Lionel Messi, amelipa malimbikizo ya mishahara ya wafanyakazi wa idara ya ulinzi wa timu ya taifa ya Argentina baada ya kulalamikiwa. Messi alifuatwa na watu…
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknlojia, Profesa Joyce Ndarichako amesema kuwa wanafunzi wa St. Joseph walioamishiwa katika chuo kikuu cha Dodoma kurudia mwaka kwa kile kilichobainika kuwa na ujuzi na…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema ataunda kikosi kazi kitachoshirikisha Jeshi la Polisi kukabiliana na uvuvi haramu wa mabomu unaofanywa na wavuvi katika pwani ya Kigamboni.…
Wakazi 250 katika kijiji cha Namonge katika Wilaya ya Bukombe mkoani Geita, hawana sehemu ya kuishi baada ya nyumba zao kuharibiwa na kuezuliwa mapaa kutokana na mvua kubwa iliyonyesha. Akizungumza…
Aliyekuwa kocha wa Yanga, Hans Van der Pluijm amekubali kuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa klabu hiyo huku nafasi yake ikichukuliwa na George Lwandamina kutoka Zesco ya Zambia. Makamu Mwenyekiti wa…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Felix J Lyaniva kumaliza tatizo la madarasa 2568 ambayo yanahitajika katika wilaya hiyo baada ya…
Aliyekuwa mbunge wa Kasulu Mjini mkoani Kigoma kupitia chama cha NCCR Mageuzi, Moses Machali amehama chama chake cha ACT-Wazalendo na kuhamia chama tawala CCM. Kupitia taarifa yake Machali amesema ameamua…
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo ameuagiza uongozi wa wilaya ya Monduli Mkoani Arusha pamoja na baraza la madiwani la wilaya hiyo kuhakikisha wanabadilisha umiliki wa shamba la Manyara…
Rais wa Urusi, Vladimir Putin amesema kuwa Rais mteule wa Marekani, Donald Trump ameridhia kuungana na mataifa yenye nguvu. Putin amesema yuko tayari kurudisha mahusiano yao yaliyokuwa yanaenda mrama kutokana…
Mchezaji tenisi wa Uingereza, Andy Murray amefanikiwa kumfunga Novak Djokovic na kunyakua tuzo ya kwanza ya fainali za Dunia za ATP 2016 akiwa kama mchezaji namba moja duniani. Akiwa katika…
Kampuni ya Usafiri wa Mabasi yaendayo Haraka (Udart) leo inaanzisha huduma za usafiri wa mabasi hayo kutokea Gerezani hadi Muhimbili. Hayo yalibainishwa jana jijini Dar es Salama na Meneja Uhusiano…
Wanachama na viongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) wa wilaya za Mkoa wa Morogoro wamemwomba Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Profesa Ibrahim Lipumba kutoa azimio la kujiengua ndani ya…
Mwanamuziki aliyehama kwenye Bongo fleva na kuhamia muziki wa Gospel, Walter Chilambo ameachia video ya wimbo wake mpya wa gospel unaitwa Asante.
Mtandao wa kijamii Facebook umetangaza hatua mpya itakazochukuwa kudhibiti taarifa za uongo zinazochapishwa katika mtandao huo. Mmiliki wa Facebook, Mark Zuckerberg amesema yuko katika harakati za kuunda kifaa kipya kitakacho…
Bendi kongwe nchini, Msondo Ngoma inatarajia kufanya onesho maalumu la kufunga mwaka litakalofanyika Desemba 2 mwaka huu ndani ya ukumbi wa Mango Garden Kinondoni jijini Dar es Salaam. Katibu wa…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli leo amemteua Bw. Charles E. Kichere kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Bw. Kichere ameteuliwa…
Timu ya taifa ya umri chini ya miaka 17 ya Serengeti Boys huenda ikashiriki katika fainali za Afcon 2017 zitakazofanyika Madagascar baada ya mchezaji waliomkatia rufaa kukataa kufanyiwa vipimo. Mchezaji…
Watu 99 wamefariki dunia na wengine wamejeruhiwa kutokana na ajali ya treni iliyotokea mapema leo kaskazini mwa India. Treni hiyo ilikuwa ikitoka Indore kuelekea Patna kabla ya kupoteza muelekeo na…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli ameifumua bodi nzima ya wakurugenzi ya mamlaka ya mapato Tanzania TRA pamoja mwenyekiti wa bodi hiyo, Benard Mchomvu. Katika taarifa…
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ametoa siku 18 kwa mkandarasi wa umeme kwenye kiwanda cha Kiluwa Steel Group awe amemaliza kazi ya kuweka umeme mkubwa…
Hat-Trick ya Christiano Ronaldo imeisadia timu yake ya Real Madrid kuibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya Atletico Madrid kwenye mechi ya ligi kuu nchini Uhispania katika uwanja wa Vicente…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewataka watumishi katika halmashauri za mkoa huo kufanya kazi kwa kujituma na kuacha kukaa maofisini kusubiri mishahara. Makonda ametoa kauli hiyo…
Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif, leo amezuiliwa kuhudhuria mkutano wa ndani wa chama ulioandaliwa na Jumuiya ya Vijana ya CUF(JUVICUF) Mtwara Mjini, kama mgeni rasmi. Kwa taarifa za uhakika…
Wakili wa rais mteule wa Marekani, Donald Trump ametatua kesi ya mamilioni ya madola iliyokuwa inamkabili mteja wake ili apate nafasi ya kutekeleza majukumu yake mapya na kuangazia changamoto zinazoikabili…
Mkurugenzi wa Ushauri wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), Edwin Nnunduma amesema kuwa majengo katika mradi wa nyumba za makazi Magomeni yanajengwa kwa teknolojia ambayo imezingatia uwezo wa wakazi wake…
Kiungo wa timu ya Manchester United, Bastian Schweinsteiger ameshinda tuzo ya heshima ya Special Jury kutokana na mchango wake aliowahi kuutoa kwenye timu yake ya taifa ya Ujerumani kabla ya…
Mwanamitindo mashuhururi nchini, Jokate Mwegelo ameingiza sokoni bidhaa ya mabegi kupitia brand yake ya Kidoti. Mwanamitindo huyo amezidi kujitengenezea njia nzuri za kibiashara kupitia brand yake ya Kidoti kutokana na…
Zahanati nchini India imejitolea kumsaidia mwanamme mrefu zaidi nchini ambaye aliambiwa kuwa kutokana na urefu wake, hawezi kufanyiwa upasuaji wa nyonga. Daktari katika zahanati ya Speedy Recovery, amesema wanaweza kumsaidia…