Morocco yakataliwa kujiunga tena AU
Wizara ya mambo ya nje nchini Morocco imemlaumu mkuu wa tume ya Muungano wa Afrika, Nkosazana Dlamini-Zuma, kwa kuhujumu jitihada zake za kujiunga na muungano huo miaka 32 tangu iondoke.…
Wizara ya mambo ya nje nchini Morocco imemlaumu mkuu wa tume ya Muungano wa Afrika, Nkosazana Dlamini-Zuma, kwa kuhujumu jitihada zake za kujiunga na muungano huo miaka 32 tangu iondoke.…
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo imefuta kesi iliyokuwa inawakabili vijana saba wa Chama Cha Demeokrsai na Maendeleo (CHADEMA). Vijana hao walikuwa wanakabiliwa na kesi ya…
Yanga leo imekamilisha usajili wa kiungo mkabaji raia wa Zambia, Justice Zulu baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili na klabu hiyo. Zulu alieyetua nchini usiku wa kuamkia Jumannne, amejiunga…
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imeghairisha kesi inayomkabili mtuhumiwa wa makosa ya kukamatwa na nyara za serikali, Yusuf Ali Yusuf maarufu kama Shehe Mpemba (35) hadi Desemba 15 kufuatia…
Mjukuu wa malkia wa Uingereza, Prince Harry amekutana mwanamuziki nyota wa Marekani, Rihana mara mbili kwa siku katika warsha ya kuadhimisha miaka 50 ya uhuru wa Barbados. Rihana ambaye muziki…
Mwanamuziki nyota anayefanya vizuri kwasasa, Vanessa Mdee 'Vee Money' amesema anajisikia furaha kuwemo kwenye kinyang'anyiro cha mwanamuziki bora wa kike kwenye Tuzo za EATV. Mwanamuziki huyo yupo kwenye kipengere cha…
Simba inatarajia kumsajili golikipa wa klabu ya Medeama ya Ghana, Daniel Agyei kwa ajili ya kuichezea timu hiyo kwenye mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania bara itakayoanza mapema mwezi…
Mwanamuziki nyota wa Marekani, Beyonce ameachia video yake mpya ya wimbo unaoitwa 'All Night'. Itazame hapa kwa mara ya kwanza.
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ametuma salamu za rambirambi kwa Shirikisho la Mpira la Brazil (CBF), kutokana na vifo vya wachezaji wa timu ya…
Aliyekuwa DJ wa radio, David Mueller amekana madai yaliyotolewa na mwanamuziki Taylor Swift kwamba alimdhalilisha wakati alipokutana na mashabiki wake. Ni mara ya kwanza kwa Bwana Mueller kuzungumzia kuhusu kile…
Bodi ya Chakula Dawa na Vipodozi Zanzibar (ZFDB) imeangamiza zaidi ya tani 62 za vyakula vibovu na vilivyopitwa na wakati katika zoezi lililofanyika Kibele Mkoa Kusini Unguja. Mkuu wa Idara…
Majambazi wamevamia mgahawa wa Dinners uliopo katika mtaa wa Kenyatta Road jijini Mwanza na kupora kiasi cha fedha kisichojulikana na kujeruhi watu wawili kwa risasi kabla ya kutoweka katika tukio…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa jana ameongoza mamia ya waombolezaji kuaga mwili wa marehemu Mzee Xavery Pinda ambaye ni baba mzazi wa Waziri Mkuu Mstaafu…
Rais mteule wa Marekani, Donald Trump ametangaza kuwa ataacha kufanya biashara kabisa kutokana na majukumu yake ya urais wa Marekani. Katika ujumbe aliotuma kwenye mtandao wake wa kijamii wa twitter,…
Ofisi ya mashitaka nchini Rwanda imetangaza kuanza upelelezi kuhusu askari 20 wa nchi ya Ufaransa katika mauaji ya kimbari ya mwaka 1994. Tangazo lililotolewa na ofisi ya mashitaka ya Rwanda…
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, ametoa mwezi mmoja kwa viongozi wa serikali kuanzia ngazi za kijiji hadi mkoa kutatua migogoro ya ardhi katika maeneo yao.…
Aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Singida, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) EX Peter Kakamba amefariki dunia alfajiri ya tarehe 30/11/2016 katika hospital ya taifa Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu.…
Mkali wa Hip Hop nchini, Roma Mkatoliki amesema kuwa hapendezwi na kitendo cha mashabiki kupenda zaidi muziki wa nje kuliko kupenda muziki wa nyumbani. Roma amesema yeye kama msanii kitu…
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani Jafo amepiga marufuku kwa wafanyabiashara wa Manispaa ya Dodoma kupanga bidhaa zao barabarani na kutakiwa kutumia…
Rais wa Sudan, Omar el Bashir amempongeza rais mteule wa Marekani Donald Trump huku akisema kuwa itakuwa rahisi kushirikiana naye. Rais alisema kuwa Trump anaangazia maslahi ya raia wa Marekani,…
Kesi inayomkabili Salum Njwete (Scorpion) ya kumtoboa macho Said Ally imeendelea leo katika mahakama ya wilaya ya Ilala huku akiongezewa shtaka lingine la kujeruhi. Kesi hiyo ilianza kusikilizwa leo saa…
Kikosi cha timu ya Bunge la Tanzania kilichosheheni wachezaji wa michezo ya mpira wa miguu,wavu, riadhaa, kuvuta kamba na mchezo wa gofu chenye wachezaji 60 kimeingia kambini mkoani Tanga. Mwenyekiti…
Mwanamuziki wa nyimbo za utamaduni nchini, Mrisho Mpoto ameendelea kupata shavu katika hafla mbalimbali zinazofanyika Ikulu baada ya kutoa burudani kwenye dhifa aliyoandaliwa rasi wa Zambia Edgar Lungu. Katika hafla…
Winga wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo ametoa kiasi cha euro milioni tatu ikiwa ni rambi rambi yake kufuatia vifo vya wachezaji wa klabu ya…
Mwanamuziki nyota wa Bongo Fleva, Alikiba jana amesherehekea siku yake ya kuzaliwa katika mbuga ya wanyama ya Serengeti baada ya kutimiza miaka 30. Kiba amezaliwa Novemba 29, 1986 aliamua kusherehekea siku…
Rais mteule wa Marekani, Donald Trump anatarajia kuanza kutangaza mawaziri watakaofanya kazi katika seikali yake itakayoanza kazi mwezi januari mwakani. Ripoti zinasema kwamba Trump atamteua mshirika wake wa kibiashara wa…
Mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameleta taharuki kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram baada ya jana kuposti picha ya selfie akiwa amevalia boxer nyeusi. Kupitia ukurasa wake huo wa…
Mfalme, Charles Wesley Mumbere kutoka magharibi mwa Uganda amefunguliwa mashtaka ya mauaji kufuatia mapigano ya mwishoni mwa wiki ambapo watu 62 waliuawa. Anatawala katika ufalme ya kitamaduni kwenye milima ya…
Watu sita wamekufa na wengine wanane wakijeruhiwa baada ya gari dogo walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kupinduka mara nne katika Kijiji cha Kipande wilayani Nkasi katika Mkoa wa Rukwa. Kamanda…
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amezitaka taasisi za serikali kuanza mikakati madhubuti ya kubadili mfumo wa kupikia na kuweka majiko ya gesi ili kupunguza matumizi…