Mfanyabiashara jijini Arusha apandishwa kizimbani kwa kosa la kuhujumu uchumi
Mfanyabiashara maarufu wa Jijini Arusha mwenye asili ya kiasia, Firoz Khane (55) amesomewa mashitaka yake ya awali katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha kwa kosa la kuhujumu uchumi…