Picha 4: Maandalizi ya ‘EATV Awards’ kesho Mlimani City
Kesho Disemba 10 historia itaandika nchini Tanzania katika ukumbi wa Mlima City kwenye siku ya utoaji tuzo za Eatv 2016 ambazo zinahusisha muziki na filamu katika ukanda wa Afrika Mashariki.…
Kesho Disemba 10 historia itaandika nchini Tanzania katika ukumbi wa Mlima City kwenye siku ya utoaji tuzo za Eatv 2016 ambazo zinahusisha muziki na filamu katika ukanda wa Afrika Mashariki.…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Tano itaendeleza jitihada zilizoachwa na Serikali za awamu zilizopita ili kuzidi kuwaletea maendeleo Watanzania.…
Nyota wa muziki kutoka Nigeria, Tiwa Savage amerudiana na mumewe Teebillz baada ya kuachana naye kwa kile kilichodaiwa kuwa mwanamme huyo anatumia madawa ya kulevya. Teebillz amefanikiwa kutibiwa kisiri katika kliniki…
Mkali wa 'Cash Madame' Vanessa Mdee anatarajia kuonekana kwenye tamthilia ya Shuga iliyochezwa nchini Afrika Kusini kuanzia mwakani. Msimu wa tano wa tamthilia hiyo unaanza Machi mwakani ambapo Vanessa Mdee…
Wabunge nchini Korea Kusini wamepiga kura kumuondoa madarakani Rais wa nchi hiyo Park Geun-hye kutokana na matumizi mabaya ya madaraka. Maelfu ya waandamanaji walikuwa wamekusanyika nje ya majengo ya bunge…
Mfanyabiashara maarufu nchini, Mohammed Dewji ametangazwa kuwa mshindi wa Tuzo ya Mfanyabiashara Bora wa Afrika wa mwaka 2016 jijini Paris nchini Ufaransa. Tuzo hiyo imetolewa na kampeni ya Ujasiriamali la…
Aliyekuwa rais wa shirikisho la soka duniani (Fifa) Sepp Blatter amemlaumu rais wa sasa Gianni Infantino kwa kutopokea simu zake. Blatter mwenye umri wa miaka 80 anasema alikutana na Infantino…
Mabweni ya shule ya Sekondari ya Ufundi Mtwara yamewaka moto na kuteketea kabisa asubuhi ya leo huku chanzo cha moto huyo akijajulikana. Hakuna mtu yoyote aliyeapata madhara kwenye janga hilo…
Jumla ya timu kumi na sita zimefuzu kwa hatua ya kumi na sita bora ya michuano ya klabu bingwa ulaya, huku timu zilizomaliza katika nafasi ya tatu katika kila kundi…
Wagombea wanaowania wadhifa wa mwenyekiti wa tume ya Umoja wa Afrika (AU) watachuana kwenye mdahalo wa kihistoria katika makao makuu ya umoja humo mjini Addis Ababa, Ethiopia. Mdahalo huo utafanyika…
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema itaruhusiwa mikutano ya kisiasa wakati wa kampeni za uchaguzi katika Jimbo la Dimani Zanzibar na kata 22 ambazo zitafanya uchaguzi wa madiwani. Tume…
Maofisa watano wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) wanaotuhumiwa kushiriki kumwondoa faru John kutoka katika Creta hiyo wamekamatwa juzi kwa mahojiano ili kujua ukweli kuhusu mazingira ya kupotea kwake.…
Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amewaongoza Watanzania katika kilele cha maadhimisho ya Miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara, yatakayofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar…
Klabu ya Yanga kesho Jumamosi watamuaga beki wao kiraka ambaye ni raia wa Rwanda, Mbuyu Twite baada ya kumaliza mkataba na timu hiyo. Twite alisajiliwa mwaka 2012 anaondoka Yanga baada…
Aliyekuwa star wa NBA, Michael Jordan ameshinda kesi dhidi ya kampuni ya China iliyokuwa inatumia jina lake kujiingizia kipato. Mahakama kuu ya nchini China imempa ushindi Jordan katika Kesi hiyo…
Kamanda wa polisi kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Simon Sirro amesema kuwa jeshi la polisi wamewakamata watuhumiwa sugu 103 wa makosa mbalimbali ya uhalifu ikiwemo unyang’anyi wa kutumia nguvu.…
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amezindua mradi wa maji safi na salama katika Kijiji cha Jobaj, Wilaya ya Karatu mkoani Manyara unaotekelezwa na Shirika la…
Basi la abilia mali ya Kampuni ya New Force, malori mawili ya mizigo (ambapo moja ni aina ya Scania lenye namba za usajili T 103 ATX) na gari dogo aina…
Sheikh mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum amesema kuwa waislamu wanatarajia kufanya maandamano ya amani ya Maulidi ya kuzaliwa kwa Mtume Muhamad (S.A.W) yatakayofanyika Desemba 10.…
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amekiri kuwepo kwa uhaba wa wahudumu wa afya nchini ambapo ametaja mikoa ya Kagera, Katavi, Shinyanga, Ruvuma na…
Wanyama jamii ya twiga wamepungua sana duniani katika kipindi cha miaka 30 iliyopita na kwa sasa wanakabiliwa na hatari ya kuangamia kabisa katika ulimwengu. Idadi ya twiga duniani imeshuka kutoka…
Nchi tano zinatarajia kushiriki mashindano ya Michuano ya Mabingwa ya mchezo wa ngumi yanayotarajiwa kuanza Desemba 09 mwaka huu jijini Dar es salaam. Rais wa Shirikisho la Ngumi za Ridhaa Nchini BFT Mutta Rwakatare…
Mawakili wa mbunge wa Arusha mjini, Godbless Lema wamepeleka maombi kuiomba mahakama kuu kanda ya Arusha kumpa mteja wao muda wa kupeleka notisi ya kusudio la kukata rufaa. Kutokana na hali…
Mwanamuziki kutoka lebo ya PKP inayomilikiwa na Ommy Dimpoz, Nedy Music ameachia video mpya ya wimbo wake aliyomshikisha mkali wa masauti Christian Bella ngoma inaitwa 'Rudi'
Rais wa Syria, Bashar al-Assad amesema kuwa ushindi wa wanajeshi wake katika mapigano mjini Aleppo utakuwa ni hatua muhimu katika kumaliza mapigano nchini humo. Vikosi vyake pamoja na washirika wake,wameleta…
Ndoa ya mwanamitindo maarufu nchini Marekani, Kim Kardashian na mume wake Kanye West uhenda ikafika mwisho baada ya Kim Kardashian kudai talaka. Wawili hao wameripotiwa kuelekea kutengana na hata Kim…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli amemtumbua Msajili wa Hazina, Lawrence Mafuru na nafasi yake kurithiwa na Dk. Osward Mashindano. Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano…
Msemaji wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Christopher ole Sendeka ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe. Sendeka anachukua nafasi ya Dk. Rehema Nchimbi ambaye amehamishwa kituo cha kazi na kuwa…
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein amevitaka vyuo vikuu nchini kusajili wa wanafunzi wenye sifa za kitaifa na kimataifa. Ameyasema hayo jana katika…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka wananchi kuacha tabia ya kuhifadhi fedha nyingi majumbani na badala yake wajenge utamaduni wa kuzipeleka benki. Ametoa ushauri huo…