Vituo 20 vya Polisi kujengwa Dar
Mkoa wa Dar es Salaam unatarajia kujenga vituo vikubwa vya Polisi 20 ili kuimarisha ulinzi, pamoja na kuondoa changamoto ya ubovu wa vituo kwa vilivyopo ambayo imegeuka kero kwa askari…
Mkoa wa Dar es Salaam unatarajia kujenga vituo vikubwa vya Polisi 20 ili kuimarisha ulinzi, pamoja na kuondoa changamoto ya ubovu wa vituo kwa vilivyopo ambayo imegeuka kero kwa askari…
Shirika la Ujasusi nchini Marekani (FBI) limesema kuwa mgombea urais kupitia chama cha Democratic, Hillary Clinton hana shitaka la kujibu baada ya kupitia barua pepe zake na kujiridhisha. Mkurugenzi wa…
Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako, amesema matunda ya elimu mtandao hayajaonekana kwa kiwango kikubwa nchini kwa kuwa shule nyingi hazina maabara za kompyuta.…
Mkali wa Bongo fleva, Diamond Platnumz ameiwakilisha vyema Tanzania baada ya kufanikiwa kushinda tuzo tatu kwenye tuzo za Afrima zilizotolewa jijini Lagos nchini Nigeria jana usiku. Tuzo alizoshinda Diamond ni…
Waziri wa Sheria na Katiba, Dk Harrison Mwakyembe amesema Rais John Magufuli asingekuwa na ujasiri Mkataba wa Ushirikiano wa Kiuchumi kati ya Jumuiya ya Ulaya (EU) na Jumuiya ya Afrika…
Aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samuel Sitta amefariki dunia usiku wa kuamkia leo wakati akipatiwa matibabu nchini Ujerumani. Kiongozi huyo inadaiwa alifikwa na mauti saa…
Jumla ya askari na maofisa 340 wa Jeshi la Ulinzi wa Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wamekabidhiwa bendera ya Tanzania tayari kwenda nchini Kenya kushiriki zoezi Imara 2016 ambalo litadumu kwa…
Zikiwa zimebaki siku mbili kabla ya uchaguzi wa rais nchini Marekani, Hillary Clinton na Donald Trump wanajitayarisha kwa wikiendi ya mwisho ya kampeni. Bwana Trump atazuru majimbo matatu muhimu yakiwemo…
Ligi kuu nchini Uingereza inaendelea tena leo katika viwanja tofauti kwa michezo mitano itakayokutanisha timu vigogo wakati Arsenal akimualika Tottenham kwenye uwanja wa Eamrates. Ratiba kamili ipo kama ifuatavyo Arsenal…
Ligi Kuu soka Tanzania Bara mzunguko wa 15 unaendelea tena leo kwa michezo minne katika viwanja tofauti. African Lyon inatarajiwa kucheza na Simba kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam,…
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), imewapa siku 30 kuanzia Novemba 14, mwaka huu wadaiwa wake sugu 154,000 kurejesha fedha wanazodaiwa. Vinginevyo, imesema watakamatwa na kulazimishwa…
Rais mstaafu Jakaya Kikwete amesema muda si mrefu Tanzania itaandikwa na wino wa dhahabu kwenye sekta ya michezo. Kikwete aliyasema hayo jana katika fainali za michuano ya mpira wa kikapu…
Tamati ya tamasha la Fiesta imehitimishwa jana katika viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam na kuhuduriwa na maelfu ya wananchi wa jiji hilo. Shangwe zilitawala katika tamasha hilo baada…
Yanga imekubali kuilipa Simba Sh milioni 200 kumaliza utata wa Hassan Kessy kudaiwa kuvunja mkataba na klabu yake ya zamani Simba. Awali, Simba ilimlalamikia mchezaji Hassan Kessy kwa kuvunja mkataba…
Ligi kuu Uingereza leo inaendelea tena kwa michezo mitano katika viwanja tofauti huku mechi inayotazamiwa kuwa kali na yakuvtia ni Chelsea atakapoikaribisha Everton kwenye uwanja wa Stamford Bridge. Ratiba kamali…
Serikali imeanza kuajiri watumishi wapya na tayari imetoa nafasi 100 kwa Hospitali mpya ya kisasa ya Mloganzila iliyopo Dar es Salaam. Hospitali hiyo ambayo ni sehemu ya Chuo Kikuu cha…
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema sababu ya jeshi hilo kushindwa kumkamata Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lisu ni kutokana na kutopokea hati ya mahakamani Kisutu.…
Kilele cha tamasha la Fiesta kinatarajia kufikia tamati leo katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam. Jukwaa la tamasha hilo litashereheshwa na wasanii wa ndani na nje ya…
Mkali wa filamu za mapigano, Jimmy Mponda maarufu kama J Plus ameingiza sokoni filamu yake mpya inayokwenda kwa jina la 'The Foundation'. Ujio wa filamu hiyo inavunja ukimya wa staa…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli amewaomba watanzania kuwa wamoja ili kuijenga na kuiendeleza Tanzania. Rais amesema hayo Ikulu jijini Dar es Salaam leo wakati…
Mkali wa wimbo 'Diana' Tekno kutoka Nigeria anatarajia sanii kuungana na wasanii kama Davido, Wizkid na Alikiba kwenye Lebo maarufu ya muziki ‘Sony Music’. Tekno ambaye anatarajia kutua nchini kwenye tamasha…
Kocha wa Yanga, Hans van Pluijm ameikubali Mbeya City na kusema ni timu nzuri yenye uwezo wa kucheza dakika 90 kwa ushindani. Aidha kocha huyo amelaumu wachezaji wake kutokuwa makini…
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imetoa amri ya kukamatwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na kuamuru wadhamini wake kufika mahakamani hapo kujieleza kwanini wasilipe fungu la…
Wagombea urais nchini Marekani, Hillary Clinton na Donald Trump wamezidisha kampeni kwenye majimbo yanayoshindaniwa sana huku kura za maoni zikionesha wamekaribiana sana zikiwa zimesalia siku chache kabla ya uchaguzi mkuu.…
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa mwelekeo wa msimu wa mvua za vuli kwa mwezi huu Novemba kuwa kutakuwa na upungufu wa mvua katika maeneo mengi ya nchi.…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo anatarajia kufanya mahojiano ya kwanza na waandishi wa habari tangu aingie madarakani mwaka mmoja uliopita. Mahojiano hayo yatarushwa…
Serikali ya mkoa wa Dar es Salaam imeamua kuwasomesha wanafunzi wa kidato cha nne watakaofanya vizuri katika masomo ya sayansi na kuchaguliwa kuendelea na kidato cha tano na sita. Mkuu…
Serikali kupitia Wizara ya Kilimo, Chakula na Mifugo imesema itahakikisha utaratibu wa kusambaza pembejeo za ruzuku za mbegu na mbolea unatekelezwa vizuri, ili kuwafikia wakulima kwa wakati. Aidha, serikali imesema…
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ametetea hatua ya nchi yake na kuwaondoa wanajeshi wake kutoka kikosi cha Umoja wa Mataifa cha kulinda amani nchini Sudan Kusini. Rais Kenyatta amesema kuwa…
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amesema wizara yake inakusudia mpaka Juni 2017 iwe imetoa takribani hati laki nne, hivyo kushauri kasi katika upimaji ardhi. Ametoa…