Waziri mkuu wa Japan asema ana imani na Trump
Waziri Mkuu wa Japan, Shinzo Abe amesema ana imani na Rais Mteule wa Marekani Donald Trump na kwamba wawili hao wanaweza kuaminiana. Abe ameeleza mkutano wa dakika 90 kati yake…
Waziri Mkuu wa Japan, Shinzo Abe amesema ana imani na Rais Mteule wa Marekani Donald Trump na kwamba wawili hao wanaweza kuaminiana. Abe ameeleza mkutano wa dakika 90 kati yake…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli amefanya uteuzi mpya kwenye nafasi kadhaa za serikali ikiwemo nafasi ya Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera iliyokwenda kwa Diwan Athuman…
Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma, Azan Abubakary amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Dodoma Mjini na kusomewa mashtaka ya kujihusisha na ugaidi. Mshtakiwa huyo anashtakiwa kwa makosa ya kufadhili…
Majambazi wakiwa na silaha za moto, wamevamia duka moja lililopo Mtaa wa Nkurumah jiji la Mwanza na kumuua kwa kumpiga risasi mama mmoja mwenye asili ya Kihindi kisha kupora kiasi…
Kamanda wa polisi mkoa wa Dar es Salaam, Simon Sirro amesema kuwa kama mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ana wasi wasi na jeshi la polisi kuhusu kudhibiti matumizi…
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imepokea boti mbili za kisasa za kuongozea meli ambazo zitatumika katika Bandari ya Dar es Salaam na Tanga. Meneja Mawasiliano wa TPA, Janeth…
Waziri wa nchi ofisi ya rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), George Simbachawene ameitaka mikoa saba ambayo imeshindwa kutekeleza agizo la kuwa na madawati ya kutosha kufanikisha…
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi amesema Wilaya hiyo imetenga maeneo saba likiwemo viwanja vya Biafra vilivyopo Chuo Kikuu Huria Tanzania (OUT) kwa ajili ya wamachinga ambao hawana maeneo…
WAZIRI wa Fedha Dk. Philip Mpango anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Takwimu Afrika yatakayofanyika kesho ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam. Maadhimisho hayo…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli ametia saini Sheria ya Huduma za Habari ya Mwaka 2016 iliyopitishwa na Bunge katika mkutano wake wa tano mjini Dodoma.…
Mwenyekiti wa Bodi ya Parole Taifa, Dk. Augustine Lyatonga Mrema amemtaka Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa kuwatoa wafungwa 43 aliowalipia Sh. 12,840,000 walizokuwa wakidaiwa kupitia mfadhili wake Mchungaji Getrude Lwakatare. Mrema…
Naodha wa Manchester United na Uingereza, Wayne Rooney amemuomba radhi kocha wake Gareth Southgate baada ya picha kutolewa zikimuonesha akiwa amelewa wakati wa sherehe ya harusi. Nahodha huyo alihudhuria sherehe…
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam kupitia kikosi cha kupambana na uhalifu wa kutumia silaha za ujambazi limefanikiwa kuwakamata wanawake wanne na watoto wanne waliokuwa wamefichwa kwenye…
Tetesi zilizoenea katika mitandao nchini Marekani zinasema kuwa mwanamuziki mkongwe wa Marekani, Janet Jackson atampa mtoto wake jina la kaka yake mkali wa Pop dunia, Michael Jackson. Kutokana na taarifa…
Mshambuliaji wa kimtaifa wa Uganda, Emanuel Okwi uhenda akarejea Simba baada ya klabu hiyo kukubali kulipa dola za Marekani 120,000 ni zaidi ya Sh milioni 240 kwa klabu ya Sonderjiske…
Mwanamuziki nyota wa Bongo fleva, Diamond Platnumz anatarajia kuingiza sokoni bidhaa ya manukato itakayojulikana kama 'Chibu Perfume' hivi karibuni. Mkali huyo ameonesha manukato hayo kupitia video fupi iliyosambaa katika mitandao…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema atamwajibisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda iwapo hatasimamia ipasavyo kukomesha matumizi ya shisha. Hatua hiyo…
Aliyekuwa Mkuu wa Chuo cha Uhasibu (IAA) cha Njiro mkoani Arusha, Profesa Johannes Monyo amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela au kulipa faini ya Sh milioni 1.5 baada ya kukutwa…
Mwanamuziki nyota wa RnB nchini, Ben Pol amesema kuwa yeye ndio msanii pekee aliyesababisha show za muziki wa RnB kufanyika uwanjani tofauti na zamani zilikuwa zikifanyika ukumbini pekee. Muimbaji huyo…
Mshambuliaji wa Argentina, Lionel Messi amewaongoza wachezaji wa timu ya taifa ya Argentina kususia kuongea na wanahabari baada ya uokosoaji kuhusu uchezaji duni wa timu hiyo. Messi ametangaza mgomo huo…
Aliyekuwa mgombea urais kupitia UKAWA na mjumbe wa kamati kuu ya Chadema, Edward Lowassa amesema kuwa hakuhudhuria misiba ya aliyekuwa Spika wa Bunge, Samuel Sitta na waziri wa Elimu wa…
Kesi inayomkabili Salum Njwete (34) maarufu kama 'Scorpion' inatarajiwa kuanza kusikilizwa Novemba 30 mwaka huu baada ya upelelezi kukamilika. Hayo yamesemwa na hakimu Flora Lymo anayesikiliza kesi hiyo ya unyang'anyi…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameiomba Wizara ya Afya Maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto kuanzisha kampeni ya kutokomeza ugonjwa wa tezi…
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangalla amegundua kiwanda cha kutengeneza konyagi feki jijini Dar es Salaam. Dk. Kigwangalla ameshirikiana na Maofisa wa…
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba amemtaka Ofisa Utawala Mkuu wa Uhamiaji kueleza sababu zilizofanya askari polisi wapya 297 kushindwa kulipwa mishahara yao katika kipindi cha miezi minne. Waziri…
Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesaini muswada wa utafutaji na uchimbaji wa mafuta na gesi asilia ambao sasa utaipa ruhusa Zanzibar kisheria kutafuta nishati hiyo kwa maslahi ya…
Mahakama nchini Misri imebatilisha hukumu ya kifo aliyopewa rais aliyepinduliwa Mohammed Morsi. Morsi alikumiwa kifo baada ya kulaumiwa kuhusika na kutoroka kwa wafungwa wengi wakati wa mapinduzi ya mwaka 2011.…
Habari zilizoenea katika mitandao nchini Marekani kuwa Mcheza tennis maarufu duniani Serena Williams amerudiana na Ex wake Common ambaye ni rapa maarufu nchini Marekani. Wawii hao walionekana pamoja kwenye uzinduzi…
Baada ya staa Ommy Dimpozi kuwatuhumu baadhi ya mastaa wa Bongo Fleva kununua 'views' youtube ili kuwahadaa fans na watoaji wa tuzo kuwa ngoma zao zinafanya vizuri, tumekuletea 'data' za…
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limevifungia vyuo vya ufundi 26 kutokana na makosa mbalimbali, ikiwamo kushindwa kuzingatia masharti yaliyowekwa na kutoa mafunzo ambayo hayajathibitishwa. Akizungumza na waandishi…