GK: Viongozi wengi wa Afrika ni wauaji
Mwanamuziki mkongwe wa Bongo fleva, Crazy GK amesema viongozi wengi wa Afrika kwasasa hawana uzalendo wala utu wametanguliza maslahi yao mbele kiasi cha kutojali wananchi na kupelekea kuwaua watu wasio…
Mwanamuziki mkongwe wa Bongo fleva, Crazy GK amesema viongozi wengi wa Afrika kwasasa hawana uzalendo wala utu wametanguliza maslahi yao mbele kiasi cha kutojali wananchi na kupelekea kuwaua watu wasio…
Mwanamuziki mkongwe kutoka nchini Uganda, Bebe Cool amesema kuwa kituo cha runinga cha EATV kimefanya jambo kubwa kwa wasanii wa Afrika Mashariki baada ya kuanzisha tuzo za EATV. Bebe Cool…
Mkali wa Bongo movie, Gabo Zigamba amesema sanaa ya sasa siyo kama ya zamani na kuna utofauti mkubwa kati ya zama hizo mbili kutokana na uigizaji. Gabo Zigamba amesema sanaa…
Muigizaji nyota wa Bongo movie, Muhsen Hawadh 'Dk Cheni' amesema kuwa kwasasa ameacha kuigiza filamu kutokana na soko la filamu hizo kudorora hapa nchini. Dr Cheni amesema ameamua kuacha kufanya…
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Walemavu, Jenista Mhagama amewataka wabunge kutotumia lugha zinazoudhi bungeni kwa kuwa kufanya hivyo ni kinyume cha kanuni…
Mechi za ligi kuu Tanzania Bara zinaendelea tena leo kwa michezo sita katika viwanja tofauti nchini. Simba SC watakuwa wageni wa Stand United kwenye Uwanja wa CCM Kambarage wakati Yanga…
Mke wa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema, Neema Lema (33) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha na kuunganishwa katika kesi ya mume wake ya kumtukana Mkuu…
Mechi za klabu bingwa barani ulaya ziliendelea tena usiku wa kuamkia leo, ambapo kulikuwa na jumla ya michezo minane. Manchester City wakiwa nyumbani wamelipa kisasi dhidi ya Barcelona kwa kuifunga…
Bondia Thomas Mashali anatarajiwa kuzikwa kesho siku ya jumatano katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Bondia huyo aliuwawa kwa kupigwa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia jana maeneo…
Watahiniwa 408,442 wamesajiliwa na Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) kufanya Mtihani wa Kidato cha Nne unaotarajia kuanza leo hadi Novemba 18, mwaka huu. Akizungumzia maandalizi ya mtihani huo, Katibu Mtendaji…