Trump kuachana na biashara atakapoapishwa
Rais mteule wa Marekani, Donald Trump ametangaza kuwa ataacha kufanya biashara kabisa kutokana na majukumu yake ya urais wa Marekani. Katika ujumbe aliotuma kwenye mtandao wake wa kijamii wa twitter,…
Rais mteule wa Marekani, Donald Trump ametangaza kuwa ataacha kufanya biashara kabisa kutokana na majukumu yake ya urais wa Marekani. Katika ujumbe aliotuma kwenye mtandao wake wa kijamii wa twitter,…
Ofisi ya mashitaka nchini Rwanda imetangaza kuanza upelelezi kuhusu askari 20 wa nchi ya Ufaransa katika mauaji ya kimbari ya mwaka 1994. Tangazo lililotolewa na ofisi ya mashitaka ya Rwanda…
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, ametoa mwezi mmoja kwa viongozi wa serikali kuanzia ngazi za kijiji hadi mkoa kutatua migogoro ya ardhi katika maeneo yao.…
Aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Singida, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) EX Peter Kakamba amefariki dunia alfajiri ya tarehe 30/11/2016 katika hospital ya taifa Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu.…
Mkali wa Hip Hop nchini, Roma Mkatoliki amesema kuwa hapendezwi na kitendo cha mashabiki kupenda zaidi muziki wa nje kuliko kupenda muziki wa nyumbani. Roma amesema yeye kama msanii kitu…
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani Jafo amepiga marufuku kwa wafanyabiashara wa Manispaa ya Dodoma kupanga bidhaa zao barabarani na kutakiwa kutumia…
Rais wa Sudan, Omar el Bashir amempongeza rais mteule wa Marekani Donald Trump huku akisema kuwa itakuwa rahisi kushirikiana naye. Rais alisema kuwa Trump anaangazia maslahi ya raia wa Marekani,…
Kesi inayomkabili Salum Njwete (Scorpion) ya kumtoboa macho Said Ally imeendelea leo katika mahakama ya wilaya ya Ilala huku akiongezewa shtaka lingine la kujeruhi. Kesi hiyo ilianza kusikilizwa leo saa…
Kikosi cha timu ya Bunge la Tanzania kilichosheheni wachezaji wa michezo ya mpira wa miguu,wavu, riadhaa, kuvuta kamba na mchezo wa gofu chenye wachezaji 60 kimeingia kambini mkoani Tanga. Mwenyekiti…
Mwanamuziki wa nyimbo za utamaduni nchini, Mrisho Mpoto ameendelea kupata shavu katika hafla mbalimbali zinazofanyika Ikulu baada ya kutoa burudani kwenye dhifa aliyoandaliwa rasi wa Zambia Edgar Lungu. Katika hafla…
Winga wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo ametoa kiasi cha euro milioni tatu ikiwa ni rambi rambi yake kufuatia vifo vya wachezaji wa klabu ya…
Mwanamuziki nyota wa Bongo Fleva, Alikiba jana amesherehekea siku yake ya kuzaliwa katika mbuga ya wanyama ya Serengeti baada ya kutimiza miaka 30. Kiba amezaliwa Novemba 29, 1986 aliamua kusherehekea siku…
Rais mteule wa Marekani, Donald Trump anatarajia kuanza kutangaza mawaziri watakaofanya kazi katika seikali yake itakayoanza kazi mwezi januari mwakani. Ripoti zinasema kwamba Trump atamteua mshirika wake wa kibiashara wa…
Mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameleta taharuki kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram baada ya jana kuposti picha ya selfie akiwa amevalia boxer nyeusi. Kupitia ukurasa wake huo wa…
Mfalme, Charles Wesley Mumbere kutoka magharibi mwa Uganda amefunguliwa mashtaka ya mauaji kufuatia mapigano ya mwishoni mwa wiki ambapo watu 62 waliuawa. Anatawala katika ufalme ya kitamaduni kwenye milima ya…
Watu sita wamekufa na wengine wanane wakijeruhiwa baada ya gari dogo walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kupinduka mara nne katika Kijiji cha Kipande wilayani Nkasi katika Mkoa wa Rukwa. Kamanda…
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amezitaka taasisi za serikali kuanza mikakati madhubuti ya kubadili mfumo wa kupikia na kuweka majiko ya gesi ili kupunguza matumizi…
Mfanyabiashara nchini, Ndama Shaaban Hussein 'Pedeshee Ndama Mutoto ya Ng’ombe' jana amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kwa kosa la utapeli wa dola za Kimarekani 540, 390 sawa…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza katika Gereza la Ukonga na kupiga marufuku uuzwaji wa sare za majeshi na watu binafsi.…
Rais wa Zambia, Edgar Lungu ameondoka nchini baada ya kumaliza ziara yake ya siku tatu baada ya kufanya mazungumzo na rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli…
Kundi maarufu la Bongo fleva nchini Navy Kenzo limeachia video mpya ya wimbo wao unaokwenda kwa jina la 'Feel Good' ambao unapatikana kwenye albam yao mpya ya Above In a…
Raia wa Cuba wameanza kutoa heshima zao za mwisho kwa kiongozi mwanamapinduzi wa taifa hilo Fidel Castro aliyeaga dunia siku ya Ijumaa akiwa na umri wa miaka 90. Milolongo mirefu…
Mwanamuziki wa taarabu nchini, Khadija Yusuph amemshauri wifi yake Leila Rashid kufuata nyayo za mumewe na kuachana na maswala ya muziki. Khadija amesema kuwa Reila anatakiwa kumfuta mume wake Mzee…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli jana alimuandalia dhifa ya kitaifa mgeni wake Rais wa Zambia Edgar Lungu iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam. Dhifa hiyo…
Mwanamuziki mkongwe wa dansi nchini, Ali Choki amewashukuru wanamuziki wenzake pamoja na amashabiki wake waliojitokeza katika tamasha la kutimiza miaka 30 tangu aanze kuimba muziki. Ali Choki amewashukuru wasanii ambao…
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Luhaga Mpina amesema mawaziri walioteuliwa na Rais John Magufuli si waoga na wanatekeleza wajibu wao ikiwa ni pamoja…
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza operesheni mpya walioipa jina la 'Kata Funua' kwa ajili ya kujiimarisha vijijini zaidi. Opreresheni hiyo imetangazwa na mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe…
Ndege iliyobeba watu 81 wakiwemo wachezaji wa klabu moja ya soka ya Brazil imeanguka eneo la Medellin nchini Colombia. Ndege hiyo ilikuwa safarini kutoka Bolivia na ilikuwa imewabeba wachezaji wa…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameitaka Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), kumhamisha Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Dk Aziz…
Rais wa Zambia, Edgar Lungu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli wamesema wataifanyia mabadiliko Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (Tazara) kutokana na kushindwa…