Pluijm: Kiwango cha Yanga kimerudi
Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Pluijm amesema kikosi chake kimerudi katika kiwango chake na sasa ni mwendo wa ushindi katika mechi zake zilizobaki. Yanga ilipata ushindi wa mabao 3-1…
Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Pluijm amesema kikosi chake kimerudi katika kiwango chake na sasa ni mwendo wa ushindi katika mechi zake zilizobaki. Yanga ilipata ushindi wa mabao 3-1…
Klabu ya Chelsea imeingia mkataba na kampuni ya utengenezaji vifaa na jezi ya Nike,utakaoanza msimu wa 2017/2018. Mkataba huo ni wa miaka 15 na una thamani ya pauni milioni 60…
Mwanamuziki wa Bongo fleva, Tunda Man kutoka Tip Top Connection pamoja na mpenzi wake wa muda mrefu wamefanya ‘send-off’ wakijiandaa kuingia katika maisha ya ndoa. Picha za sherehe hiyo zilsambaa…
Serikali imeiagiza Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu kusitisha mara moja makato ya fedha yaliyokuwa yakifanywa kwenye malipo ya pensheni ya mstaafu Ernest Lameck, katika Chuo cha…
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage ametoa siku nne kwa wafanyabiashara waliopitisha makontena 100 bandarini bila kukaguliwa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS), wakatoe taarifa katika shirika. Mwijage…
Nguza Viking maarufu kama 'Babu Seya' na mwanae Jonson Nguza 'Papii Kocha' ambao kwa sasa wanatumikia kifungo cha maisha gerezani wanatarajia kutoa burudani kesho kwenye tamasha la wafungwa litakalofanyika katika…
Nyota wa muziki nchini Marekani, David Bowie na Prince ni miongoni wasanii wa hivi karibuni waliorodheshwa na kampuni ya Forbes kuwa miongoni mwa watu maarufu waliofariki ambao wanapata mapato ya…
Mwanamuziki nyota wa Marekani, Janet Jackson amethibitisha rasmi kwamba anatarajia kujifungua mtoto wake wa kwanza akiwa na umri wa miaka 50. Janet amesema kuwa anashukuru Mungu kwa baraka aliyonayo huku…
Wasichana 21 waliokuwa miongoni mwa wasichana wa shule waliotekwa na wapiganaji wa Boko Haram eneo la Chibok nchini Nigeria wameachiwa huru. Taarifa zinasema wasichana hao kwa sasa wamo mikononi mwa…
Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako amesema kuwa vifaa vya maabara za shule za sekondari vyenye thamani ya zaidi ya Sh bilioni 12 vinatarajia…
Said Ally aliyetobolewa macho na mtuhumiwa Scorpion maeneo ya Buguruni Sheli amekabidhiwa shilingi milioni 10 na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda pamoja na kuhaidiwa kujengewa nyumba…
Baada ya kimya cha muda mrefu mwanamuziki nyota wa Nigeria, David Adeleke 'Davido' amesema kuwa anatarajia kuachia nyimbo yake mpya inayoitwa kwa jina la 'How Long' kesho siku ya Ijumaa.…
Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) kwa mara ya kwanza imefanya upasuaji mkubwa kwa mafanikio wa kunyoosha mfupa wa mgongo wa mtoto wa miaka 13 uliokuwa umepinda (kibiongo). Kaimu…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema mji wa Dodoma ni lazima upangwe ili uwe tofauti na miji mingine nchini. Waziri Mkuu ametoa kauli hiyo jana…
Malkia wa Bongo movie, Wema Sepetu ' Madam' mara nyingi upendelea kusafiri nchi mbali mbali dunia ikiwa ni kuimarisha kazi zake za sanaa au kwenda kupumzika kwa mara moja kutokana…
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Ruby amefanikiwa kupata nafasi ya kuiwakilisha Tanzania kwenye msimu wa nne wa kipindi cha Coke Studio. Ruby anaungana na wasanii wengine kutoka Tanzania pamoja na nchi…
Mkali wa hip hop, Country Boy kutoka kundi la Mtu Che amesema kuwa amejikuta katika wakati mgumu baada ya kubwagiwa mtoto na mzazi mwenzake kutokana na kutokuwa na maelewano kati…
Mkali wa miondoko ya hip hop nchini, Nikki wa Pili kutoka kundi la Weusi amesema walioanzisha tuzo za EATV ni watu sahihi kuanzisha tuzo hizo kwa sababu ni watunwanaojua mziki.…
Mwanamuziki mkongwe wa Bongo fleva, Dully Sykes amesema kuwa baada ya ngoma yake ya 'Inde' kufanya vizuri sasa anampango wa kuingia studio tena na kufanya collabo nyingine na msanii mwingine.…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameitumia salamu za rambirambi familia ya Meya Mstaafu wa Jiji la Dar es Salaam Dkt. Didas Masaburi aliyefariki dunia…
Ndege mpya moja ya Shirika la Ndege (ATCL) imeruka kufanyiwa ukaguzi kwa mara ya kwanza kabla ya kuanza rasmi safari zake. Ndege hiyo aina ya Bombardier Dash 8-Q400 iliruka saa…
Mamlaka ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imetangaza kuanzishwa kwa mfumo mpya wa ukataji wa tiketi za mabasi na daladala kwa njia ya kielektroniki. Hatua hiyo ina lengo…
Aliyewahi kuwa meya wa Dar es Salaam na mbunge wa Afrika Mashariki, Dr Didas Massaburi amefariki dunia katika hospitali ya taifa Muhimbili mahali alikokuwa akipata matibabu yake. Taarifa za kifo…
Nchi ya Marekani imeionya Ethiopia kutotumia vibaya hali ya tahadhari iliyoidhinishwa Jumapili nchini. Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Marekani amesema ni lazima serikali ya Ethiopia ifafanue vipi…
Serikali imesema uhakiki wa watumishi wa umma, utakamilika ndani ya mwezi huu, hivyo nafasi zilizoachwa wazi baada ya kuondolewa kwa watumishi hewa, zitaanza kujazwa. Aidha, imesema kwamba baada ya uhakiki…
Mkali wa 'Nisamehe' Baraka The Prince amemporomoshea madongo ya kufa mtu rapa mtata nchini Nay wa Mitego baada ya rapa huyo kudai kwamba tofauti zilizopo kati ya Baraka na Stan…
Kiungo wa Ujerumani, Toni Kroos amesaini mkataba mpya na klabu yake ya Real Madrid utakao muweka bernabeu mpaka msimu wa mwaka 2022. Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 26 alijiunga…
Beki wa klabu ya Paris Saint-Germain kutoka Ivory Coast, Serge Aurier amesifiwa baada yake kuokoa maisha ya mchezaji wa Mali Moussa Doumbia Jumamosi Doumbia alianguka na kupoteza fahamu baada ya…
Muigizaji nyota wa Bongo Movie, Wema Sepetu amewachana baadhi ya watu wanaomtolea matusi muigizaji mwenzake, Aunt Ezekiel baada ya kuhudhuria sherehe ya kuzaliwa ya Zari. Wema amesema unatakiwa ufike wakati…
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Kailima Ramadhani amesema Tume ya Uchaguzi nchini itafanya zoezi la kufanya marekebisho ya daftari la wapigakura kwa awamu mbili kabla ya uchaguzi…