Stan Bakora: Nimepaka masizi ili video ilete uhalisia
Comedian maarufu nchini, Stan Bakora amesema kuwa sababu ya kupakaa masizi kwenye video aliyoifanya ya wimbo wa Nisamehe wa Baraka The Prince ni kuleta uhalisia wa video hiyo. Mchekeshaji huyo…
Comedian maarufu nchini, Stan Bakora amesema kuwa sababu ya kupakaa masizi kwenye video aliyoifanya ya wimbo wa Nisamehe wa Baraka The Prince ni kuleta uhalisia wa video hiyo. Mchekeshaji huyo…
Muigizaji wa Bongo movie, Bakari Makuka maarufu kama Beka jana alifanya sherehe ya harusi baada ya kufunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi. Sherehe hiyo ilifanyika katika Ukumbi wa…
Said Ally aliyetobolewa macho maeneo ya Buguruni Sheli amekabidhiwa Bajaji mbili na kiongozi wa Bohra dunia Dk. Syedna Mufaddal Saifuddin ikiwa kama msaada wake kwa kijana huyo. Kitendo hiko cha…
Mkurugenzi wa Idara ya Petroli wa Ewura, Godwin Samweli amesema kuwa mamlaka hiyo itaanza kutoa bei kikomo kwa gesi ya kupikia inayotokana na zao la mafuta ya petroli, utaratibu unaotarajia…
Mwili wa Meya wa zamani wa Jiji la Dar es Salaam, Dk Didas Masaburi, leo utaagwa na viongozi wa kitaifa pamoja na wananchi wa Jiji la Dar es Salaam kwenye…
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angella Kairuki ameitaka Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida) kuhakikisha wanasajili mtumishi yeyote hata kama hana…
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage amewataka baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), walioshirikiana na wenzao wa Mamlaka ya Mapato (TRA), kupitisha makontena zaidi ya…
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan ameandika historia ya aina yake kwenda Dodoma kufanya ziara, ambapo ametumia njia ya barabara na kufanya mikutano kadhaa katika mikoa yote ya njiani ya…
Serikali imetoa vigezo vitakavyozingatiwa katika utoaji mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu kwa mwaka wa masomo wa 2016/2017. Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Stella…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amesema serikali yake ya Awamu ya Tano inataka kuona mambo yanafanyika na kutoa matokeo bila kupoteza muda na kwamba angependa…
Bomba la gesi asilia kutoka mkoani Mtwara hadi jijini Dar es Salaam lililokamilika ujenzi wake mwaka jana limekabidhiwa rasmi kwa Kampuni ya Tanzania ya Kusambaza Gesi (GASCO). Aidha baada ya…
Mahakama imetupilia maombi ya kupinga matokeo ya uchaguzi yaliyofunguliwa na David Kafulila akipinga ushindi wa Husna Mwilima wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Kigoma Kusini, safari hii uamuzi ukitolewa…
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewataka wafanyabiashara wenye leseni za kuingiza simu nchini, zinazotolewa na mamlaka hiyo, kutekeleza maagizo yaliyotolewa na Kampuni ya Samsung ya kurejesha simu za kisasa za…
Mwanamuziki wa Rap nchini Marekani, Coolio ameshtakiwa kwa kumiliki bunduki haramu ambapo ni kinyume na sheria ya nchi ya hiyo. Waendesha mashtaka nchini Marekani wanasema kuwa bunduki hiyo aina ya…
Ligi kuu ya England inaendelea tena leo kwa michezo saba kucheza baada kusimama kupisha michezo ya kimataifa. Mabingwa watetezi wa ligi hiyo Leicester City, watakua ugenini Stanford Bridge, kuwakabali wenyeji…
Samaki Mkubwa aina ya Nyangumi amekutwa akiwa amekufa katika ufukwe wa Bahari ya Hindi eneo la Bandari ya Kilwa, Wilaya ya Kilwa mkoani Lindi. Ripiti kutoka eneo la tukio zinasema…
Vikao vya Kamati za kudumu za Bunge vinatarajiwa kuanza Jumatatu wiki ijayo mjini Dodoma, vitapokea maoni ya miswada mbalimbali ikiwemo Muswada wa Huduma za Habari wa mwaka 2016 na taarifa…
Halmashauri nchini zimetakiwa kuhakikisha zinahuisha mipango mikakati yake kwa kuzingatia Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) katika mipango yake ya maendeleo. Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa…
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), George Simbachawene amewataka wakuu wa mikoa na wa wilaya kupita darasani kukagua wanachofundisha walimu ili kuhakikisha…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo anatarajia kuanza ziara ya siku 4 mkoani Dodoma. Taarifa iliyotolewa na Uongozi wa Mkoa wa Dodoma imesema…
Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli amesema kuwa serikali itashirikiana na wadau mbalimbali katika kuhakikisha kuwa wazee na watu wenye ulemavu wanapata huduma za…
Serikali imesema kuwa mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2016, zimezindua jumla ya miradi 1,387 yenye thamani ya shilingi bilion 494.8 na mingine imeanza kutoa huduma kwa wananchi wa Tanzania…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Biashara wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe.Qian Keming. Katika…
Kampuni ya Samsung imesema gharama ya kuacha kuuza simu yake ya mpya Galaxy Note 7 zitakuwa zaidi ya £4.4bn ($5.4bn). Kampuni hiyo ya Korea Kusini tayari imepunguza matarajio yake ya…
Mkuu wa Wilaya ya Tarime mkoani Mara, Glorius Luoga amewaagiza polisi kuwakamata Ofisa Elimu Sekondari Halmashauri ya Mji Tarime, George Ogutu na Mkuu wa Shule ya Sekondari Tarime, Marwa Matiko…
Mwanamuziki wa Muziki wa Dansi nchini, Ally Choki amekanusha tetesi zilizogaa kuwa msanii huyo ameihama bendi yake ya Twanga Pepeta ambapo amethibitsha siyo kweli. Ali Chocky amesema kuwa madai hayo…
Mwanamuziki wa Bongo fleva, Abdukiba amefunguka na kusema kuwa kwa sasa haoni sababu ya kazi zao kama kundi na kaka yake kuanza kutoka kutokana na Alikiba kuwa na kazi nyingi…
Mwanamuziki wa Bongo fleva, Barakah The Prince ameonesha matunda aliyoyapata kutokana na muziki tangu aanze kuimba mwaka 2014. Miongoni mwa mafanikio aliyopata ni pamoja na kujenga nyumba kubwa yenye vyumba…
Meneja wa klabu ya Simba, Mussa Hassan ‘Mgosi’ amesema siri ya timu yao kufanya vizuri kwenye mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu ni ubora wa kikosi walichokisajili pamoja…
Wasichana 21 waliotekwa na kundi la Boko Haram miaka miwili iliyopita, ambao waliachiliwa huru jana, wamekutana na makamu wa rais wa Nigeria Yemi Osinbajo. Bw Osinbajo amesema wasichana wote wamo…