Msaga Sumu adai nyimbo yake ‘Iga Tena’ siyo dongo kwa mtu yeyote
Mwanamuziki wa Singeli nchini, Msaga Sumu amesema kuwa nyimbo mpya inayofanya vizuri kwasasa ' Iga Tena' siyo dongo kwa mtu yeyote bali ni ujumbe kwa jamii nzima ya watanzania. Msaga…
Mwanamuziki wa Singeli nchini, Msaga Sumu amesema kuwa nyimbo mpya inayofanya vizuri kwasasa ' Iga Tena' siyo dongo kwa mtu yeyote bali ni ujumbe kwa jamii nzima ya watanzania. Msaga…
Rapa mkongwe nchini, Jay Moe amesema kuwa Juma Nature amefanya mambo makubwa sana mpaka muziki kufikia hapa ulipo. Jay Moe ameongeza kwa kusema kuwa alichokifanya Juma Nature kwenye game ya…
Staa wa filamu na mtayarishaji wa Bongo movie, Jacob Stephen ‘JB’ jana amenusurika kifo baada ya kupata ajali mbaya ya gari . JB ambaye hivi karibuni alikuwa mkoani Arusha katika…
Mamlaka ya Idara ya leseni Zanzibar imesema itawachukulia hatua kali za kisheria ikiwemo kuwafutia leseni zao wamiliki wa magari ya abiria watakaobainika kujishughulisha na vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia kwa…
Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi, Mgeni Hassan Juma amesema wamekabidhi jumla ya Sh milioni 30 ikiwa ni sehemu ya fedha za mchango wa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi zilizokusanywa kwa…
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani Jafo amesema serikali imewekeza Sh bilioni 37 kwa ajili ya miundombinu ya majengo katika Chuo cha…
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Saidi Mecky Sadiki amesema Wakala za Ufundi na Umeme Nchini (TEMESA) ni mzigo kutokana na kushindwa kufanya kazi zake kwa ubora unaokubalika huku ikitoza gharama…
Wakazi wa mkoani Dar es Salaam wanatarajiwa kumeza kinga tiba ya mabusha, matende na minyoo kwa siku tano kuanzia Oktoba 25 mwaka huu. Mratibu wa kitaifa wa magonjwa yaliyokuwa hayapewi…
Mwanamuziki wa Hip Hop nchini, Izzo Bizness amesema kundi lao 'The Amazing' limejipanga kukabiliana na changamoto ambazo zimekuwa zikiyakabili baadhi ya makundi ya muziki hapa nchini. Izzo amesema kuwa kabla…
Rapa nyota wa Marekani, Michael Ray Stevenson ‘Tyga’ amesema kuwa amewahi kuonywa kutoingia kwenye uhusiano wa kimapenzi na Mwanamitindo Kylie Jenner. Tyga amesema kuwa licha ya watu wake wa karibu…
Mwanamuziki nyota wa Nigeria, David Adeleke 'Davido' amewaomba Wanigeria kumpa muda rais, Muhammadu Buhari kutokana na hali mbaya ya kiuchumi inayoikabili nchi hiyo. Davido amesema wananchi wa Nigeria wanatakiwa wampe…
Rais wa shirikisho la soka la Ulaya (Uefa), Aleksander Ceferin amesema bado anafuatilia pendekezo lake la kutaka fainali ya Kombe la Klabu Bingwa Ulaya ichezewe nje ya bara hilo. Rais…
Mkali wa Bongo fleva, Alikiba amewasili Afrika Kusini kwa ajili ya kushiriki hafla ya utoaji tuzo za MTV MAMA zitakazofanyika kesho. Katika safari yake hiyo Alikiba ameongezana na kiongozi wake…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo ameweka jiwe la msingi kwa ajili ya ujenzi wa hosteli za wanafunzi katika Chuo Kikuu Cha Dar es salaam.…
Mtangazaji maarufu nchini Afrika Kusini, Bonang Matheba ametangazwa kuwa mshereheshaji wa tuzo za mwaka huu za MTV MAMA akichukua nafasi ya mchekeshaji Trevor Noah aliyetangaza kutoshiriki. Trevor ametangaza kujitoa kwenye…
Waziri mkuu wa Uingereza, Theresa May amehudhuria mkutano wa Umoja wa Ulaya nchini Ubelgiji ikiwa ni mara yake ya kwanza toka aingie madarakani baada ya kujiuzuru David Cameron. May amesema…
Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako ameiagiza Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu kurejesha mfumo wa zamani wakutoa fedha kwa wanafunzi wa chuo.…
Zaidi ya nyumba 150 za wakazi wa Tegeta A Kata ya Goba jijini Dar es Salaam zimebomolewa kwa madai ya kujengwa eneo ambalo sio lao huku Kaya zaidi ya 450…
Mwanamuziki mkongwe nchini Kenya, Achieng Abura amefariki dunia katika Hospitali taifa ya Kenyatta jijini Nairobi. Achieng Abura pia aliwahi kuwa Principal kwenye mashindano ya Tusker Project Fame yanayofanyika jijini Nairobi…
Rapa wa Hip Hop nchini Marekani, Akon yupo ziarani nchini Liberia kuweka umeme wa jua katika shule mbili za msingi katika taifa hilo la Afrika Magharibi. Huo ni miongoni mwa…
Kiungo wa Manchester United, Paul Pogba amefunga mara mbili wakati Manchester United walipoibuka na ushindi mnono wa 4-1 dhidi ya klabu ya Fenerbahce katika kundi A. Pogba mchezaji ghali zaidi…
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage amesema atalifumua na kuliunda upya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa lengo la kufanya kazi kwa umakini Waziri huyo amesema kwamba wameshaanza…
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema hadi kufikia mwaka 2025, sekta ya madini nchini inapaswa ichangie asilimia 10 kwenye Pato la Taifa. Katika kipindi cha mwaka 2015…
Shirika la ndege la Etihad limepokea hati ya uthibitisho wa kuwa na hadhi ya nyota tano, kutoka kwa taasisi ya Skytrax ambayo inajihusisha na utafiti wa ubora wa huduma za…
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dk Augustine Mahiga amesema suala la mageuzi katika Umoja wa Mataifa ni muhimu. Amesema wameomba Afrika ipewe viti viwili…
Mkuu wa Shule ya Sekondari Shinyanga Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga, Marxon Paul amevuliwa madaraka kutokana na tabia ya ulevi na kushindwa kusimamia taaluma. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya…
Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii imetoa muda wa wiki moja kwa wadau wa habari kuhakikisha wanawasilisha maoni yao kwa ajili ya kuboresha Muswada wa Sheria ya Huduma za…
Mwanamuziki wa Bongo fleva, Beka Ibrozama amesema kuwa anatarajia kufanya uzinduzi wa bendi yake itakayojulikana kwa jina ‘Spidoch Band’ ambapo maandalizi ya bendi hiyo yamekamilika kabisa. Beka amesema kuwa bendi…
Tanzania imeshuka nafasi 12 kwenye orodha ya viwango vya ubora wa soka duniani baada ya kushika nafasi ya 144 huku Argentina ikishika nafasi ya kwanza kwenye viwango hivyo. Ujerumani inashika…
Muimbaji wa muziki wa Singeli nchini, Man Fongo amesema kuwa amepata mafanikio makubwa kwenye kupitia muziki wa Singeli kwa muda mfupi kuliko matarajiao yake ya hapo awali. Man Fongo amesema…