Waathirika wa tetemeko la ardhi wahitaji mahema
Waathirika wa tetemeko la ardhi katika Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, wameiomba serikali iwaongezee mahema ili waepuke adha ya kunyeshewa na mvua. Wamesema kutokana na mvua kubwa yenye upepo mkali…
Waathirika wa tetemeko la ardhi katika Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, wameiomba serikali iwaongezee mahema ili waepuke adha ya kunyeshewa na mvua. Wamesema kutokana na mvua kubwa yenye upepo mkali…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli amempongeza Balozi Prof. Joram Biswaro kwa kuteuliwa kuwa Mwakilishi Maalum wa Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika na Mkuu wa…
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, CP Simon Sirro leo amepokea msaada wa hundi ya Shilingi 50,000,000 kutoka mfuko wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF)…
Rais wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, Joseph Kabila amewasili nchini Tanzania kwa ziara ya siku tatu. Amepokelewa na viongozi mbalimbali wa nchi akiwemo rais John Magufuli, makamu wa Rais…
Wasanii wawili wa hip hop nchini ambao kwa sasa wanafanya vizuri kwenye muziki wa bongo Darasa pamoja na Billnas wamefunguka na kutoa shukrani kwa msanii Mwana FA baada ya msanii…
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangalla amefanya ziara ya kikazi katika Wilaya Iramba Mkoani Singida na kukagua huduma za Afya katika Hospitali…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Lawrence Mujungu Museru kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu…
Shindano la Miss Tanzania ambalo lilikuwa limesimama kwa muda kidogo limerejea kwa kasi ya aina yake ambapo mwaka huu shindano hilo litafanyika jijini Mwanza kwa mara ya kwanza. Hayo yamesemwa…
Klabu ya Swansea City wamemfukuza kocha wao Francesco Guidolin kutoakana na mwenendo mbovu wa klabu hiyo toka kuanza kwa msimu mpya wa ligi kuu nchini Uingereza. Swansea aijashinda hata mechi…
Kocha wa klabu ya Mwadui FC ya Shinyanga, Jamhuri Kiwelu 'Julio' ametangaza kuachana na soka kutokana na uamuzi mbovu wa marefa hapa nchini. Julio alitangza uamuzi huo mara baada ya kumalizika kwa mchezo…
Mwanamuziki wa Bongo fleva, Vanessa Mdee 'Vee Money' amechaguliwa kuwania tuzo za MTV MAMA katika kipengele cha msanii bora wa kike Afrika zitakazofanyika jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini. Vee Money…
Klabu ya soka ya Antalyaspor ya Uturuki imemjumuisha kikosini mshambuliaji wake Samuel Eto'o katika mchezo unafouata dhidi ya Galatasaray hii ikiwa ni kinyume na matarajio ya wengi. Mwenyekiti wa Antalyaspor…
Nyota wa televisheni nchini Marekani Kim Kardashian ameshambuliwa na kuzuiliwa na watu waliokuwa na silaha katika hoteli moja mjini Paris nchini Ufaransa. Msemaji wake anasema nyota huyo wa uigizaji wa…
Tume huru ya Uchaguzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetangaza kuwa uchaguzi mkuu wa nchi hiyo sasa utafanyika Novemba mwaka wa 2018 na wala sio mwaka huu kama ilivyotarajiwa.…
Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) umesema hawamtambui wala hawamtaki katika umoja huo aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba aliyejiuzulu wadhifa huo, kisha kuutengua na kurudishwa…
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Mkoa wa Dar es Salaam, Simon Sirro amesema jeshi hilo limemkamata mtuhumiwa ‘Scorpion’ aliyehusika katika matukio ya unyang’anyi wa kutumia silaha eneo la Buguruni…
Watafiti wawili na dereva mmoja wa Kituo cha Utafiti wa Kilimo cha Selian (SARI) jijini Arusha wameuawa na kisha miili yao kuchomwa moto katika kijiji cha Iringa Mvumi wilayani Chamwino…
Manchestester City leo imepoteza mechi ya kwanza katika ligi kuu nchini Uingereza msimu huu baada ya kupokea kichapo cha magoli 2-0 kutoka kwa Tottenham kwenye mechi iliyofanyika katika uwanja wa…
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Nape Nnauye amepiga marufuku mechi zote za Yanga na Simba kufanyikia uwanja a Taifa kutokana na uharibifu wa mageti na viti uliojitokeza jana…
Mwanamuziki kutoka Kenya, Fredrick Mutinda ‘Brown Mauzo’ ameweka wazi kuwa kabla ya kutoka kimuziki Wakenya wengi walikuwa wakimuona na kumsikia tofauti na kudhani huenda ni Mtanzania. Mauzo anayetikisa kwa sasa…
Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, Mbwana Samatta ametumia kiasi cha milioni 130 kununua gari yake ya kwanza nchini Ubelgiji. Samatta Ameweka picha kwenye akaunti yake ya mtandao wa…
Mkali wa nyimbo ya 'Aje' Alikiba anatarajiwa kufanya show katika mji wa Mombasa nchini Kenya ijulikanayo kama "Mombasa Rocks Music Festival" siku ya Oktoba 8 mwaka huu. Katika show hiyo…
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), George Simbachawene amesema ni wakati wa wananchi wa Dodoma kufurahi kwani tangu walipoahidiwa kuletewa Serikali mwaka…
Serikali imeombwa kudahili zaidi wanafunzi wa fani ya utoaji dawa ili waweze kusaidiana na wafamasia katika utoaji wa dawa sahihi kwa wagonjwa. Akizungumza katika kongamano la wafamasia, Rais wa Chama…
Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger amesema kuwa wachezaji kutoka nchi za Afrika wamekuwa ni wachezaji wenye umuhimu mkubwa katika kazi yake ukocha kwa miaka 20. Wenga alikuwa akizungumza wakati wa…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa jana amehamia rasmi mkoani Dodoma ili kutekeleza agizo la Serikali ya awamu ya tano kuhamia mkoani humo ambako ndiyo makao…
Wikiend hii ligi kuu nchini Uingereza inaendelea leo pamoja na kesho ikiwa ni raundi ya saba toka ligi hiyo maarufu ianze mnamo mwezi Agosti mwaka huu. Hizi ni mechi zitakazochezwa…
Kaya 6,249 katika Wilaya ya Kishapu, mkoani Shinyanga, zitanufaika na ruzuku kutoka Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) katika kipindi cha Septemba hadi Oktoba, mwaka huu. Mratibu wa Tasaf wilayani…
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amelitaka Shirika la Viwango Tanzania (TBS) na wadau wengine kushirikiana kwa hali na mali kuhakikisha wanadhibiti bidhaa hafifu na duni zinazoingizwa na zinazotengenezwa…
Watu wanne wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka ya kukutwa na meno ya tembo na pembe za swala vyote vikiwa na thamani ya Sh milioni…