Alikiba adai kahujumiwa kwenye tamasha la Mombasa
Mkali wa Bongo fleva anayetamba na wimbo wake 'Aje' Alikiba amesema kuwa akupendezewa na kilichotokea kwenye Tamasha la Mombasa baada ya kukatizwa kwa show yake. Alikiba ametumbuiza nyimbo mbili tu…
Mkali wa Bongo fleva anayetamba na wimbo wake 'Aje' Alikiba amesema kuwa akupendezewa na kilichotokea kwenye Tamasha la Mombasa baada ya kukatizwa kwa show yake. Alikiba ametumbuiza nyimbo mbili tu…
Mechi za kufuzu kombe la dunia leo zinaendelea katika bara la Ulaya baada ya jana kuchezwa baadhi ya mechi. Ratiba ya mechi hizo leo Jumatatu Belarus vs Luxembourg Netherlands vs France…
Waziri wa Uejenzi, Uchukuzi na Mawasilano, Prof. Makame Mbarawa ameto wiki mbili kwa mkandarasi wa kampuni ya Chongqing International Construction Corporation (CICO) kutoka China anayejenga barabara ya Tabora- Sikonge yenye…
Mwanamuziki wa miondoko ya Singeli nchini, Snura Mushi amesema anauheshimu sana wimbo wake ‘Chura’ kwa kuwa wimbo huo ndio wimbo wake wa kwanza kumtambulisha vizuri kimataifa. Snura amesema wimbo huo…
Watu 10 wameuawa Jumapili usiku wakati wa makabiliano kati ya wanajeshi na waasi, wanaoaminiwa kutoka nchini Uganda eneo lililo mashariki mwa Jamhuri ya Demokrasi ya Congo. Raia 8 waliuawa kwa…
Mwanamuziki nyota anayefanya vizuri kwasasa Baraka The Prince amesema hakupendezewa na mchekeshaji, Stan Bakora alivyofanya cover ya niymbo yake 'Nisamehe' aliyomshirikisha Alikiba. Stan Bakora ametoa video ya wimbo huo ikimuonesha…
Mugizaji wa Bongo movie, Mwanaheri Ahmed amesema kuwa anapata wakati mgumu kutokana na baadhi ya watu kumfananisha na staa wa filamu za kibongo Riyama Ally. Mwanaheri amesema hivi karibuni amekumbwa…
Aliyekuwa Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk. Didas Masaburi amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). Masaburi amelazwa hospitalini hapo akipatiwa matibabu, ambayo hata hivyo haijawekwa wazi anasumbuliwa…
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) umetoa muda wa miezi miwili kwa wafanyabiashara wanaotumia majina ya biashara pasipo kusajiliwa, wafanye hivyo haraka. Baada ya muda huo kupita, patakuwa…
Klabu ya Yanga imetangaza kutakuwa na Mkutano Mkuu wa dharura utakafanyika Oktoba 23 mwaka huu. Mkutano huo unakuja huku ikiwa ni siku chache baada ya serikali kukataa kuikodisha timu hiyo…
UDART imepiga marufuku usafiri wa bure kwa makundi mbalimbali wakiwemo askari polisi, walemavu, viongozi wa dini na hata walimu. Imesema mageti yaliyokuwa wakiyatumia yafungwe na kila mmoja alipe. Udart imetoa…
Mwalimu Israel Mlowasa (40) wa Shule ya Sekondari Nkuhungu katika Manispaa ya Dodoma, amekutwa ameuawa nyumbani kwake na kiganja chake cha mkono wa kulia kukatwa na kuondoka na wauaji hao.…
Wakuu wa Wilaya jijini Dar es Salaam na mkoa wa Pwani, wamelitaka Shirika la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasco) kuhakikisha kero sugu ya huduma ya maji katika Jiji…
Chama cha ACT-Wazalendo kimeazimia kufanya maadhimisho ya miaka 50 ya Azimio la Arusha Februari mwakani pamoja na kueleza mafanikio na changamoto zake. Maazimio hayo yametokana na mkutano wake wa kwanza…
Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita ameshauri Kiswahili kitumike kufundishia elimu ya sekondari ili kuwasaidia wanafunzi kujua lugha yao ya Taifa. Meya Isaya alitoa kauli hiyo jijini…
Viongozi wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha imeagizwa kukaa meza moja na wawekezaji na wananchi wote wa wilaya hiyo, lengo ni kutatua kero zote…
Jumuia ya wanawake wa Chama cha wananchi CUF (JUKECUF) wamewataka baadhi ya viongozi wa siasa nchini kuacha kuingilia mgogoro wa ndani wa chama hicho. Angalizo hilo limetolewa na Katibu wa…
Spika wa Bunge Job Ndugai amefanya mabadiliko ya Wajumbe wote Ishirini na nne (24) wa Kamati ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI k wa kuunda upya kamati hiyo na kuteua…
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, amesema, Serikali imedhamiria kuimarisha sekta ya kilimo na Utalii ili ziweze kutoa mchango mkubwa kuinua uchumi wa Taifa pamoja na kuwaondoa wananchi…
Mwanamuziki nyota wa Bongo fleva, Alikiba amewapagawisha mashabiki wa muziki huo waliofurika kwenye show ya Mombasa Rocks Music Festival usiku wa kuamkia leo mjini Mombasa. Mashabiki walijitokeza kwenye tamasha hilo…
Viongozi wakuu wa chama cha Republican wanazidi kuondoa uungaji wao mkono kwa Donald Trump kwa matamshi yake ya kuwadhalilisha wanawake. Miongoni mwa wanasiasa wa hivi punde zaidi ni pamoja na…
Mshambuliaji wa Yanga, Amis Tambwe amesema siri ya kuendelea kutikisa nyavu katika michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara bila kushuka ni kwa vile amekuwa hasikilizi maneno ya mashabiki uwanjani. Amesema…
Muigizaji nyota wa Bongo movie, Shamsa Ford amesema kuwa amepokea maswali mengi kutoka kwa mashabiki wake wakimuuliza kama ni kweli ameacha kuigiza baada ya kuolewa. Shamsa Ford amesema kwamba hawezi…
Kiongozi wa upinzani Gabon, Jean Ping, ametaka watu wasishirikiane na Ali Bongo kama kiongozi wa taifa baada ya uchaguzi wa Agosti uliokumbwa na mzozo. Bongo alitangazwa mshindi wa uchaguzi huo,…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli ametaka utekelezaji wa diplomasia ya uchumi utiliwe mkazo katika uwekezaji kwenye sekta ya viwanda. Rais aliyasema hayo Ikulu jijini Dar…
Makamo wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amezindua nembo ya Fahari ya Tanzania pamoja na kutoa tuzo kwa kampuni 50 za hapa nchini zinazofanya vyema…
Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi imezifuta shule nyingine za awali na msingi nchini ambazo hazijasajiliwa zaidi ya 10 kuanzia Desemba mwaka jana. Shule tano kati ya…
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Kabwe Zitto amesema kuwa wataendelea kuunga mkono juhudi za Serikali ya Awamu ya Tano katika kupambana na ufisadi na kujenga uwajibikaji. Zitto amesema kuwa wanaamini…
Kocha wa muda wa timu ya taifa ya Uingereza, Gareth Southgate amepata ushindi wa kwanza toka akibidhiwe mikoba baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Malta kwenye mechi ya kufuzu…
Mwanamuziki nyota wa Marekani, Chris Brown amevunja simu ya shabiki mmoja mara baada ya kuwasili nchini Kenya kwa tamasha la muziki mjini Mombasa. Shabiki huyo mwanamke anamtuhumu Chris Brown ameivunja…