Wanafunzi waliokopeshwa kimakosa kupokonywa mikopo
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imesema itawapokonya mikopo baadhi ya wanafunzi ambao uhakiki utawabaini kuwa hawakuwa wanastahili kupewa mikopo waliyokopeshwa. Utaratibu huo utawagusa wanafunzi wapya…