Rais Magufuli ateua makatibu tawala wa mikoa ya Mara na Rukwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli leo amemteua Bw. Ado Steven Mapunda kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara. Bw. Ado Steven Mapunda anachukua nafasi iliyoachwa…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli leo amemteua Bw. Ado Steven Mapunda kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara. Bw. Ado Steven Mapunda anachukua nafasi iliyoachwa…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amezitaka nchi za Sudan Kusini na Burundi kudumisha amani kwa ajili ya maendeleo ya wananchi na jumuiya ya Afrika…
Kundi la The Heroes ambalo lilishiriki Dance100% mwaka huu na kufanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali na hatimaye kushindwa kufuzu fainali limesema litaimarisha kundi lao ili kuendelea kushiriki kazi nyingine.…
Maafisa wa uchukuzi wa ndege nchini Marekani wamewatahadharisha abiria wanaosafiri kwa ndege kutofungulia au kuchaji simu za Samsung Galaxy Note 7 wakiwa ndani ya ndege. Taasisi ya Uchukuzi wa Ndege…
Kesho siku ya jumamosi ligi kuu nchini Uingereza inaendelea katika viwanja tofauti nchini humo lakini macho na msikio ya watu yatakuwa katika uwanja wa Old Trafford ambapo Manchester United watakuwa…
Juhudi za uokoaji za kuwanasua watalii 45 ambao wamekwama kwenye magari ya kutumia kamba katika mlima wa Mont Blanc nchini Ufaransa zimeanza tena. Watalii hao walilala usiku wa Alhamisi kwenye…
Watu wanne wajeruhiwa baada ya gari moja lililokuwa kwenye msafara wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu kutoka Mtwara kwenda wilayani Tandahimba kuanguka maeneo ya…
Mwanamuziki wa Hip Hop nchini Marekani, Sean John Combs maarufu kama 'P. Diddy' ameendelea kuongoza orodha ya marapa wa nchi hiyo wanaoingiza mkwanja mrefu zaidi kwa kipindi cha mwaka mmoja. Kwa…
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Simon Sirro ametoa rai kwa wakazi wa jiji hilo na wageni wanaoingia jijini humo kutoka katika mikoa mbalimbali kupuuza taarifa za…
Shirikisho la soka duniani FIFA limetupilia mbali rufaa zilizowasilishwa na klabu za Real Madrid na Atletico Madrid za Hispania baada ya kufungiwa kufanya usajili hapo Januari mwaka huu. FIFA wamekataa rufaa za timu…
Mwanamuzi maarufu wa R&B nchini Marekani, Usher Raymond amepewa tuzo ya Heshima ya Hollywood Walk of Fame. Tuzo hiyo imetokana na mafanikio, mchango na ushawishi wake kwenye muziki nchini Marekani…
Mahakama Kuu imezuia kupigwa mnada kwa vifaa vya kampuni ya Mbowe Hotels, inayomilikiwa na mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kutokana na mzozo wa kodi ya pango baina ya kampuni hiyo…
Mchezaji tenisi namba moja kwa ubora kwa upande wa wanawake, Serena Williams ametolewa kwenye mashindano ya wazi maarufu kama US Open yanayofanyika jijini New York nchini Marekani baada ya kufungwa…
Kiongozi wa chama cha upinzani nchini Gabon, Jean Ping amekata rufaa kwenye mahakama ya katiba kupinga matokeo yaliyompa ushindi rais Ali Bongo ambapo amesema aliibiwa kura kwenye uchaguzi uliopita. Rais…
Kampuni ya Apple imezindua toleo jipya la simu zake 'iPhone 7' ambayo inatumia earphone zisizo na waya 'wireless earphones'. Simu hiyo ya iPhone 7 badala yake itatumia teknolojia ya Apple…
Mwanamuziki maarufu wa Marekani, Tyga amejiunga na lebo ya G.O.O.D. Music inayomilikiwa na rapa Kanye West. Yeezy alitoa tangazo hilo wakati wa show yake jijini New York hapo jana. Tyga…
Rais wa Marekani, Barack Obama na kiongozi wa Ufilipino, Rodrigo Duterte wamekutana ana kwa ana siku moja baada ya kiongozi huyo wa Ufilipino kuonekana kumtusi Bw Obama. Obama alifutilia mbali…
Klabu ya Crystal Palace imemsajili kiungo wa zamani wa Arsenal, Mathieu Flamini ambapo amesaini mkataba wa mwaka mmoja mpaka mwisho wa msimu huu. Flamini mwenye umri wa miaka 32 ameondoka…
Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe ameiomba serikali itoe upendeleo kwa shule zote ambazo wazazi wamejitahidi na kuanzisha mabweni kwa ajili ya kidato cha tano na sita…
Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles Tizeba amesema watanzania wengi hawali nyama kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo uelewa mdogo wa virutubisho vya protini vilivyomo kwenye nyama. Dkt. Tizeba…
Mwanamuziki wa Bongo fleva, Mr Blue amedai kuwa watu wengi walikuwa wakitamani kuona collabo kati yake pamoja na Ali kiba jambo ambalo lilikuwa linawindwa kwa muda mrefu. Mr Blue amesema…
Mgombea urais nchini Marekani kupitia chama cha Republican, Donald Trump amemmwagia sifa rais wa Urusi, Vladimir Putin alipokuwa akipokea maswali kutoka kwa wanajeshi wastaafu. Mgombea urais huyo wa chama cha…
Michuano ya Olimpiki kwa watu wenye ulemavu imeanza jana mjini Rio de Janeiro nchini Brazil. Waandaaji wa michuano hiyo wameahidi kuwepo kwa shamra shamra za kila namna katika sherehe za…
Wanajeshi wa Umoja wa Mataifa wanaolinda Amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamesema wamesaidia kuwasafirisha zaidi ya wapiganaji 100 kutoka Sudan Kusini hadi vituo vya afya nchini DRC kupokea…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema serikali itatuma kikosi maalum cha kukabiliana na uvuvi haramu unaoendelea katika bahari ili kudhibiti na tatizo hilo…
Mshambuliaji wa Manchester United, Zlatan Ibrahimovic amemtumia ujumbe golikipa wa Manchester City, Claudio Bravo kupitia Facebook kufuatia mechi ya Manchester derby siku ya jumamosi. Zlatan ambaye ni mfungaji anayeongoza kwa…
Tume ya haki za binadamu nchini zimbabwe imesema kuwa watu wanaounga mkono upinzani, walio kwenye maeneo yenye ukame wamenyimwa misaada ya chakula na chama tawala cha ZANU-PF. Mwenyekiti wa bodi…
Makundi ya waasi yanayohasimiana katika jimbo lenye utajiri wa mafuta la Cabinda nchini Angola wamesema kuwa wamewauwa wanajeshi 12 wa serikali ya nchi hiyo. Makundi hayo maarufu kama Flec yamesema…
Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya imewasimamisha kazi maafisa wake watatu, mmoja wamempa onyo kali na mwingine kushushwa cheo kutokana na watumishi hao kukumbwa na tuhuma mbali mbali ikiwemo ubadhilifu. Maamuzi…
Staa wa Bongo Movie, Aunty Ezekiel amesema hayuko tayari kuolewa kwasasa na kwamba bado hajafikiria kuolewa kwa kuwa suala la ndoa linahitaji maandalizi zaidi. Aunty Ezekieli amesema kuwa ndoa sio…