Kilimanjaro Queens yafuzu nusu fainali ya CECAFA
Timu ya Taifa ya Tanzania Bara ya wanawake 'Kilimanjaro Queens' imefuzu Nusu Fainali ya michuano ya Kombe la Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge kufuatia ushindi wa mabao 3-2 dhidi…
Timu ya Taifa ya Tanzania Bara ya wanawake 'Kilimanjaro Queens' imefuzu Nusu Fainali ya michuano ya Kombe la Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge kufuatia ushindi wa mabao 3-2 dhidi…
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa RITA, Emmy Hudson amesema wataanza kutoa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto chini ya umri wa miaka mitano bila ya malipo katika ofisi za kata pamoja…
Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Soka la Ufukweni, John Mwansasu amemuita Kipa wa Mbeya City ya Mbeya, Juma Kaseja Juma kuongeza nguvu kwenye kikosi chake. Mwansasu amesema kwamba…
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) iko mbioni kuanzisha mfuko wa hija kuwawezesha Waislamu wasiokuwa na uwezo lakini wana nia ya kwenda kutekeleza ibada ya hija. Katika hotuba yake ya Baraza la …
Mechi za klabu bingwa barani Ulaya leo zinaanza katika viwanja tofauti barani humo huku mechi ya ngumu kabisa ikitazamiwa kuwa kati ya PSG ya Ufaransa na Arsenal ya Uingereza. Tazama…
Mwanamuziki nyota wa Bongo fleva, Harmonize kutoka WCB wikiendi iliyoisha siku ya jumamosi aliamua kwenda kufarahia siku hiyo katika mbuga ya wanyama ya Serengereti. Kwenye safari yake hiyo mwanamuziki huyo…
Mshambuliaji wa Everton, Romelu Lukaku ameshinda magoli matatu 'Hat trick' kwenye mechi ya ligi kuu nchini Uingereza dhidi ya Sunderland iliyofanyika katika uwanja wa Light jana usiku. Mpaka kipindi cha…
Waogeleaji wa Uingereza, Sascha Kindred, Ellie Simmonds na Susie Rodgers wameshinda medali za dhahabu katika michuano ya kuogelea ikiwa ni siku ya tano ya michuano ya Rio Paralimpiki. Kindred na…
Waziri wa habari Sudan Kusini, Michael Maquei Lueth amesema kuwa serikali haitajibu madai ya ripoti mpya inayodai kuwa viongozi wa nchi hiyo wananufaika kutokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe…
Mwanamuziki nyota wa Bongo fleva, Alikiba anatarajiwa kutumbuiza kwenye utoaji wa tuzo za MTV MAMA zitakazofanyika katika jiji la Johannesburg nchini Afrika Kusini Oktoba 22 mwaka huu. Meneja wa msanii…
Mgombea urais wa chama cha Democratic nchini Marekani Hillary Clinton amefuta mkutano wake wa kampeni jimbo la California baada yake kuugua. Bi Clinton amechukua hatua hiyo baada ya kugunduliwa kwamba…
Tetemeko lingine la ardhi limetokea tena usiku wa kuamkia leo huko Kagera kwenye Manispaa ya Bukoba ambalo limewafanya baadhi ya wananchi kulala nje kuhofia usalama wao. Taarifa zilizotoka mkoani humo…
Mshambuliaji wa Nice, Mario Balotelli amesema kujiunga na Liverpool ulikuwa uamuzi mbaya zaidi aliowahi kuufanya maishani mwake. Mshambuliaji huyo alifunga mabao manne katika mechi 28 alizochezea Liverpool baada ya kujiunga…
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muunganio wa Tanzania, Kassim Majaliwa leo ameongoza ibada ya sikukuu ya Eid Al Hajj katika viwanja vya Mwembe Yanga wilaya ya Temeke jijini Dar es…
Staa wa Bongo fleva, Nasib Abdul "Diamond Platnumz" jana amefanya show ya kufa mtu katika mji wa Mombasa nchini Kenya na kuhudhuriwa na maelfu ya mashabiki ambao walionesha kumkubali mkali…
Takriban Mahujaji wa kiislamu milioni 1.5 wamekusanyika nchini Saudi Arabia chini ya ulinzi mkali, kabla ya kuanza rasmi ibada ya hijja ya kila mwaka. Magari yamepigwa marufuku ya kukaribia msikiti…
Mgombea urais wa Marekani kupitia chama cha Democratic, Hillary Clinton amesema kuwa anasikitika kuwaita mashabiki wa mpinzani wake wa Republican, Donald Trump kama kundi la watu wasiostahili heshima. Katika taarifa…
Mwanamuziki wa Bongo fleva, Sunday Mjeda 'Linex' amesema kuwa anatarajia kufanya kolabo na staa wa muziki kutoka nchini Uganda, Jose Chameleone hivi karibuni. Linex amesema tayari ameshamtumia Jose Chameleone beat…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa anatarajiwa kuongoza waombolezaji kuaga miili ya waliokufa kwenye tetemeko la ardhi mjini Bukoba mkoani Kagera. Wananchi kwa makundi wanaelekea katika…
Mwanamuziki wa hip hop nhini Marekani, Desiigner amekamatwa na polisi kwa kosa la kukutwa na silaha na dawa za kulevya. Kwa mujibu wa mtandaa wa TMZ rapa huyo amekamatwa kutokana…
Tetemeko la ardhi lenye ukubwa (magnitude) wa 5.7 limetokea jioni hii katika mikoa ya Mwanza, Kagera na sehemu za Shinyanga.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya 11. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji mmoja na Mkurugenzi wa Halmashauri…
Benki Kuu ya Tanzania imesema Tanzania iko sawia katika muelekeo wa kufikia kukua kwa uchumi kwa asilimia 7.2 mwaka huu. Benki hiyo imekanusha madai ya baadhi ya wabunge wa…
Mwanamuziki wa Bongo fleva, Naj amesema kuwa afanyi kazi kwa kutafuta 'kiki' kwasababu anaamini ana kipaji cha hali ya juu kwa hiyo hawezi kufanya hivyo kama baadhi ya watu wanavyosema.…
Kocha wa zamani wa Simba, James siang’a amefariki dunia nyumbani kwake eneo la Bungoma nchini Kenya usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua kwa muda mrefu. Katibu wa chama…
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isack Kamwele amesema serikali ipo katika hatua za mwisho za kuanza mradi wa kutoa maji katika mto Ruvuma kwenda katika manispaa ya Mtwara…
Staa wa Bongo Movie, Jacob Stephen 'JB' amesema kuwa hawalaumu wasanii ambao wamekuwa wakiendesha maisha yao ya sanaa kwa kutafuta 'kiki' au kufanya skendo ili wapate umaarufu. Amesema kwa upande…
Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Godwin Gondwe amekamata malori saba yakisafirisha madini ya chuma aina dolomite yanayotumika kutengeneza saruji. Gondwe amesema kati ya malori saba walifanikiwa kukamata matano, huku mawili madereva wakiwahi…
Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho amesema itakuwa vigumu kucheza dhidi ya Manchester City wakiwa bila mshambuliaji, Sergio Aguero. Mshambuliaji huyo wa Argentina, 28, amefungiwa kutocheza mechi tatu baada ya…
Staa wa Bongo fleva, AY amewashauri watangazaji wa redio na TV hapa nchini kuchangamkia fursa kwenye vituo vya TV na redio vya kimataifa ili kuwa watetezi wa muziki wa Tanzania.…