Dully Sykes: Siwezi kutoa albamu kwasasa
Mwanamuziki mkongwe wa Bongo fleva, Dully Sykes amesema kuwa hawezi kutoa album kabisa kwasababu anaamini hazina faida kama zamani ambapo zilikuwa zinalipa zaidi kulinganisha na siku hizi. Mkali huyo wa…
Mwanamuziki mkongwe wa Bongo fleva, Dully Sykes amesema kuwa hawezi kutoa album kabisa kwasababu anaamini hazina faida kama zamani ambapo zilikuwa zinalipa zaidi kulinganisha na siku hizi. Mkali huyo wa…
Umoja wamataifa (UN) umesitisha misafara yote ya misada nchini Syria baada ya malori ya Umoja huo kushambuliwa na ndege za kivita karibu na mji wa Aleppo hapo jana. Msafara huo…
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Nape Nnauye amesema kuwa mfumo wa kuingia uwanja wa Taifa kwa tiketi za Elektroniki utaanza kutumika rasmi oktoba 1 mwaka huu kwenye mechi…
Mwanamuziki wa Marekani, Justin Bieber na mpenzi wake Sofia Richie wadaiwa kuachana baada ya kutoonekana wakiwa pamoja kwa muda mrefu. Chanzo cha karibu cha wawili hao kimesema kuwa Bieber na…
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo ameagiza fedha zilizookolewa katika malipo ya posho zisizo halali kwa madiwani zitumike kuwalipa madeni walimu wa shule za msingi na sekondari mkoani humo.…
Balozi wa Japani nchini, Masaharu Yoshida amesema kuwa Serikali ya nchi yake ipo tayari kukarabati shule zilizoharibiwa na tetemeko la ardhi lililotokea mkoani Kagera na kusababisha maafa makubwa. Pia imeomba…
Mwanamuziki nyota wa Marekani, Beyonce Knowles ameshindwa kutumbuiza kwenye sherehe za utoaji wa tuzo za Emmy baada ya kusumbuliwa kiafya na kumfanya ashindwe kuhudhuria sherehe hizo. Mwanamuziki huyo alitakiwa kutoa…
Klabu ya Azam FC imesema kwasasa wanaangalia michezo inayofuata hususani mchezo utakaopigwa Septemba 24 dhidi ya timu ya Ndanda FC katika uwanja wa Nangwanda Sijaona mkaoani Mtwara. Afisa Habari wa…
Watu 12 wamefariki na wengine tisa kujeruhiwa baada ya basi la kampuni ya New Force kupinduka katika eneo la Ilongwe kata ya Kifanya, Mkoani Njombe na kupelekea vifo hivyo pamoja…
Korea Kaskazini imefanya jaribio mtambo mpya wa kurusha roketi ambao unaweza kutumiwa kurusha setilaiti angani. Kiongozi wa taifa hili Kim Jong-un, amewataka wanasayansi na wahandisi nchini humo kufanya maandalizi ya…
Muigizaji nyota wa Bongo movie, Wema Sepetu ameamua kuifutilia mbali kundi la team Wema katika mitandao ya kijamii kwa madai wao ndio chanzo cha matatizo mengi katika maisha yake kwa…
Watu 50 wameuawa wakati wa mandamano ya kumpinga rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Joseph Kabila hapo jana mjini Kinshasa baada ya polisi kufyatua risasi. Upinzani umevilaumu vikosi vya…
Klabu ya Real Madrid imevunja rekodi ya Barcelona baada ya kushinda mechi 16 kwenye ligi nchini Uhispania baada ya kuilaza Espanyol 2-0 kwenye mechi ya La Liga hapo jana. Ushindi…
Mwanamuziki mkongwe wa miondoko ya hip hop nchini Marekani, Snoop Dogg amejinyakulia tuzo ya heshima ya, I Am Hip-Hop kwenye utoaji wa tuzo za hip hop zilizofanyika katika ukumbi wa…
Waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi, William Lukuvi amepiga marufuku wananchi kuuza ardhi kwa wawekezaji wa kigeni bila ya ruhusa ya Serikali. Waziri huyo ametoa agizo hilo katika…
Chama cha Christian Democrats cha Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel kimepoteza viti vingi katika mji wa Berlin kufuatia kura zilizopigwa kwenye uchaguzi wa majimbo nchini Ujerumani. Chama cha Mrengo wa…
Mwanamuziki wa hip hop nchini Marekani, DJ Khaled amepewa tuzo na RIAA (Recording Industry Association of America) baada ya single yake ya 'For Free' kufikisha mauzo ya Platinum. DJ Khaled kupitia kupitia ukurasa wake…
Kiungo wa Tottenham, Dele Alli amesaini mkataba mpya kwenye timu hiyo ambapo utamuwezesha kubakia mpaka msimu wa mwaka 2022. Dele Alli mwenye umri wa miaka 20 ameungana na wachezaji wenzake…
Filamu ya televisheni ya Game of Thrones kwa mara nyingine imezoa tuzo nyingi katika tuzo kuu za vipindi vya televisheni Marekani zinazofahamika kama tuzo za Emmy. Washindi wa tuzo hizo…
Mlipuko umetokea jijini New York, katika eneo la Chelsea, Wilaya ya Manhatan ambapo watu 29 wamejeruhiwa na hakuna aliyepoteza maisha. Polisi wanashuku huenda mlipuko huo ulisababishwa na kifaa cha kilipuzi…
Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho amesema kuwa waamuzi wanaocheza mechi dhidi ya timu yake ndiyo chanzo cha kupotea mechi hizo kwenye mashindano tofauti barani Ulaya. Jana Manchester United imepoteza…
Muigiza mkongwe wa Marekani, Charmian Carr, aliyeigiza binti mkubwa wa familia ya von Trapp Liesl katika filamu ya The Sound of Music iliyozinduliwa mwaka 1965 amefariki dunia akiwa na miaka…
Timu ya taifa ya wanawake Tanzania Bara 'Kilimanjaro Queens' imetinga fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge baada ya ushindi wa 4-1 dhidi ya Uganda.…
Watu wawili wamepoteza maisha na wengine watano kujeruhiwa baada ya kupigwa na radi wakati wakiwa wamejikinga mvua chini ya mti katika kijiji cha Ntundu, Kata ya Busangi katika Halmashauri ya…
Mwanamuziki mkongwe wa miondoka ya kwaito nchini Afrika Kusini, Mduduzi Tshabalala 'Mandoza' amefariki akiwa na umri wa miaka 38 baada ya kuugua saratani kwa kipindi cha mwaka mmoja. Mandoza alisifika…
Timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys imefanikiwa kushinda mabao 3-2 dhidi ya Congo – Brazaville katika mchezo wa kwanza wa kuwania tiketi ya…
Shusha pumzi, hayakuwa mashindano na wala hakukuwa na lengo la kuwafanya Diamond Platnumz a.k.a Dangote na Ali Kiba a.k.a King ‘watoane jasho’! Mastaa hao wa Tanzania walijikuta wakifanya shoo kwenye…
Klabu ya Manchester United imefungwa kwa mara ya tatu mfululizo katika kipindi cha wiki moja baada ya kufungwa 3-1 dhidi ya Watford kwenye mechi ya ligi kuu nchini Uingereza. Watford…
Manchester City imeendeleza wimbi la ushindi kwenye ligi kuu nchini Uingereza baada ya kuifunga FC Bournemouth jumla ya goli 4-0 katika mechi iliyofanyika katika uwanja wa Etihad jijini Manchester. Kufuatia…
Ligi kuu Tanzania Bara imeendelea leo katika viwanja tofauti hapa nchini ambapo Simba SC imefanikiwa kuifunga Azam FC 1-0 kwenye mechi iliyofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.…