Timu 16 zafuzu Afcon mwakani
Mechi za mwisho za kufuzu kombe la Mataifa ya Afrika zimehitimishwa jana ambapo timu 16 zimekata tiketi ya michuano hiyo mikubwa barani Afrika itakayofanyika Gabo mwakani. Timu 16 ambazo zitashiriki…
Mechi za mwisho za kufuzu kombe la Mataifa ya Afrika zimehitimishwa jana ambapo timu 16 zimekata tiketi ya michuano hiyo mikubwa barani Afrika itakayofanyika Gabo mwakani. Timu 16 ambazo zitashiriki…
Serikali mkoani Dodoma inatarajia kufanya operesheni ya kuwaondoa watoto wa mitaani, ambao wamekuwa kero kwa wapita njia na wateja wanaokula hotelini, ambao huwanyang’anya chakula na hata vinywaji wateja. Mkuu wa…
Makundi matano yamefanikiwa kutinga hatua ya fainali ya Mashindano ya Dance 100% baada ya mchuano mkali wa makundi kumi kuonesha uwezo wa hali ya juu, katika hatua ya nusu fainali.…
Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe amewalaumu mahakimu wanaoruhusu maandamano dhidi ya serikali ambayo yanandelea nchini humo. Mugabe amesema mahakimu wanadharau amani, na akawaonya kutothubutu kuonesha dharau wanapofikia uamuzi. Wafuasi wa…
Mkurugenzi wa Mkubwa na Wanae Foundation pamoja na Yamoto Band, Said Fella amesema anatarajia kumuachia Temba kuwasimamia kundi la Yamoto Band pamoja na Foundation ya Mkubwa na Wanawe. Fella amesema…
Taifa stars imehitimisha mechi za Kundi G kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa kufungwa bao 1-0 na wenyeji Nigeria jioni ya leo Uwanja wa Uyo Akwa Ibom.…
Kiungo wa Manchester United, Bastian Schweinsteiger ameachwa kwenye kikosi cha wachezaji 27 kwa ajili ya mashindano ya Europa Ligi msimu huu. Jana kiungo huyo alijumuishwa kwenye kikosi cha Manchester United…
Muigizaji nyota wa Bongo movie, Shamsa Ford amefunga ndoa na Rashidi Said ‘Chidi Mapenzi’ ambaye ni mfanyabiashara wa maduka ya nguo hapa nchini. Sherehe za ndoa hiyo zimefanyika nyumbani kwa…
Waziri Mkuum wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameahidi kufanya linalowezekana ili kupunguza msongamano wa watu wanaofika katika hospitali ya taifa ya Muhimbili kupata matibabu. Waziri mkuu amesema…
Mchezaji wa Real Madrid Gareth Bale anasema kuwa hashtushwi na hatua ya kupoteza taji la kuwa mchezaji ghali zaidi duniani alilopoteza kwa Paul Pogba. Bale alipoteza taji hilo kwa Pogba…
Mashindano ya urembo ya idara ya magereza nchini Kenya yalifanyika wiki hii katika jela ya wanawake iliyoko Langata mjini Nairobi. Washiriki huwa ni wanawake wafungwa pamoja na wale wako rumande,…
Muigizaji maarufu wa filamu, Jackie Chain anatarajia kupokea tuzo ya heshima ya Oscar kutokana na mchango wake mkubwa katika tasnia ya filamu duniani. Wengine walioidhinishwa kupewa tuzo hizo za Oscar…
Winga wa zamani wa Taifa stars, Mrisho Ngassa amevunja mkataba na timu ya Free State Stars ya Afrika kusini baada ya pande zote mbili kufikia makubaliano ya kuvunjika kwa mkataba…
Mwanamuziki maarufu nchini Marekani, Dj Khaled anatarajiwa kusherehesha tuzo za BET Hip-Hop Awards zitakazofanyika mwaka huu. Dj Khaled alikuwa mshehereshaji katika tuzo za MTV Video Music Awards zilizofanyika wiki iliypita…
Kundi la The Quest Crew kutoka Magomeni Jijini Dar es Salaam limetamba kufanya maajabu yatakayofanya kuibuka na ushindi wa Dance100% mwaka 2016 kutokana na maandalizi waliyofanya. Mwenyekiti wa kundi hilo…
Kiungo wa Manchester United, Bastian Schweinsteiger amejumuishwa kwenye kikosi cha wachezaji 25 wa klabu hiyo kwa ajili ya ligi kuu nchini Uingereza iliyoanza mwezi Agosti mwaka huu. Hapo awali kiungo…
Staa wa muziki wa dansi nchini, Christian Bella amesema amepata shida sana wakati wa kurekodi wimbo wa msanii wa Hip Hop, Fid Q unaoitwa 'Roho' kutokana na ugumu wa mashairi…
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ameviagiza vyombo vya dola kufanya doria katika bahari ya India ili kudhibiti uvuvi haramu ambao umekuwa ukiathiri uchumi wa mkoa wa Pwani na taifa zima…
Viongozi wa mashtaka nchini Uswizi wameanzisha uchunguzi wa uhalifu kuhusu mchezaji wa zamani nchini Ujerumani, Franz Backenbauer na wengine watatu kuhusu ombi la Ujerumani la kombe la dunia la mwaka…
Baraza la Usalama la umoja wa mataifa (UN) limetoa wito kwa wagombea wakuu na wafuasi wao nchini Gabon kujizuia kufanya fujo na badala yake kutatua mzozo wa sasa kupitia njia…
Timu ya taifa ya Brazil imefanikiwa kuitandika Ecuador 3-0 kwenye mechi ya kufuzu kombe la dunia mwaka 2018 nchini Urusi iliyofanyika jana usiku. Mshambuliaji wa Barcelona, Neymer junior alikuwa wa…
Yamoto Band wapo jijini Nairobi nchini Kenya kwa ajili ya kuiwakilisha Tanzania kwenye msimu wa nne wa Coke Studio Africa. Yamoto Band wataonekana kwa mara ya kwanza kwenye show hiyo…
Kampuni ya Acer imezindua laptopu ya kwanza ilio na kioo kilichojipinda tofauti kabisa na laptopu za hapo awali za kampuni hiyo. Kmpuni hiyo imesema kuwa uvumbuzi huo utaiwezesha kucheza michezo…
Vikosi vya usalama nchini Gabon vimevamia makao makuu ya chama cha mgombea urais aliyeshindwa Jean Ping. Bwana Ping amekiambia kituo kimoja cha redio kutoka Ufaransa RMC kwamba amekimbia mafichoni kufuatia…
Muigizaji na mchekeshaji maarufu wa Bongo Movie, Steven Mangere (Steve Nyerere) anatarajia kufanya show yake ya uchekeshaji jijini Dar es Salaam siku ya Jumamosi. Steve Nyerere amesema show hiyo ameipa…
Baada ya tetesi kuenea mitaani kwamba muimbaji wa Bongo fleva, Mwasiti Almas anachukia mafanikio ya mwanamuziki mwenzake, Vanessa Mdee, mwanamuziki huyo amekanusha taarifa hizo. Mwasiti amesema kwamba taarifa hizo si…
Waziri wa fedha na mipango nchini, Dr Philip Mpango ameagiza kuondolewa kazini kwa wafanyakazi wanne wa mamlaka ya mapato Tanzani (TRA) katika kituo kidogo cha Forodha cha Manyovu kilichopo mpakani…
Kiungo wa zamani wa Simba SC na Azam FC, Abdulhalim Humud amejiunga na klabu ya Real Kings FC ya Ligi Daraja la Kwanza nchini Afrika Kusini. Humud ambaye msimu uliopita…
Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya limesema kuwa limebaini kundi kubwa la vijana walio chini ya umri wa miaka kumi na minane kutumika katika matukio ya wizi pamoja na uporaji wa…