Rashford apiga tatu baada ya Uingereza U-21 kuifumua Norway 6-1
Mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford amefunga magoli matatu baada ya timu yake ya Uingereza chini ya umri wa miaka 21 kuifunga Norway 6-1 kwenye mechi ya kufuzu kombe ka…
Mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford amefunga magoli matatu baada ya timu yake ya Uingereza chini ya umri wa miaka 21 kuifunga Norway 6-1 kwenye mechi ya kufuzu kombe ka…
Halmashauri nchini zimetakiwa kuweka mikakati madhubuti itakayosaidia kuwezesha walimu kutekeleza kwa umahiri mtaala uliofanyiwa maboresho pindi utakapoanza kutumika. Wito huo umetolewa wakati wa kufungwa kwa mafunzo ya mtaala ulioboreshwa wa…
Mwanamuziki wa Marekani, Taylor Swift ameachana na mpenzi wake Tom Hiddleston aliyedumu naye kwa miezi mitatu tu kwenye mahusiano yao. Wawili hao waliingia kwenye mahusiano baada ya Swift kutengana na…
Apple inatarajiwa kuzindua simu mpya ya iPhone 7 wengi wakitarajia kuona ikiwa simu hiyo mpya itaendelea kutumia kifaa ya kusikizia sauti yaani headphone jack. Uzinduzi huo unafanyika siku chache baada…
Spika wa Bunge, Job Ndugai amewarejesha ndani ya ukumbi wabunge wa Upinzani lakini akawaambia kuwa wanatakiwa kuwa na umoja, ustahimilivu, busara, hekima, kuzingatia Kanuni na Sheria pamoja na lugha zenye…
Rais wa Gabon, Ali Bongo amesema yuko tayari kutii uamuzi wa Mahakama ya Kikatiba iwapo mahakama hiyo itaagiza kura za uchaguzi mkuu uliofanyika wiki mbili zilizopita zihesabiwe upya. Waangalizi wa…
Shirikisho la soka nchini TFF limesema kuwa uwanja wa Uhuru maarufu kama shamba la bibi utaanza kutumiwa kwa mechi za ligi kuu Tanzania bara na ligi daraja la kwanza msimu…
Mwanamuziki nyota nchini Marekani, Beyonce amelazimika kuahirisha tamasha lake la New Jersey linalojulikana kwa jina la 'World Tour' baada ya madaktari wake kumshauri kupumzisha sauti yake. Beyonce ambaye amesheherekea siku…
Mfanyabiasha Leonard Materu (31) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashitaka ya kutuma ujumbe wa kumtishia Rais John Magufuli kupitia mtandao wa WhatsApp. Materu ambaye ni…
Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho ameshinda tuzo ya kocha bora wa mwezi Agosti ligi kuu nchini Uingereza baada ya kuwashinda makocha, Antonio Conte wa Chelsea, Pep Guardiola wa Manchester…
Mwanamke mwenye asili ya Kihindi, Priyanka Yoshikawa ameshinda taji la malkia wa Urembo nchini Japan ikiwa ni mara ya pili mfululizo kwa mtu mwenye asili ya makabila mawili kushinda taji…
Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir amemtumia ujumbe Rais Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki akimuarifu kuwa hali ya usalama katika nchi hiyo imeanza kutengemaa. Rais…
Mkutano wa nne wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umeanza leo mjini Dodoma huku miswada sita ukiwemo wa sheria ya upatikanaji wa habari ukitarajiwa kuchukua nafasi…
Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) imetahadharisha kuchelewa kwa mvua za vuli na kusema hata zitakazonyesha, zitakuwa ni za wastani au chini ya wastani katika maeneo mengi ya nchi katika…
Rais wa Marekani, Barack Obama amevunja mkutano wake na Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Ufilipino. Hapo awali Obama amesema kwamba angemuuliza kiongozi huyo…
Mwanamuziki wa hip hop nchini, Nikki Mbishi amesema kuwa meneja wa wasanii, Babu Tale ni jipu ambalo rais Magufuli pamoja na waziri wa Habari, Utamaduni Wasanii na Michezo, Nape Nnauye…
Waziri wa haki nchini Gabon, Seraphim Moundounga amejizulu kulalamikia utata ambao umegubika matokeo ya uchaguzi wa urais uliofanyika nchini humo wiki moja iliyopita. Waziri huyo amemuonya Rais Ali Bongo ambaye…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewahakikishia wananchi wa Zanzibar kuwa atasimamia kwa nguvu zote masuala yote yanayohusu maendeleo, kudumisha Muungano wa Tanzania Bara na…
Naibu Waziri wa Tamisemi, Suleiman Jafo amepata ajali eneo la Katela Kata ya Kiwira, Wilaya ya Rungwe Mbeya. Ajali hiyo imehusisha gari dogo aina ta Corola iliyokuwa ikotokea Mbeya kwenda…
Mshambuliaji wa Manchester United, Zlatan Ibrahimovic amechaguliwa kuwa mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi kupitia tovuti ya Eurosport kwa mwezi Agosti barani Ulaya. Ibrahimovic alifanikiwa kupata kura nyingi…
Serikali ya Somalia imesitisha kwa muda ndege zote zinazoingiza miraa kutoka taifa jirani la Kenya na kuingia nchini mwao. Biashara hiyo ina thamani ya mamia ya mamilioni ya madola kila…
Ukitaka kutumia kiki kwa kumtumia Mr. Blue jiulize ‘nahatarisha ndoa yake?’ kama hujajiuliza swali hilo ‘sahau kutumia jina la staa huyo’. Staa huyo wa muda mrefu kwenye gemu ya Bongo…
Serikali imesema ipo kwenye hatua za mwisho za kukamilisha ujenzi wa kituo kipya kikubwa cha kuzalisha umeme unaoanzia mkoani Iringa hadi Shinyanga. Asilimia 99% ya ujenzi huo umekamilika na kiinategemewa…
Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA imetenga eneo la biashara la Kariakoo Jijini Dar es salaam kuwa Mkoa Maalum wa Kodi kutokana na kuwa kitovu cha biashara hapa nchini. Mkurugenzi wa…
Aliyekuwa meneja wa kundi la N.W.A, Jerry Heller amefariki dunia baada ya kupata ajali ya gari siku ya Ijumaa na amefariki akiwa na miaka 75. Baada ya ajili hiyo alikimbizwa…
Waziri wa Nchi Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama ameiagiza Bodi ya Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, kutoa taarifa haraka kuhusu…
Mwananmuziki maarufu nchini Marekani, Lil Wayne ametangaza kustaafu muziki anaofanya kwasasa. Kupitia ukurasa wake wa Twitter mwanamuziki huyo aliandika: "Sasa sijiwezi tena, haka kiakili, na naondoka kwa staha na nashukuru…
Nchi za Marekani na China ambazo kwa pamoja huzalisha gesi chafu ya kaboni duniani kwa 40% zimekubali change mkono makubaliano yaliyopo kwenye mkataba wa hali ya hewa uliosainiwa kwenye mji…
Mgombea wa urais nchini Marekani kupitia chama cha Republican, Donald Trump amezuru kanisa moja la watu weusi mjini Detroit katika jaribio la kuchukua kura za watu walio wachache kutoka kwa…
Umoja wa Mataifa umesema lazima zifanywe juhudi zaidi za kulinda uhuru wa vyombo vya habari nchini Somalia baada ya waandishi wa habari 30 kuawa katika miaka mine iliyopita. Shirika la…