Rio: Murray atetea taji lake Olimpiki
Mchezaji tenisi wa Uingereza, Andy Murray amefanikiwa kutetea taji lake la Olimpiki kwa upande wa wanaume baada ya kumfunga Juan Martin del Potro kwa seti nne katika mashindano ya Olimpiki…
Mchezaji tenisi wa Uingereza, Andy Murray amefanikiwa kutetea taji lake la Olimpiki kwa upande wa wanaume baada ya kumfunga Juan Martin del Potro kwa seti nne katika mashindano ya Olimpiki…
Kundi la kigaidi la Boko Haram limetoa kanda ya video, wanayodai inaonyesha wasichana waliotekwa nyara katika eneo la Chibok miaka miwili iliyopita. Video hiyo, inamuonyesha mwanamume mmoja aliyejifunika uso wake,…
Mjamaika, Usain Bolt amekuwa mwanaridha wa kwanza kushinda mataji matatu mfululizo ya mita 100 kwenye mashidano ya olimpiki baada ya kushinda medali ya dhahabu mjini Rio nchini Brazil. Bolt mwenye…
Shughuli ya kuhesabu kura katika uchaguzi ulio na ushindani mkali inaendelea nchini Zambia huku kukiwa na wasiwasi kuhusu kucheleweshwa kwa matokeo hayo. Mgombea wa upinzani Hakainde Hichilemi ameishtumu tume ya…
Mapigano yamezuka tena upya baina ya pande hasimu nchini sudan kusini ambapo vikosi vya serikali vinapambana dhidi ya vikosi vya aliyekuwa makamo wa rais nchini humo. Kuna hofu kuwa Sudan…
Mechi za PL leo jumapili Bournemouth vs Manchester United saa 9:30 alasiri Mechi tano za mwisho za Bournemouth na Manchester United Bournemouth last 5 matches (most recent first): 17/05/16 (a)Man Utd…
Muimbaji mkongwe wa muziki wa Taarab nchini, Mzee Yusuf ametangaza rasmi kuachana na muziki huo na badala yake atageukia katika kumrudia Mungu kwa kufanya ibada zaidi. Mzee Yusuf amesema ameamua…
Bibi harusi na bwana harusi walioana katika daraja la Shiniuzhai katika mji wa Pingjiang jimbo la Hunan nchini China katika siku ya wapendanao Agosti 9 mwaka huu.
Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Parole, Augustine Mrema ameshauri waathirika wa dawa za kulevya kupelekwa hospitalini kupata tiba badala ya polisi kuwakamata na kuwapeleka mahabusu au gerezani ambapo huko…
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli toka atangaze uamuzi wa Serikali kuhamia Dodoma, kumekuwa na mwamko mkubwa wa wananchi kutoka maeneo mbalimbali nchini kutaka viwanja mkoani…
Staa wa Bongo movie, Blandina Chagula ‘Johari’ amesema kwamba yeye ni mwanamke kamili na ameshakuwa kwa hiyo ana kiu ya kupata mume atakayemuoa ili kutimiza ndoto zake. Staa huyo amesema…
Mchekeshaji maarufu nchini Marekani, Kevin Hart amefunga ndoa na mpenzi wake Eniko Parrish katika jiji la Calfonia nchini Marekani. Hart alianza kumchumbia mpenzi wake Eniko Parrish toka mwaka 2014 katika…
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola amesema hana tatizo lolote na golikipa namba moja wa timu hiyo Joe Hart baada ya kumuweka nje kwenye mechi ya kwanza ya ligi kuu…
Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa (UN) limesema linajiandaa kuiwekea Sudan kusini vikwazo vya silaha, ikiwa itajaribu kuzuia kupelekwa kwa wanajeshi wa ziada wa kulinda amani nchini humo. Rais…
Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi ametengua uamuzi wake wa kustaafu soka la kimataifa baada ya kutangaza kurejea kuitumikia timu yake ya Taifa ya Argentina. Mshambuliaji huyo amerejea kuchezea Argentina baada…
Orodha ya medali # Nchi Medali za dhahabu Medali za fedha Medali za shaba Jumla 1 Marekani 24 18 18 60 2 China 13 11 17 41 3 Uingereza 10…
Mwanariadha, Mo Farah amekuwa mkimbiaji wa kwanza wa Uingereza wa mbio za uwanjani kushinda nishani tatu za dhahabu katika michezo ya olimpiki baada ya kuwashinda wakenya na waethiopia kwa kushinda…
Yanga imefufua matumaini ya kufuzu nusu fainali ya kombe la Shirikisho Afrika baada ya kushinda 1-0 dhidi ya MO Bejaia ya Algeria kwenye mechi iliyofanyika katika uwanja wa Taifa, Dar…
Waziri wa elimu nchini Sweden, Aida Hadzialic amejiuzulu wadhifa wake baada ya kupatikana na hatia ya kuendesha gari huku akiwa amelewa. Bi Aida Hadzialic, ambaye ni waziri wa elimu ya…
Everton imeshindwa kutumia uwanja wake wa nyumbani baada ya kulazimishwa sare ya 1-1 dhidi ya Tottenham kwenye mechi ya ligi kuu nchini Uingereza iliyofanyika katika uwanja wa Goodson Park. Everton…
Winga wa Manchester United, Adnan Januzaj amejiunga na klabu ya sunderland kwa mkopo. Uhamisho huo umemuunganisha na meneja wake wa zamani, David Moyes pamoja na wachezaji wenzake wa Manchester United,…
Matokeo ya awali ya uchaguzi wa urais nchini Zambia yanaonyesha mgombea wa chama kikuu cha upinzani, Hakainde Hichilema anaongoza kwa ushindi wa kura chache. Takwimu za Tume ya uchaguzi zinaonyesha…
Umeshawahi kukutana na Sharobaro a.k.a Bob Junior a.k.a rais wa Wasafi? Unaitamani nafasi hiyo? Usiishie kutamani tu, njoo ukutane nae, mpige stori na umuulize utakacho. Licha ya kuwa ndiye msanii…
Wakuu 70 wa chama cha Republican wamesaini barua na kuituma kwa mkuu wa kamati ya kitaifa ya chama hicho wakimtaka aache kusaidia kampeni za mgombea urais kupitia chama hicho, Donald…
Staa wa mpira wa kikapu nchini Marekani, LeBron James atakuwa mchezaji anayepokea mkwanja mrefu kwenye ligi ya NBA msimu ujao baada ya kukubaliana na timu yake ya Cleveland Cavaliers kusaini…
Serikali ya Uganda imekiondoa kwenye maktaba za shule za nchi hiyo kitabu ‘LOVE LESSONS’ kilichoandikwa na mwandishi maarufu wa vitabu vya watoto wa Uingereza Jacqueline Wilson. Waziri wa maadili wa…
Serikali ya Tanzania kupitia kwa wizara ya habari, utamaduni sanaa na michezo imelifungia gazeti la kila wiki la MSETO kwa tuhuma za kuchapisha habari za uongo. Waziri wa wizara ya…
Mastaa wa Bongo fleva, Ali kiba na Mr Blue wanatarajiwa kumrudisha Abby Sklillz kwenye anga ya muziki wa Bongo fleva baada ya kushirikishwa na msanii huyo kwenye nyimbo mpya itakayotoka…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli ameutaka uongozi wa mkoa wa Mwanza kuhakikisha kuwa watu waliopora mali za Chama cha Ushirika cha Nyanza (NCU), wanapatikana na…
Staa wa Bongo fleva, Ali Kiba ametoa mchango wa milioni 21 kwa GSM Foundation kwa ajili ya kusaidia jitihada za taasisi hiyo za kutoa huduma ya upasuaji wa watoto wenye…